LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Haahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?
 
Haahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?
Inashangaza,wakati Ukraine ni sehemu ya Soviet Union.
Hadi kufika 2050 USSR itakuwa tayari imerejea, wenzetu wana vision na mission za mbali sana.
 
Hiyo haizuiliki ipo hata kabla ya dini zote na itakwepo labda dunia ipasuliwe, ndipo itapumzika na mambo ya vita. Isipokuwa ombea isitokee eneo lako tu.
Sisi ni binadamu tunaweza sana kukaa kwa amani. Kuna watu wanaabudu legacy ndo huwa wanapenda vita. Ni tatizo la kisaikolojia.

Sasa akishakuwa raisi wa mataifa makubwa kama hao wa urusi na marekani ndo watu wanakufa kama kuku kulinda legacy zao.
 
Baraza hilo lipo kupiga hela tu za walipa-kodi; speech ndefu zisizo na tija. Israeli kila mwaka anaiguyuguza Palestina na Iran lakini wao mishahara inapanda huko UN.
 
Leo ndo mnaona hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…