LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Siku nyingine unywe hata Castle lite achana na KVant
 
Huna akili period!!
 
Wanaenda wenyewe kuchukua silaha na wengine wanatoka nje ya nchi kuilinda nchi yao.. ulinzi wa nchi ni jukumu la Kila mtu
 
Kwamba zanzibar akitaka jiunga na jumuiya ya kiislamu sawa, akitaka mahakama ya kadhi sawa, akitaka ongoza kwa sharia sawa, awe dola ya kiislamu sawa

Ni kichapo tu yaani nikupe uhuru unao hatarishi uhuru wangu hakuna iyo
Wanauhuru ao tungewapangia Raisi kweli yani tutawachapa na mianzi mpka akili ziwakae sawa
 
Huko Media zao tu wanasema Jeshi la Russia halijaanza safari ya kuingia wanaopiga kwa sasa ni kile kikundi kidogo cha jeshi kinachfanya tathmini na kulegeza njia wakipewa green light tu ni moja kwa moja kukibeba kile kijoti.
Sote tunaangalia hizo media,punguzeni uongo
 
Hizi sanctions za sasa ni hatari mno na zitamuumiza Urusi
 
Mkuu sote tunaangalia hizo channel,lakini unapenda kutafsiri vile wewe unataka iwe,ila kama ni unaangalia aljazeera au France 24,hapana aisee
Ana hasira baada ya matarajio yao kutofanikiwa
 
Chinese banks zimeanza punguza flow of money kwenda Russia maana swift inapigwa PIN
 
Urusi haamini anachokiona, alitegemea Wananchi kumuunga mkono, alitegemea dunia kukaa kimya
 
kama unategemea kua PUT -IN atapendwa na kila raia pole sana MKUU
 
Russia’s Defense Ministry has pointed to the likely presence of US drones in the air directing an attempted attack on the Russian Black Sea Fleet by Ukrainian gunboats.
 
Uongo mtupu,the so called Israel kukimbilia Ulaya Mara kumiliki uchumi wa Germany zote in myth.Achana na hizo hadith za kusadikika brother.
 
Mi marekani japo anaongea as if amekubali yaishe huku anasogeza mashine mpakani nafikiri ni mbinu ya kivita tu bado wataingia vitani maana marekani hatakagi kuaibishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…