LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naombeni mniambe tunaposema huyu ni mzungu tunaangalia ngozi ama! Mana nashangaa kuwaita warusi eti ni wazungu wakati hawatoki Ulaya.

Mzungu in English is called a European. Sasa Kama tunaangalia ngozi nyeupe Basi hata mchina, mhindi n k naye ni mzungu

Tafadhari naomba msaada!! Mzungu ni nani na je ili aitwe mzungu lazima awe na ngozi nyeupe, au aishi Ulaya au yeyote anaweza kuwa mzungu mchina ili mradi ni raia wa Ulaya au uchina
 
Putin alishasema walisitisha mapigano kupisha mazungumzo kama wewe unaona walizidiwa ni wewe.
si uweke hapa tujisomee

CC147C1D-EFE1-488D-9E79-3DD31F6EE9BE.png
 
Naona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
Japo sijui kiundani sana

Russia alikuwa anataka miji ya crimea ,donestk, luhansk na donbass naona kashaipata kwanini anenda kiev?

Unaposema ukraine hajazidiwa unamaanisha nini wakati vita inapigwana kwake tena makao makuu ya nchi na tunaona wakiomba msaada na kutumia wanachi?
 
Anapewa jeuri na mmarekani na washirika. Kumbe hawamjui vizuri PUTTIN ee. Na atakaejifanya kumsaidia imekula kwake mammmmmaeee
 
Wherever the Islamic Republic finds its interests, it will be there, be it in the East or the West, according to Iran’s Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian.
 
Anapewa jeuri na mmarekani na washirika. Kumbe hawamjui vizuri PUTTIN ee. Na atakaejifanya kumsaidia imekula kwake mammmmmaeee
Ukifuatilia vizuri, utagundua kwamba Urusi anatumia muda wa Asubuhi na Mchana wote kuingiza majeshi Ukraine, Kisha usiku anatumia kupigana... So kuna muda Ukraine watakuja kustuka kila kona ya nchi yao ndani na nje wamezungukwa na Urusi
 
Putin's spokesman Dmitry Peskov: Russia is ready for talks in Gomel, Belarus, and now Moscow is waiting for Ukraine.

Ukrainian President Zelensky: Warsaw, Istanbul, Baku - we have offered these cities to Russia for negotiations and any city where missiles do not fly to Ukraine.
 
Haya sasa warusi wa kwa Mtogole mnasikia haya reymage 😅
 
Naombeni mniambe tunaposema huyu ni mzungu tunaangalia ngozi ama! Mana nashangaa kuwaita warusi eti ni wazungu wakati hawatoki Ulaya.

Mzungu in English is called a European. Sasa Kama tunaangalia ngozi nyeupe Basi hata mchina, mhindi n k naye ni mzungu

Tafadhari naomba msaada!! Mzungu ni nani na je ili aitwe mzungu lazima awe na ngozi nyeupe, au aishi Ulaya au yeyote anaweza kuwa mzungu mchina ili mradi ni raia wa Ulaya au uchina
Mimi nachojua ni kwamba Italy Spain na Ureno, Ni walatino japo wapo ulaya. Wazungu warussi German poland nk
 
Ziko wapi hzo ? Achana na story za vijiweni , ni mda mwafaka wa urusi kutuonyesha mana ameitafuta chance , na imetokea ,..urusi itamgharimu Sana , japo Ukraine ndo middle , wahuni wao wanakula kuku Kwa mrija maeneo ya Indianapolis
juzi nilimsikiliza mtaalamu fulani wa mambo ya Diplomasia kutoka Kenya anadai hairuhusiwi kutumia nguvu kupita kiasi na pia sheria za kimataifa zimekataza nchi yeyote kufanya mashambulizi eneo la maghala ya chakula na makazi ya watu
hivo basi, usitegemee Urusi atumie silaha nzito,sheria inamtaka a target military facilities tu
 
Back
Top Bottom