Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Urkrainian defense reports
Verified by actual Urkrainians, in Ukraine. The source is clearly listed in the graphic, feel free to find your own sources. You can share them in the comments
These are the indicative estimates of Russia's losses as of April 9, according to the Armed Forces of Ukraine.
See my other posts for details on Russian reports and further analysisView attachment 2182927
Nakazia [emoji635][emoji635][emoji635]Nasikia ile s 300 ya msaada waliopewa na Slovakia wahuni wameikula tayariView attachment 2183078
Sina ushahidi wowote kama Putin alifundishwa kudanganya kama sehemu ya kazi yake,kama unao lete,ila nina ushahidi kwamba Western mainstream media journalists are trained to cheat,as part of their training.See this👇+-Sawasawa ila ukumbuke: Putin alifundishwa mambo yake katika utumishi wa KGB; uwongo na udanganyifu zilifundishwa kama ufundi wa upelelezi kwenye vyuo vyao alipohitimu.
Ngoja uone anavoji kanyaga kanyaga ...we msikilizie tu ...[emoji4][emoji4][emoji4]Leo Ujerumani kulikuwa na maandamano ya kuiunga mkono Russia unaliongeleaje hili?
Russia imeupelekea moto mkali msafara wa kijeshi wa jeshi la Ukraine..katika shambulio hilo magarivita na silaha za kudungulia ndege vya jeshi la Ukraine vimeteketezwa na kuwa majivu matupu
View attachment 2183010
HeheheeeNasikia ile s 300 ya msaada waliopewa na Slovakia wahuni wameikula tayariView attachment 2183078
Madhara yapi tena, au hujui kuhusu Hiroshina na Nagasaki. .Ili dunia iendelee kuwa salama inatakiwa Russia itumie bomu moja la Nuclear ili kuonesha madhara ya vita ya Nuclear
Taratibu usiwe na haraka haya mahaba kwa Mrusi yata kufanya uimbe taarabu..Kuna watu niliwaambia humu ndani hzo silaha anazopewa ukraine kwa Russia sio kitu, Russia anauwezo wa kutuma kombora nchi yoyote ya NATO na hakuna airdefense itakayozuia yani akisema natuma kombora Washington linafika freshy na linafanya maafa.
Silaha za west zimefeli sana kwa Russia, mrussi anamtia aibu sana marekani airdefense zake ni mbovu afu wanataka battle na mrussi si watachakazwa hawa. Eti unampelekea mrussi javelin na unategemea itafanya kazi mbele ya Russia.
Kuna watu humu ndani Pro USA hawaijuii Urussi vzr wamekua wanaangalia movie za kina Rambo wanadanganywa wanaamini. Russia wako vzr sana kwenye sekta ya teknology Elon Musk mwenyew anafanya kzi na Warussi kwenye satelite zake huko hawa jamaa ni hatari.
Teknologia waliyonayo kwenye jeshi ni hatari na kuna silaha nyingi sana hawajatuonesha hawanaga jambo wenyewe ni kazi kazi hawana muda na media kama US. Wakati Russia anafanikiwa kutest airdefense mpya S-550 yenue uwezo wa kuangamiza target mpaka 10,000km na inauwezo wa kuzuia hypersonic missiles. Kumbuka mpaka sasa marekani anafeli kutest hilo kombora anaishiaa kutudanganya eti alitest kimya kimya wkt kafeli mara 3.
US atamshinda Russia kwenye sekta zingine lkn sio millitary. Hakuna nchi inayompa wakati mgumu US mipango yake mingi inafeli coz ya Russia yani hawa jamaa wamemshika US pabaya sana. Na US anawaogopa ataishia kuwapa sanctions tu na sio kupigana na Mrussi inshort hao NATO wote kwa Russia ni wachumba hakuna chochote wanachoweza mfanya wataishia piga kelele kwenye media tu
Боже, благослови Россию
Wanaume wanaelekea mzigoni tena...
Picha za setilaiti zimeonesha msafara mrefu wa kijeshi wa majeshi ya Russia ukiwa na zana kali za kivita za kuangamiza hadi sisimizi wa Ukraine
(yakiwemo makombora ya hypersonic yale ambayo Marekani na shoga zake NATO wanashinda wanamuomba Mungu huku jasho likiwavuja vikwapani ili angalau waijue teknolojia ya Mrusi aliyoitumia kuyatengeneza makombora hayo nao wakopi/waigilizie)
View attachment 2183015
Zelensky akiri Putin kupitia majeshi yake ameiadhibu vibaya Ukraine na waUkraine. Asema kuwa sio kwamba anapenda kujadiliana na Putin ili kupata amani ya Ukraine...ila analazimika afanye hivyo.
Zelensky kaapa kutochezea fursa/ngekewa hiyo aliyopewa na Putin baada ya yeye Zelensky kuililia kwa muda mrefu
View attachment 2183027
Amchomoe tuuuMwana mama Le Pen kamkalia Macron shingoni
Kuna tetesi kuwa Finland jirani yake Putin aliyekuwa hafungamani na upande wowote anataka kujiunga NATO. Sijajua kama ni habari sahihi au lah. Kama ni sahihi Putin anachokonolewa ili hasira zimpande zaidi.[emoji2]
Wapeleke msaada mwengine huu wahuni washaufyagia [emoji3][emoji3][emoji3]