LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
Mkuu hoja nyingine ni za walevi wa chang'aa.Shida ya kupambana na nchi yenye nukes ni kuwa atazitumia na zina madhara makubwa hata kama mtamshinda kwenye vita. Nje ya nuclear, NATO ndani ya mwezi anaiteka Urusi yote.
 
We endelea kuota, watu wamechoka na ubabe wa USA, wanakiwasha na hakuna kitu mtawafanya.
Kina nani wamechoka. Hao wanaopigania kilomita 10 kwa siku mbili? Yani Belarus na Russia ndio unasema wamechoka, hata ukijumlisha uchumi wao hauathiri sana dunia. Sanasana bei ya mafuta na gesi itapanda, mafuta yatakuwa replaced na output kubwa ya OPEC. Russia ataendelea kuuza gesi Ulaya kama hataki ainywe, Ulaya ina options kibao za gharama kubwa kupata gesi. Russia isiuze gesi uchumi ufe tuone kama raia hawataandamana
 
Russia wameendelea kushambulia na sasa wanashambulia mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine wa Kharkiv. Hii imetokana na kuoana wanapata upinzani ambao hawakuutegemea katika jiji la Kiev.

Wanajeshi wa Ukraine wameonekana wakipambana kutoa upinzani ambao haukutegemewa kwa Russia. Mapambano ni makali ingawa Russia inapewa nafasi kubwa ya kushinda. Ila haitakuwa kirahisi sana kama ambavyo walitegemea.

Ukraine imeendelea kukaribisha wanajeshi wa nchi rafiki na wowote walio tayari kuungana nao katika vita hivi.

Wanajeshi wa Russia wamekutana na changamoto toka kwa wananchi wa Ukraine ambao wameonesha kutokubaliana na wao kuwepo nchini mwao.
 
Naona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
Ukraine haikuwa imejiandaa vyema kupigana wakati huu. Ilikuwa na silaha ambazo huwezi nunua wala kufanya training vita ikianza ila hawakuwa na mobilization hata resistance imetokea masaa mengi tangu movements za Russia zianze. Walikuwa wanaambiwa na UK na US intelligence kwamba Russia atavamia wanajibu eti tumezoea kuishi hivihivi tangu 2014 wala msiogope. Sasa unavamia jeshi lisilo na mobilization, unawakamata off guard kisha unaperform low hivi na wewe ni superpower. Tukiwaambia watu wanatuita team US
 
Ni aibu kubwa Sana kuilinganisha US na ujinga wa Urusi
 
si uweke hapa tujisomee

===
Tuanzie hapa kwanza.
 
Huyu hapa
 
⚡⚡Peskov claims it was the Ukrainian side that initially chose Belarus as the place for talks.

Earlier Zelensky refused talks, citing "military action from Belarussian side".

RT
 
Huko Media zao tu wanasema Jeshi la Russia halijaanza safari ya kuingia wanaopiga kwa sasa ni kile kikundi kidogo cha jeshi kinachfanya tathmini na kulegeza njia wakipewa green light tu ni moja kwa moja kukibeba kile kijoti.
Propaganda tu hizo.
 
Urusi anataka mazungumzo tena?
Hapana, UKRAINE waliomba mazungumzo URUSI akakubali kwa sharti moja kuwa mazungumzo hayo yafanyikie BELARUS. Urusi wamefika kuwasikiliza lkn UKRAINE wanata mazungumzo yafanyike UTURUKI au NCHI yoyote isiyoungana na URUSI kwenye mzozo huu.
 
Eukrain ni nchi huru. Inajiunga na umoja inayotaka, inajilinda kwa namna inayoona inafaa. Si lazima ifuate matakwa ya Russia. Au ni lazima? Maana umeandika kama vile Eukraine inatakiwa ifuate matakwa ya Russia na si USA ukasahau kuwa ile ni nchi pia.

Inawezekana kulikua na makubaliano huko nyuma na yamevunjwa. Lazima kuwe na sababu
 
Reactions: Tsh
Hapana, UKRAINE waliomba mazungumzo URUSI akakubali kwa sharti moja kuwa mazungumzo hayo yafanyikie BELARUS. Urusi wamefika kuwasikiliza lkn UKRAINE wanata mazungumzo yafanyike UTURUKI au NCHI yoyote isiyoungana na URUSI kwenye mzozo huu.
Ooh. Ookey. Asante. Sipo karibu na sorce reliable ya habari . Vipi huko, Russia kafikia hatua gani?
 
Russia has nothing to offer economical, marekani anapendwa na nchi za ulaya sababu ya kuwa na uchumi Mkubwa na ela, urussi angekua na GDP kubwa kuliko nchi zote ulaya haya yote yasingetokea kwa sababu hata Ukraine angemngangania Ila ela Ina nguvu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…