Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
View attachment 2182748
Germany, Frankfurt am Main. People went to a rally in support of Russia and against discrimination against Russians in Europe.
Niliona hii habr twitter nikawa bado nafanya research niliona wamebandika Russia flag kwnye magari yao
Tumekusikia mmarekani Sterling wa Nato,na kawaida sterling hauwawi akiuwawa movie imekwishaRais Wa Ukriane bwana Zelensky ni mchekeshaji nilitegemea zaidi ye ndo afanye Comedy Lakin anayefanya Comedy ni Putin na Kadrov wa Chechen ambaye yupo Kwa ajili ya picha za TikTok,
Urusi Sasa hivi wanakuja ns km 13, wamesahau kuwa walishapeleka convoys za Km 64? Halafu zote zimebaki story?
Sasa hivi wakati maisha yanaendelea kama kawa ndani Kyiev huku viongozi wakubwa wakiingia na kutoka kwa kupishana, Russia akija kustuka kile alichokuwa hakitaki kiingie Ukraine atakuta kimeshaingizwa, yaani mitambo ile ya kijasusi na kiulinzi aliyokuwa hataki iwekwe atastuka imeshawekwa tayari.
Ulaghai wa Putin Crimea...wananchi Crimea wameshaanza vuguvugu, hawataki tena kuwa sehemu ya Russia, waliahidiwa kwamna watasaidiwa kujitegemeza pia kukuza utalii wao, lakini sasa imekuwa sivyo, anachowafanyia Russia ni kuwahumiza wa Crimea kuhamia maeneo mengine ndani ya Russia huju Crimea akuzidi kuifanya ya kujeshi kwa kuzidi kujaxa na kurundika makambi na vifaa, huku jimbo likiingozwa ki Polisi kwa sheria kali mpaka wanajuta
Britanicca
Mkuu mmefeli sanaTumekusikia mmarekani Sterling wa Nato,na kawaida sterling hauwawi akiuwawa movie imekwisha
Hizi habari za Ukraine kuhusu Crimea ni propaganda za chekecheaRais Wa Ukriane bwana Zelensky ni mchekeshaji nilitegemea zaidi ye ndo afanye Comedy Lakin anayefanya Comedy ni Putin na Kadrov wa Chechen ambaye yupo Kwa ajili ya picha za TikTok,
Urusi Sasa hivi wanakuja ns km 13, wamesahau kuwa walishapeleka convoys za Km 64? Halafu zote zimebaki story?
Sasa hivi wakati maisha yanaendelea kama kawa ndani Kyiev huku viongozi wakubwa wakiingia na kutoka kwa kupishana, Russia akija kustuka kile alichokuwa hakitaki kiingie Ukraine atakuta kimeshaingizwa, yaani mitambo ile ya kijasusi na kiulinzi aliyokuwa hataki iwekwe atastuka imeshawekwa tayari.
Ulaghai wa Putin Crimea...wananchi Crimea wameshaanza vuguvugu, hawataki tena kuwa sehemu ya Russia, waliahidiwa kwamna watasaidiwa kujitegemeza pia kukuza utalii wao, lakini sasa imekuwa sivyo, anachowafanyia Russia ni kuwahumiza wa Crimea kuhamia maeneo mengine ndani ya Russia huju Crimea akuzidi kuifanya ya kujeshi kwa kuzidi kujaxa na kurundika makambi na vifaa, huku jimbo likiingozwa ki Polisi kwa sheria kali mpaka wanajuta
View attachment 2182842
Britanicca
Mbona unalia lia wewe kwa kuoteza habari za Ukraine na kusema Urusi ahahahahMkuu mmefeli sana
Kukusaidia TU,vita ni ya Russia na ulimwengu wa magharibi🤭na SII Ukraine,huyo amekuwa TU mbuzi wa kafara.Mkuu mmefeli sana
Ulaya yote inalea wakimbizi, jumlisha bei za mafuta juu hii ni kote kotePutini ataifilisi Urusi.
Sasa Russia si awafuate hao wa Magharibi awakomeshe na akate mzizi wa fitnaKukusaidia TU,vita ni ya Russia na ulimwengu wa magharibi[emoji2960]na SII Ukraine,huyo amekuwa TU mbuzi wa kafara.
Micron huko anapumulia mashine wananchi wanamtaka kiongozi atakaye wajali na sio kuwaendekeza US.Rais Wa Ukriane bwana Zelensky ni mchekeshaji nilitegemea zaidi ye ndo afanye Comedy Lakin anayefanya Comedy ni Putin na Kadrov wa Chechen ambaye yupo Kwa ajili ya picha za TikTok,