Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona umekasika sana mkuu.Sioni hata sababu za wewe kukasirika.Na Wafanyabiashara wa Marekani si ndio Khazarian Mafia wenyewe,watafunuaje siri zao tena,ins't this common sense.Na una uhakika gani wametunga,watunge ili wapate faida gani hasa.Anyway hapa tunachofanya ni kupeana knowledge tu,tena kwa nia njema.Ukiona knowledge haiku interest leave it,mbona hao sio ndugu zetu,why become so bitter.It seems you have a vested interest.
 
Seriously unasema Ukraine imeshambuliwa bila sababu!Either you are ignorant or you are pretending to be ignorant.
 
MKUU
Naomba nieleweke kwanza malengo ya RUSSIA alioyatangaza kwenye hii OP yanajulikana
Haya yakwangu kama kuhusiana na hio ODESA haya sidhanii kama PUT IN alitangaza ila nimetoa mie kama maoni na mawazo yangu ukiangalia OP ilipoegemea kwasasa
Yale aloyatangaza RUSSIA ndio malengo yake achana na maneno ntakayokua nayasema mie
Mie sijui mpango mkakati wowote wa RUSSIA na hii OP yao
Pengine walikua na nia yakupita na komedian wamechemka ama pengine nia yako kama wanavyoisema ama wanania namalengo zaidi ya haya ila sio lazima wayatangaze ama wote tuyajue
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Usihangaike na hizo likes,maana hapa wamejazana Pro Russia karibu 80% kama ilivyo Ukubwa wa Nchi ya Russia,njoo sasa kwenye kujenga hoja wanazidiwa na Pro Ukraine ambao ni wachache kama ilivyo Nchi ya Ukraine.Ni wengi lkn hawana madhara zaidi ya kuflood micomment mirefu iliyojaza blah blah kibao Mkuu.
 
Kwa jinsi nchi za Magharibi zinavyo isaidia Ukraine,anything is now possible.Ni wazi sasa kwamba Ukraine is fighting on behalf of the West,na sidhani kama Urusi watauvumilia hili for too long.
Urusi hashambuliwi, anashambulia. Yupo nje ya mipaka ya nchi yake. Anayevumilia si Urusi ni Ukraine. Au ilitakiwa Ukraine asiombe msaada wa kivita aache watu wake wauwawe huku anapiga magoti kwa Urusi?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani hayana cha kushika Haya ma[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] viazi .
Hoja mama wameshaitelekeza ya kinachojili Ukraine[emoji3]
 
pro[emoji635][emoji635][emoji635] tunawakumbusha maneno yenu ya mwezi mmoja uliopita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Frustration njoo hapa unakumbushwa huku[emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu yangu waambie hata hao marekani hawayajui malengo ya put in huko ukrein
 
@Tsh Nyamizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunawakumbusha pro[emoji635][emoji635][emoji635]maneno yao mwezi mmoja nyuma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona umeamua kuwasalimia na Javelin kabisa
 
Kidume siku ya leo kaishachukua kyiev, mji mkuu wa Ukraine.

● Marekani yuko wapi???

● Umoja wa mataifa uko wapi???

● Umoja wa ulaya uko wapi???

● Umoja wa africa uko wapi???

Wamekalia porojo tu kenge hao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] doh Tsh kuna mtu hapa kaamuwa kufukua haya makaburi ya mwezi mmoja uliyopita F9T nimecheka kwa nguvu mno
 
wajerumani wameshaanza kulipa kwa ruble huko?

Lazima walipe hao ndo walikua na project na Russia ya Nord strem 2 so mmarekani akaona wivu kwamba Russia angepaa sana kiuchumi. Ila germany anategemea nishati kutoka Russia. Leo hii umwambie achukue gas Qatar cost mara2 si uchumi na viwanda vyake utadidimia sana.

Hivyo vikwazo vingi havitafanya kazi watu watafanya biashara kama kawaida. Ni suala la muda tu
 
RUSSIA majeshi yao wema mnoooo!!!!!
 
Subiri, utaona.
Rusia imejipanga na hakuna wa kuzuia, lengo ni kutoa kibaraka na lazima litimie.
@F9T mwingine huyu hapa hajakoma,baada ya mwezi utamtendea haki kama wale wengine [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…