Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Made in Urusi. Hii nchi siyo ya mchezo mchezo. Funzo katika nchi zetu za kiafrika. Tunatakiwa kujitegemea kwa kila kitu. Kuanzia kwenye familly level
View attachment 2185869

View attachment 2185873
Ila russia wanatakiwa wajitahidi sana kwenye upande MEDIA yaani wawekeze huko ....vyombo vya habari vina mchango mkubwa sana kuwa famous wamarekani na ulaya hasa kwenye matangazo ya bidhaa zao kama vile zile AIR BUS NA BOEING na biashara zingine kama military EQUIP ....hiyo sekta waingalie upya ...ili waweze kuvi brand vitu vyao ...kama wanavo fanya west na ulaya ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakwambia huu mwaka mtakana maneno yenu si mchezo [emoji16][emoji16][emoji16]
Uzuri sisi tutaendelea kuwakumbusha tu.
Ww hata uji chekesha ukweli huwa haukimbiwi ndugu zenu hali ni tete.

Sasa hivi wameanza kukamata mpaka raia wao wenye asili ya Urusi ili kuishinikiza Urusi iwaachie wanajeshi wao walio tekwa sasa lini raia akabadilishwa na mwanajeshi kama sio kutapatapa.
 
Jamaa kageuza huu mjadala kuwa full time job kwake,kumbe wengine tunafanya hii at our leisure time baada ya kuweka ratiba sawa za siku nzima.
 
Reactions: Tsh
Makasiriko

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😂😂😂
Hii ni noma aisee, hao watu watoke salama, la sivyo ni mauaji ya kikatili sana yatafanyika.
 
Nasikia raisi wenu mpendwa kaanza kuwakamata raia wa nchi yake wenye asili ya Urusi ili kuishinikiza Urusi iwaachie wanajeshi wake walio tekwa huko maliopol.
Wakati huko nyuma mlituamisha ya kwamba Ukrain ime wateka wana jeshi wengi wa Urusi sasa kama ina wanajeshi ilio wateka kwanini wasiende kufanya mabadilishano wapewe wanajeshi wao?
 
Ukraine anataka mabadilishano kati ya Raia na Wanajeshi wapi na wapi hiyo..
 
Nawaonea huruma sana hawa jamaa, lakini kuna "sauti" inaniambia, "usiwaonee huruma, wanapata wanachostahili".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…