LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
acha kuiongelea marekani kwasababu kwa mujibu wenu marekani ni dhaifu na Nato kwa ujumla.
hapa tunaongelea nchi yenye uwezo mkubwa wa kupiga nchi zote za nato kwa wakati mmoja.
Nyie bishaneni mi na kula pilau kuku huku napitia comment zenu
IMG_20211022_215220_3.jpg
 
unachotakiwa kujua ni kwamba, ukiwa rais au hata baba wa nyumba, maamuzi utakayoyafanya usijifikirie wewe binafsi, fikiria hata watoto wako. kuna wakati ukifanya maamuzi hata kama ni ya faida kwa familia nzima, kama watoto wataumia vya kutosha, wapo ambao sio wavumilivu kuna siku watasema baba maamuzi yako yanatutesa bure, watakugeuka ili wapate mteremko. ukiwa leader hili ni muhimu kufikiria. tukirudi kwa ukrain, jua kwamba hadi sasa ivi kuna wanawake wengi sana wameshapoteza waume zao, wengi wamepoteza kaka zao, wengi wamepoteza baba zao, wengi wamepoteza biashara zao, wengi wamepoteza kazi maofisini, watu walikuwa wamejiestablish na sasaivi ni wakimbizi wanaishi kwenye makambi. wengine walikuwa na maisha bora na majumba yao, sasaivi wanalala makambini hata kungonoka na wake zao ni kwa kuvizia tu. kwasababu ya nini? na urusi hapohapo anaahidi kwamba wamwondoe rais wao yeye anaweza kuongea vyema na wanajeshi.....maumivu yakizidi kuna siku watu watagawanyika, kuna watakaogundua kuwa hapa tunateseka kwa maslahi ya wamagharibi, watajiunga upande wa mteremko, na ndio kusambaratika kwa nchi huko. mwanadamu mwanzoni huwa mzalendo sana ila maumivu yakizidi huwa anatafuta mteremko manake hamna namna tena.
Huna akili period!!
 
battle la ajabu. kuna waukrain weusi humu wanaamini ukrain ipo kwenye nafasi ya kuishinda urusi. mtu ameishiwa hadi anagawa silaha kwa raia 10,000 wapigane kama golila majumbani, that means anajua wanajeshi wake hawatofanikiwa peke yao na zaidi ni kutumia raia kama shield kwani raia watakuwa wanarusha risasi tokea majumbano mwao jambo litakalojustify urusi kupiga kwenye majengo. mtu alikuwa comedian hata hajui sheria za kivita, anajua kuwa anawapa justification maadui kushambulia maeneo ya makazi na hawatakuwa wamevunja sheria za kivita, badala angeacha wanajeshi pekee ndio wapigane ili kama urusi ikipiga maeneo ya raia ionekane amevunja sheria za kivita. ni sawa na watz tulivyotaka kumpa nchi DJ, kila mtaa kungekuwa na tamasha la muziki.
Wanaenda wenyewe kuchukua silaha na wengine wanatoka nje ya nchi kuilinda nchi yao.. ulinzi wa nchi ni jukumu la Kila mtu
 
Kwamba zanzibar akitaka jiunga na jumuiya ya kiislamu sawa, akitaka mahakama ya kadhi sawa, akitaka ongoza kwa sharia sawa, awe dola ya kiislamu sawa

Ni kichapo tu yaani nikupe uhuru unao hatarishi uhuru wangu hakuna iyo
Wanauhuru ao tungewapangia Raisi kweli yani tutawachapa na mianzi mpka akili ziwakae sawa
 
Huko Media zao tu wanasema Jeshi la Russia halijaanza safari ya kuingia wanaopiga kwa sasa ni kile kikundi kidogo cha jeshi kinachfanya tathmini na kulegeza njia wakipewa green light tu ni moja kwa moja kukibeba kile kijoti.
Sote tunaangalia hizo media,punguzeni uongo
 
Russia itakuwa closed west tu, ila east bado ni open. na ukifunga mlango kwa magharibi jua east kwa wachina na wahindi kupo wazi. pia jua russia ana silaha nyingi, watu watajipeleka wenyewe kwake kupata silaha. ukiwa na kitu unawezafanya jeuri yeyote mkuu. pia, as long as still una k kitu kidogo mkononi sio kwamba hauna kabisa, unayo nafasi kujipanga wakati wa vikwazo, either kufanya retaliation ili adui yako alegeze kwa kusapoti maadui zake n.k, na yote yanawezekana. kwani unafikiri siku zote west huwa wanampenda russia? siku zote wanatamani afe kabisa ili marekani tu na ulaya wabaki superpower, wangekuwa na uwezo huo wangeshammaliza zamani sana. nakuhakikishia kwa vikwazo hivi wataumia muda mchache lakini sio muda wote. pia kama vikwazo vinafanya kazi siku zote Iran sasaivi ingekuwa somalia.
Hizi sanctions za sasa ni hatari mno na zitamuumiza Urusi
 
EXPORTSThe top exports of Russia are Crude Petroleum ($123B), Refined Petroleum ($66.2B), Petroleum Gas ($26.3B), Coal Briquettes ($17.6B), and Wheat ($8.14B), exporting mostly to China ($58.1B), Netherlands ($41.7B), Belarus ($20.5B), Germany ($18.9B), and Italy ($16.7B).

China hapo ndo anategemewa na Russia angalau kupigana na hivi vikwazo. Akibadilika tu He is in trouble. A very big one. Tayari yupo in trouble ila China akimsaliti he is in big big big so big trouble.
Chinese banks zimeanza punguza flow of money kwenda Russia maana swift inapigwa PIN
 
Baada ya Urusi kuchezea intaneti huko Ukraine sasa Elon Musk ameruhusu huduma yake ya intaneti kupitia satellite(starling) Kwa wananchi WA Ukraine.

US,EU, Canada na UK wamekubaliana kuziondoa baadhi ya bank za Russia kwenye huduma ya SWIFT. Pia wamefreeze assets za bank kuku ya Urusi.
View attachment 2132473
Urusi haamini anachokiona, alitegemea Wananchi kumuunga mkono, alitegemea dunia kukaa kimya
 
Wafuasi wa udikteta na mauaji Tanzania wanateseka sana. Wakati Warusi wenyewe wanampinga gaidi Put-in na genge lake, kuna Warusi wa Tanzania wanamuunga mkono!!!

Jana vyombo vya habari na mitandao ya kijamii Urusi imepigwa pini na Put-in ili Warusi wasifuatilie kwa karibu ujinga unaotekelezwa kule Ukraine [emoji849] Ni aibu!
kama unategemea kua PUT -IN atapendwa na kila raia pole sana MKUU
 
Russia’s Defense Ministry has pointed to the likely presence of US drones in the air directing an attempted attack on the Russian Black Sea Fleet by Ukrainian gunboats.
 
my friend, historia ya wayahudi ni kwamba, baada ya kumuasi Mungu, aliwafukuzia babel utumwani, walipata mateso miaka 400, wengi wakasambaa hadi ulaya. walikuwepo ujerumani wengi sana, polan na na nchi zingine za magharibi. wakati wa holocost, wengi sana walikimbilia USSR ndio wakaseto ukraine na nchi zingine za USSR ya zamani. wengi zaidi waliona safe haven ni marekani, na hadi sasa kuna wayahudi karibia 10m marekani, na huwa wanakuja kabisa kusev kwenye jeshi la israel miezi sita, na ni raia wa marekani. wengi pia wapo canada, australia, south africa kidogo, na nchi za ulaya kila nchi ukienda kuna masinagogi ya kiyahudi kabisa.

kwa lineage yao, Wayahudi huwa wanamtambua myahudi mzawa kama amezaliwa na Mwanamke wa kiyahudi, pamoja na kwamba hata wale waliozaliwa na wanaume wa kiyahudi huwa wayahudi. nimefanikiwa kufika kwenye masinagogi yao nchi kadhaa, na kwa historia yao hawa jamaa wanaishi kijamaa kama walivyo wahindi, wanapenda kujitenga na kusaidiana wao kwa wao. maeneo ya masinagogi yao huwa pia ni kituo cha kusaidiana kibiashar ana kuhamasishana maendeleo, ndio maana tangu kipindi cha hitler walikuwa ndio wameshika uchumi wa ujerumani, sasaivi wameshika uchumi wa dunia, uchumi wa marekani, na watu ambao hata kifamilia huwa wanahamasisha sana watoto wao wasome na hawasomi masomo ya kijinga bali yale yanayowafanya wawe na power. wayahudi wengi utawakuta wamesoma biashara, udaktari na uinjinia. huwezi kuta wanasomea siasa na ujinga ujinga mwingine huo, jambo linalowafanya washike kila sekta kwasababu wanakuwa na pesa na wanainuana wao kwa wao.

ukiwaangalia, wengine wamechanganya na uzungu blond sana, ni kwasababu wameinterbreed na wazungu wa ulaya. kuna wengine walisetle Yeman wamechanganya na wayemen, kuna wayahudi wengine walikimbilia India, wamechanganya na wahindi, wapo hadi leo india. wachache wale wa sheba walizaliana na malkia wa sheba na suleman, walikuwepo ethiopia. hivyo usiangalie myahudi ukaona mweupe ukasema ni mzungu, hapana, ni myahudi na wameshapima hadi DNA zinaendana na huwa wanapima mara kwa mara. pia, wapo wayahudi ambao ni coverts, waliconvert tangu enzi hizo toka kwa wagiriki, wakapewa hadhi ya kuwa Jews kwasababu wanaprofess dini ya judism, wote hawa ni wayahudi.

usichukulie kigezo kwamba unawaone wengine kama blond ukasema hao wamevamia nchi za watu na wale waliopo israel kwamba sio wayahudi halisi, hapana, ni wayahudi halisi mbegu ya ibrahim isaka na yakobo. ila hata wewe mkurya ukichanganya damu na mrangi au mnyaturu usishangae watoto wako wakatoka na sura za kinyaturu au kirangi, lakini huwezi sema sio kabila lako kwa muonekano.

worse enough, hao unaowatetea wapalestina, ukipima wote utakutana na damu za wajordan, wamisri na walebanon. wafilist wengi walishakufaga.
Uongo mtupu,the so called Israel kukimbilia Ulaya Mara kumiliki uchumi wa Germany zote in myth.Achana na hizo hadith za kusadikika brother.
 
Mi marekani japo anaongea as if amekubali yaishe huku anasogeza mashine mpakani nafikiri ni mbinu ya kivita tu bado wataingia vitani maana marekani hatakagi kuaibishwa
 
Back
Top Bottom