TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Taarifa zilizopo ni kuwa yupo" Lyvin " baada ya kutoroka Kyiv. Na video zilizowekwa alizirecord awali.Huyo mwamba kama ataendelea kubaki kyv watamla kichwa kama wamemkosa inamaana bado watadili naeView attachment 2132685
😂😂😂😂😂mbna habari hii haipo MKUU
ingawaje kama ipo itapendeza sana
si uweke hapa tujisomeePutin alishasema walisitisha mapigano kupisha mazungumzo kama wewe unaona walizidiwa ni wewe.
Japo sijui kiundani sanaNaona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
Kwa hio inamaana Russia sasa wanadili nae kimya kimya ili wamkamate sio kumuuaTaarifa zilizopo ni kuwa yupo" Lyvin " baada ya kutoroka Kyiv. Na video zilizowekwa alizirecord awali.
Sijui , Mkuu.Kwa hio inamaana Russia sasa wanadili nae kimya kimya ili wamkamate sio kumuua
Si rahisi sanaHuyo mwamba kama ataendelea kubaki kyv watamla kichwa kama wamemkosa inamaana bado watadili naeView attachment 2132685
Ukifuatilia vizuri, utagundua kwamba Urusi anatumia muda wa Asubuhi na Mchana wote kuingiza majeshi Ukraine, Kisha usiku anatumia kupigana... So kuna muda Ukraine watakuja kustuka kila kona ya nchi yao ndani na nje wamezungukwa na UrusiAnapewa jeuri na mmarekani na washirika. Kumbe hawamjui vizuri PUTTIN ee. Na atakaejifanya kumsaidia imekula kwake mammmmmaeee
Urusi hawaki kumuua Rais. Ingekuwa hivyo si wangelipua Ikulu??Kwa hio inamaana Russia sasa wanadili nae kimya kimya ili wamkamate sio kumuua
Uzuri huna la kufanya na ataendelea kuiendesha Dunia ukiwemo na wewe.Ni wajibu wake kama babu. Uwezo wake wa kufikiri ni level ya kulelea wajukuu
Porojo hizi,walipue Ikulu hiyo jeuri wanayo?Urusi hawaki kumuua Rais. Ingekuwa hivyo si wangelipua Ikulu??
Haya sasa warusi wa kwa Mtogole mnasikia haya reymage 😅Putin's spokesman Dmitry Peskov: Russia is ready for talks in Gomel, Belarus, and now Moscow is waiting for Ukraine.
Ukrainian President Zelensky: Warsaw, Istanbul, Baku - we have offered these cities to Russia for negotiations and any city where missiles do not fly to Ukraine.
Mimi nachojua ni kwamba Italy Spain na Ureno, Ni walatino japo wapo ulaya. Wazungu warussi German poland nkNaombeni mniambe tunaposema huyu ni mzungu tunaangalia ngozi ama! Mana nashangaa kuwaita warusi eti ni wazungu wakati hawatoki Ulaya.
Mzungu in English is called a European. Sasa Kama tunaangalia ngozi nyeupe Basi hata mchina, mhindi n k naye ni mzungu
Tafadhari naomba msaada!! Mzungu ni nani na je ili aitwe mzungu lazima awe na ngozi nyeupe, au aishi Ulaya au yeyote anaweza kuwa mzungu mchina ili mradi ni raia wa Ulaya au uchina
juzi nilimsikiliza mtaalamu fulani wa mambo ya Diplomasia kutoka Kenya anadai hairuhusiwi kutumia nguvu kupita kiasi na pia sheria za kimataifa zimekataza nchi yeyote kufanya mashambulizi eneo la maghala ya chakula na makazi ya watuZiko wapi hzo ? Achana na story za vijiweni , ni mda mwafaka wa urusi kutuonyesha mana ameitafuta chance , na imetokea ,..urusi itamgharimu Sana , japo Ukraine ndo middle , wahuni wao wanakula kuku Kwa mrija maeneo ya Indianapolis