Nakubaliana na ww bei!Nyerere amesababishi hii Nchi hasara sana,alipaswa afungwe kabisa gerezani.Kitendo alichokifanya cha kumuhifadhi rafiki take Obote huku akijua mpinzani wa Obote-Idd amin yupo pia na mdomo ilikuwa ni upimbavu.
Hata wewe ungekuwa IDD amin lazima unge react kwa kitendo alichokifanya Nyerere.
hili lakwamba PUTIN hakujiandaa kuingia vitani nalipingaMko wapi mliokuwa mnabisha mkiambiwa Russian military imeonesha weakness? Mpaka sasa mbwembwe za mashabiki waliosema masaa tu Ukraine inaanguka na leo siku ya tatu bado hamna kitu. Jeshi lililokuwa limebakiza almost 10km kuingia city centre bado halijaingia zaidi ya masaa 20 mengine
Vifaru vya Urusi vinaharibiwa na Javelins za Marekani na NLAWS za UK & Sweden. Bado Ujerumani itatoa aina gani sijui ni Spike. Sitaki kuamini kama Ujerumani silaha zake zinaweza shambuliwa effectively na anti armour weapons za Russia mfano Kornet ATGM.
Stinger MANPADS zitafanya helicopters kuruka iwe ngumu. Ukraine ilinunua Bayraktar TB2 za Uturuki ila mpaka sasa haijaonekana clip hata moja, kuna makisio tofauti either wameamua kufanya kimyakimya zisitoe publicity zisije tafutwa kuharibiwa na zisilete mgogoro haina ya Turkey na Russia. Au zimeharibiwa na airstrikes kwenye base zilipokuwa.
Russia alileta silaha za kawaida na ndizo anazo nyingi kwenye inventory yake. Na wanajeshi wengi alioleta ni conscripts, watu wako kwenye mazoezi ghafla wanaambiwa vamia. Hawajaaga nyumbani, hawajajipanga, hawana utayari, wanapigana bila kujua sababu. Wamekamatwa watu wengine miaka 19 wanapewa simu ambazo Ukraine ndio imeanzisha huo utaratibu, wakipiga kwa mama zao mama wanashangaa watoto wao wameenda lini vitani.
Hakuna kitu alichotegemea Putin kimetimia. Na hakujipanga kupigana mpaka sasa. Majenerali wake wanaweza kuwa walijua si mbinu sahihi ila yeye ana tabia ya kuzungukwa na watu wa ndio mzee ambao hujibu kile anachokipenda. Ukitaka kujua hilo, tafuta video ya kikao cha kwanza anapotangaza anaingia Ukraine pale alipokuwa na Security council akafikia kuhutubia mkuu wa Foreign Intelligence akaongea kitu tofauti Putin akabadilika yule jamaa akababaika akajibu vingine kabisa
Wewe ndo yule wanaume aliosema hilda Newton. Raia akkimbie na wewe Rais ukimbie...lazma rekord ziwekwe sawa yeye kma raia Namba Moja, ameona hawez kufanya hilo.hawawezi kumwacha hai, tatizo lake yeye anafikiri yupo kwenye comedy, marekani wamemshauri akimbie, yeye ameamua kubaki ati awe shujaa, shujaa asiyetumia akili hata vizazi vijavyo vitakuja kusema jamaa alikuwa shujaa mjinga. hivi unaweza kuwa shujaa unajirusha kwenye mdomo wa simba ati hata ukitafunwa utajulikana umekufa kishujaaa? si umburura huo?
Hivi una akili sawasawa?? Unataka Urusi atumie ATOMIC pale UKRAINE?? Wewe kwa akili yako MAJESHI YA URUSI YAPO WAPI? AU KWA AKILI ZAKO NCHI KUPIGWA NI KUPIGA MJI MKUU TU??Mko wapi mliokuwa mnabisha mkiambiwa Russian military imeonesha weakness? Mpaka sasa mbwembwe za mashabiki waliosema masaa tu Ukraine inaanguka na leo siku ya tatu bado hamna kitu. Jeshi lililokuwa limebakiza almost 10km kuingia city centre bado halijaingia zaidi ya masaa 20 mengine
Vifaru vya Urusi vinaharibiwa na Javelins za Marekani na NLAWS za UK & Sweden. Bado Ujerumani itatoa aina gani sijui ni Spike. Sitaki kuamini kama Ujerumani silaha zake zinaweza shambuliwa effectively na anti armour weapons za Russia mfano Kornet ATGM.
Stinger MANPADS zitafanya helicopters kuruka iwe ngumu. Ukraine ilinunua Bayraktar TB2 za Uturuki ila mpaka sasa haijaonekana clip hata moja, kuna makisio tofauti either wameamua kufanya kimyakimya zisitoe publicity zisije tafutwa kuharibiwa na zisilete mgogoro haina ya Turkey na Russia. Au zimeharibiwa na airstrikes kwenye base zilipokuwa.
Russia alileta silaha za kawaida na ndizo anazo nyingi kwenye inventory yake. Na wanajeshi wengi alioleta ni conscripts, watu wako kwenye mazoezi ghafla wanaambiwa vamia. Hawajaaga nyumbani, hawajajipanga, hawana utayari, wanapigana bila kujua sababu. Wamekamatwa watu wengine miaka 19 wanapewa simu ambazo Ukraine ndio imeanzisha huo utaratibu, wakipiga kwa mama zao mama wanashangaa watoto wao wameenda lini vitani.
Hakuna kitu alichotegemea Putin kimetimia. Na hakujipanga kupigana mpaka sasa. Majenerali wake wanaweza kuwa walijua si mbinu sahihi ila yeye ana tabia ya kuzungukwa na watu wa ndio mzee ambao hujibu kile anachokipenda. Ukitaka kujua hilo, tafuta video ya kikao cha kwanza anapotangaza anaingia Ukraine pale alipokuwa na Security council akafikia kuhutubia mkuu wa Foreign Intelligence akaongea kitu tofauti Putin akabadilika yule jamaa akababaika akajibu vingine kabisa
IMF imesema itaisaidia ukraine kifedhaati atasaidiwa kuinuka? umejenga nyumba yako, umejenga madaraja, umejiimarisha kiuchumi, alafu jirani anakushauri pigana na mtu akiharibu nyumba yako nitakusaidia ujenge nyingine? kumbe anajua nitapigwa, anachotaka kwangu nini sasa? raia watakaokufa watafufuka? wamagaribi wanajua fika kuwa at the end of the day ukrain itashindwa na itakuwa magofu na watampa hela aanze kujenga. raia na wanajeshi waliokufa watafufuka? hadi ujenge miundombinu ni leo? wawekezaji watakaokuwa wamekimbia utawarudisha? watakuwa wana uhakika kuwa russia hatarudi tena soon? unaona namna wamagaribi wanavyomtumia kama condom ukrain ili kutest uwezo wa russia kwa faida yao? do you think this is fair?
Yule alijitia kimbelembele bado wale mabondiaMke wa makamo wa rais tayari amefyekwa na warusi
mzee ni kupambana kufa kiume ila nina wasi wasi wako kama mwanaume mamuz yako yatakuwa yanaperekeshwa sana na mkeomakosa hawana, ila wanajua watashindwa, watakufa na haitawasaidia kitu. sema ndio jeuri ya masikini tu. hapo ungekkuwa wewe busara ingekuwa nini?
We endelea kuota, watu wamechoka na ubabe wa USA, wanakiwasha na hakuna kitu mtawafanya.Mnaosema sanctions hazitamuathiri Putin mnakosea. Putin anathamini sana oligarchies kuliko raia, sasa oligarchies ndio biashara hawawezi fanya sawasawa kama SWIFT ikifungiwa na wengine wao wana sanctions. Kutokuwa na uungwaji mkono wa oligarchies ni threat. Importation na exportation lazima vipungue, thamani ya ruble iporomoke. Tutarudi hapa miezi michache, utaona kama raia hawataaandama. Tuombe uzima tuwepo.
Hii vita ikichelewa ndio vitu vinazidi kubanwa. Mara Ujerumani anabadili gear anatuma silaha, mwishowe utasikia China kala kona. Russia always teachs China what not to do
hivi hii habari yakweli MKUU[emoji848][emoji848][emoji848]Yule alijitia kimbelembele bado wale mabondia
Urusi fyeka mbwa wote hao
Naona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuseswewe ndio ulitegemea haya ila sio RUSSIA nakama ulifatilia hotuba ya PUT IN kabla yakuvamia UKRAINE alisema wapo na Immune juu ya vikwazo kwamba alitegema vikwazo vitakua vyakutosha ila sio kuingia vitani wakampiga
sasa wewe na PUT IN nani hakutegemea hio retaliate?
kumbe warusi walikuwa wanatania? pro putin mnashida mahaliHaya sasa, waje wale WAUKRAINE waongee, tuliwaambia URUSI hawana utani, wametembeza kichapo kizito sana. Rais wa UKRAINE hana akili unawapaje Silaha wananchi wapigane na Urusi?? Sasa watakiona cha moto.
Russia wameingia mzigoni Rasmi.
Bondia na bunduki wapi na wapi? Wewe waache waangamie kwa kukosa maarifa. Badala ya kwenda Russia au China,au North Korea kuliko na amani na free of stress yy anabaki ukraine ili tumuonee huruma. Tutampiga na yeyote atakayewashwaYule alijitia kimbelembele bado wale mabondia
Urusi fyeka mbwa wote hao
hakuna excuse MKUU shida ni KIEV nanisuala la muda tuuuuNaona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
hakuna anaekana athari za vikwazo MKUU ila kuna wanaosema kwamba PUT IN aliishategemea haya kabla yakuingia vitani na UKRAINEMnaosema sanctions hazitamuathiri Putin mnakosea. Putin anathamini sana oligarchies kuliko raia, sasa oligarchies ndio biashara hawawezi fanya sawasawa kama SWIFT ikifungiwa na wengine wao wana sanctions. Kutokuwa na uungwaji mkono wa oligarchies ni threat. Importation na exportation lazima vipungue, thamani ya ruble iporomoke. Tutarudi hapa miezi michache, utaona kama raia hawataaandama. Tuombe uzima tuwepo.
Hii vita ikichelewa ndio vitu vinazidi kubanwa. Mara Ujerumani anabadili gear anatuma silaha, mwishowe utasikia China kala kona. Russia always teachs China what not to do
Rais wao atokee ajirekodi tena, yeye analeta utani kwenye VITA.hakuna excuse MKUU shida ni KIEV nanisuala la muda tuuuu
Wanakiwasha huku wanahenyeshwa na Nchi ndogo Ukraine,maneno yalikuwa mengi hapa kabla,sasa hivi mmeanza kurukaruka kama mahindi ya popcorn kikaangoni.We endelea kuota, watu wamechoka na ubabe wa USA, wanakiwasha na hakuna kitu mtawafanya.
yule comedian nisuala la muda tu wanaompa kibri waandae utetezi wakuja kumtetea baada ya sisi kufikia KIEVRais wao atokee ajirekodi tena, yeye analeta utani kwenye VITA.
Porojo hizi za vijiwe vya kahawaYule alijitia kimbelembele bado wale mabondia
Urusi fyeka mbwa wote hao
Retreat za Ukraine huzioni? Saizi wote wamesogezwa kwenye kibangara kimoja kama mngejua kamji hako kanapigiwa final decision msingekuwa mnajitutumua hapa. Kyiev is circled by Russia forces while uncertainty of exploitation wandering in Ukrainian's mind. Mashaka yamejaa hadi kwenye chupi,matumbo tanasokota,msongo wa mawazo ya kifo yametawala,watoto wameliaaaaaaa hadi ndefu za mchozi zimejitengeneza. Mmeniamsha sasa yaani ukraine ana banabana mzigo? Subirini sasa this is a revenge on behalf of american people and his dogs who barking days and nights Mhaza fakaNaona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses