LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nyerere amesababishi hii Nchi hasara sana,alipaswa afungwe kabisa gerezani.Kitendo alichokifanya cha kumuhifadhi rafiki take Obote huku akijua mpinzani wa Obote-Idd amin yupo pia na mdomo ilikuwa ni upimbavu.
Hata wewe ungekuwa IDD amin lazima unge react kwa kitendo alichokifanya Nyerere.
Nakubaliana na ww bei!
Ilaha tunacho jadili Mrusi hakuwa na lengo zuri kwenye ile vita!
 
Mko wapi mliokuwa mnabisha mkiambiwa Russian military imeonesha weakness? Mpaka sasa mbwembwe za mashabiki waliosema masaa tu Ukraine inaanguka na leo siku ya tatu bado hamna kitu. Jeshi lililokuwa limebakiza almost 10km kuingia city centre bado halijaingia zaidi ya masaa 20 mengine

Vifaru vya Urusi vinaharibiwa na Javelins za Marekani na NLAWS za UK & Sweden. Bado Ujerumani itatoa aina gani sijui ni Spike. Sitaki kuamini kama Ujerumani silaha zake zinaweza shambuliwa effectively na anti armour weapons za Russia mfano Kornet ATGM.

Stinger MANPADS zitafanya helicopters kuruka iwe ngumu. Ukraine ilinunua Bayraktar TB2 za Uturuki ila mpaka sasa haijaonekana clip hata moja, kuna makisio tofauti either wameamua kufanya kimyakimya zisitoe publicity zisije tafutwa kuharibiwa na zisilete mgogoro haina ya Turkey na Russia. Au zimeharibiwa na airstrikes kwenye base zilipokuwa.

Russia alileta silaha za kawaida na ndizo anazo nyingi kwenye inventory yake. Na wanajeshi wengi alioleta ni conscripts, watu wako kwenye mazoezi ghafla wanaambiwa vamia. Hawajaaga nyumbani, hawajajipanga, hawana utayari, wanapigana bila kujua sababu. Wamekamatwa watu wengine miaka 19 wanapewa simu ambazo Ukraine ndio imeanzisha huo utaratibu, wakipiga kwa mama zao mama wanashangaa watoto wao wameenda lini vitani.

Hakuna kitu alichotegemea Putin kimetimia. Na hakujipanga kupigana mpaka sasa. Majenerali wake wanaweza kuwa walijua si mbinu sahihi ila yeye ana tabia ya kuzungukwa na watu wa ndio mzee ambao hujibu kile anachokipenda. Ukitaka kujua hilo, tafuta video ya kikao cha kwanza anapotangaza anaingia Ukraine pale alipokuwa na Security council akafikia kuhutubia mkuu wa Foreign Intelligence akaongea kitu tofauti Putin akabadilika yule jamaa akababaika akajibu vingine kabisa
hili lakwamba PUTIN hakujiandaa kuingia vitani nalipinga
nahili lakuanza kutilia shaka uwezo wa RUSSIA wakat hata week bado hili sidhanii kama lipo sawa
nakama kweli RUSSIA antumia silaha zakawaida kama unavyosema hajatumia hizi zilizoendelea na kaishafikia hizo kilometa unazosema kuingia KIEV basi bado RUSSIA yuko one step ahead ikumbukwe battle field ni UKRAINE
bado hakujawa namuda wakusema tuanze kujudge uwezo wa RUSSIA kijeshi yaani WAR haina hata week kweli mnaanza kuleta hizi longo longo
hadi wewe kweli MKUU[emoji848]
 
hawawezi kumwacha hai, tatizo lake yeye anafikiri yupo kwenye comedy, marekani wamemshauri akimbie, yeye ameamua kubaki ati awe shujaa, shujaa asiyetumia akili hata vizazi vijavyo vitakuja kusema jamaa alikuwa shujaa mjinga. hivi unaweza kuwa shujaa unajirusha kwenye mdomo wa simba ati hata ukitafunwa utajulikana umekufa kishujaaa? si umburura huo?
Wewe ndo yule wanaume aliosema hilda Newton. Raia akkimbie na wewe Rais ukimbie...lazma rekord ziwekwe sawa yeye kma raia Namba Moja, ameona hawez kufanya hilo.
Kumbuka ghadafi, Sadam Hussein wangweza kukimbia lkn walibak kutetea walichoamin hadi mwisho.
Sometimes inafika life iz not worth anymore...
 
Mko wapi mliokuwa mnabisha mkiambiwa Russian military imeonesha weakness? Mpaka sasa mbwembwe za mashabiki waliosema masaa tu Ukraine inaanguka na leo siku ya tatu bado hamna kitu. Jeshi lililokuwa limebakiza almost 10km kuingia city centre bado halijaingia zaidi ya masaa 20 mengine

Vifaru vya Urusi vinaharibiwa na Javelins za Marekani na NLAWS za UK & Sweden. Bado Ujerumani itatoa aina gani sijui ni Spike. Sitaki kuamini kama Ujerumani silaha zake zinaweza shambuliwa effectively na anti armour weapons za Russia mfano Kornet ATGM.

Stinger MANPADS zitafanya helicopters kuruka iwe ngumu. Ukraine ilinunua Bayraktar TB2 za Uturuki ila mpaka sasa haijaonekana clip hata moja, kuna makisio tofauti either wameamua kufanya kimyakimya zisitoe publicity zisije tafutwa kuharibiwa na zisilete mgogoro haina ya Turkey na Russia. Au zimeharibiwa na airstrikes kwenye base zilipokuwa.

Russia alileta silaha za kawaida na ndizo anazo nyingi kwenye inventory yake. Na wanajeshi wengi alioleta ni conscripts, watu wako kwenye mazoezi ghafla wanaambiwa vamia. Hawajaaga nyumbani, hawajajipanga, hawana utayari, wanapigana bila kujua sababu. Wamekamatwa watu wengine miaka 19 wanapewa simu ambazo Ukraine ndio imeanzisha huo utaratibu, wakipiga kwa mama zao mama wanashangaa watoto wao wameenda lini vitani.

Hakuna kitu alichotegemea Putin kimetimia. Na hakujipanga kupigana mpaka sasa. Majenerali wake wanaweza kuwa walijua si mbinu sahihi ila yeye ana tabia ya kuzungukwa na watu wa ndio mzee ambao hujibu kile anachokipenda. Ukitaka kujua hilo, tafuta video ya kikao cha kwanza anapotangaza anaingia Ukraine pale alipokuwa na Security council akafikia kuhutubia mkuu wa Foreign Intelligence akaongea kitu tofauti Putin akabadilika yule jamaa akababaika akajibu vingine kabisa
Hivi una akili sawasawa?? Unataka Urusi atumie ATOMIC pale UKRAINE?? Wewe kwa akili yako MAJESHI YA URUSI YAPO WAPI? AU KWA AKILI ZAKO NCHI KUPIGWA NI KUPIGA MJI MKUU TU??
 
ati atasaidiwa kuinuka? umejenga nyumba yako, umejenga madaraja, umejiimarisha kiuchumi, alafu jirani anakushauri pigana na mtu akiharibu nyumba yako nitakusaidia ujenge nyingine? kumbe anajua nitapigwa, anachotaka kwangu nini sasa? raia watakaokufa watafufuka? wamagaribi wanajua fika kuwa at the end of the day ukrain itashindwa na itakuwa magofu na watampa hela aanze kujenga. raia na wanajeshi waliokufa watafufuka? hadi ujenge miundombinu ni leo? wawekezaji watakaokuwa wamekimbia utawarudisha? watakuwa wana uhakika kuwa russia hatarudi tena soon? unaona namna wamagaribi wanavyomtumia kama condom ukrain ili kutest uwezo wa russia kwa faida yao? do you think this is fair?
IMF imesema itaisaidia ukraine kifedha
 
Mnaosema sanctions hazitamuathiri Putin mnakosea. Putin anathamini sana oligarchies kuliko raia, sasa oligarchies ndio biashara hawawezi fanya sawasawa kama SWIFT ikifungiwa na wengine wao wana sanctions. Kutokuwa na uungwaji mkono wa oligarchies ni threat. Importation na exportation lazima vipungue, thamani ya ruble iporomoke. Tutarudi hapa miezi michache, utaona kama raia hawataaandama. Tuombe uzima tuwepo.

Hii vita ikichelewa ndio vitu vinazidi kubanwa. Mara Ujerumani anabadili gear anatuma silaha, mwishowe utasikia China kala kona. Russia always teachs China what not to do
 
makosa hawana, ila wanajua watashindwa, watakufa na haitawasaidia kitu. sema ndio jeuri ya masikini tu. hapo ungekkuwa wewe busara ingekuwa nini?
mzee ni kupambana kufa kiume ila nina wasi wasi wako kama mwanaume mamuz yako yatakuwa yanaperekeshwa sana na mkeo
 
Mnaosema sanctions hazitamuathiri Putin mnakosea. Putin anathamini sana oligarchies kuliko raia, sasa oligarchies ndio biashara hawawezi fanya sawasawa kama SWIFT ikifungiwa na wengine wao wana sanctions. Kutokuwa na uungwaji mkono wa oligarchies ni threat. Importation na exportation lazima vipungue, thamani ya ruble iporomoke. Tutarudi hapa miezi michache, utaona kama raia hawataaandama. Tuombe uzima tuwepo.

Hii vita ikichelewa ndio vitu vinazidi kubanwa. Mara Ujerumani anabadili gear anatuma silaha, mwishowe utasikia China kala kona. Russia always teachs China what not to do
We endelea kuota, watu wamechoka na ubabe wa USA, wanakiwasha na hakuna kitu mtawafanya.
 
wewe ndio ulitegemea haya ila sio RUSSIA nakama ulifatilia hotuba ya PUT IN kabla yakuvamia UKRAINE alisema wapo na Immune juu ya vikwazo kwamba alitegema vikwazo vitakua vyakutosha ila sio kuingia vitani wakampiga
sasa wewe na PUT IN nani hakutegemea hio retaliate?
Naona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
 
Haya sasa, waje wale WAUKRAINE waongee, tuliwaambia URUSI hawana utani, wametembeza kichapo kizito sana. Rais wa UKRAINE hana akili unawapaje Silaha wananchi wapigane na Urusi?? Sasa watakiona cha moto.
Russia wameingia mzigoni Rasmi.
kumbe warusi walikuwa wanatania? pro putin mnashida mahali
 
Yule alijitia kimbelembele bado wale mabondia

Urusi fyeka mbwa wote hao
Bondia na bunduki wapi na wapi? Wewe waache waangamie kwa kukosa maarifa. Badala ya kwenda Russia au China,au North Korea kuliko na amani na free of stress yy anabaki ukraine ili tumuonee huruma. Tutampiga na yeyote atakayewashwa
 
Naona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
hakuna excuse MKUU shida ni KIEV nanisuala la muda tuuuu
 
Mnaosema sanctions hazitamuathiri Putin mnakosea. Putin anathamini sana oligarchies kuliko raia, sasa oligarchies ndio biashara hawawezi fanya sawasawa kama SWIFT ikifungiwa na wengine wao wana sanctions. Kutokuwa na uungwaji mkono wa oligarchies ni threat. Importation na exportation lazima vipungue, thamani ya ruble iporomoke. Tutarudi hapa miezi michache, utaona kama raia hawataaandama. Tuombe uzima tuwepo.

Hii vita ikichelewa ndio vitu vinazidi kubanwa. Mara Ujerumani anabadili gear anatuma silaha, mwishowe utasikia China kala kona. Russia always teachs China what not to do
hakuna anaekana athari za vikwazo MKUU ila kuna wanaosema kwamba PUT IN aliishategemea haya kabla yakuingia vitani na UKRAINE
lengo UKRAINE ipigwe mpaka isalimu amri nanisuala lamuda tu
 
We endelea kuota, watu wamechoka na ubabe wa USA, wanakiwasha na hakuna kitu mtawafanya.
Wanakiwasha huku wanahenyeshwa na Nchi ndogo Ukraine,maneno yalikuwa mengi hapa kabla,sasa hivi mmeanza kurukaruka kama mahindi ya popcorn kikaangoni.
 
Naona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
Retreat za Ukraine huzioni? Saizi wote wamesogezwa kwenye kibangara kimoja kama mngejua kamji hako kanapigiwa final decision msingekuwa mnajitutumua hapa. Kyiev is circled by Russia forces while uncertainty of exploitation wandering in Ukrainian's mind. Mashaka yamejaa hadi kwenye chupi,matumbo tanasokota,msongo wa mawazo ya kifo yametawala,watoto wameliaaaaaaa hadi ndefu za mchozi zimejitengeneza. Mmeniamsha sasa yaani ukraine ana banabana mzigo? Subirini sasa this is a revenge on behalf of american people and his dogs who barking days and nights Mhaza faka
 
Back
Top Bottom