Wamemkamata usiku wa kuamkia Leo,"wamemfamyaje "Sasa.?Kuna kamanda mshauri wa vita kutokA UK wamemkamata usiku wa kuamkia leo
Ukiona hivyo ujue hawana wanajeshi wa kubadilishana nao kwa hiyo zile propaganda za wanajeshi wengi wa Urusi wameteka zimeanza kuwaumbua.Ukraine anataka mabadilishano kati ya Raia na Wanajeshi wapi na wapi hiyo..
Safari hii wamarekani wamepatikana,kwa Rais huyuBiden confused Ukraine with China.
“The two largest grain producers: China and… excuse me, Ukraine and Russia,” he said during his speech.
Galip SV
View attachment 2185735
Mmmmmmh!Eneo la kiwanda ni kubwa Ekari kadhaa, afu kiwanda kina chambers kwa chini...
Kilijengwa hivyo kuhimili vita kipindi cha USSR kwa hiyo watu zaidi ya 3000+ wakijificha humo huna cha kuwafanya.
Ila kutekwa kubaya nyie utafikiri sio hao waliokua wanapeana morali "k@make "hawatoki hapa mara jamani javelini sijui javalini ziongezwe mara warusi hawatoki mara tutajipigia tu lakini woooolaaalayoooiii wapoleee wenyewe wajeda wa watu wa the comedy na kama kuna black hapo atakua ni ganga zumba tu hapo😂😂View attachment 2185809
⚡️The promised footage of the mass surrender of Ukrainian marines. Soon other military personnel will follow their example⚡️
Huyo hapo superpower wenu wa dunia anailaumu Urusi kwa kuyafanya maisha ya wamarekani kuwa magumu.Wala hatuna maneno mengi kama wao,wanaongea mpaka wanasahau walichoongea jana,kuna mwingine hadi alisema kwa uhakika Uchaguzi wa France yule mama anashinda sababu ana mitizamo ya Putin[emoji3],baada ya matokeo round ya kwanza kutoka nikamkumbusha,alipita kimyaa mpaka leo,nimemwambia navuta subira mpaka round ya pili [emoji3]
Hizo ni propaganda za west fox newsHuyo hapo superpower wenu wa dunia anailaumu Urusi kwa kuyafanya maisha ya wamarekani kuwa magumu.
Alafu kuna dada mmoja ana itwa Nyamizi kutoka nchi ambayo raia wake wanaishi chini ya $moja ana kwambia Urusi ni nchi maskini na Marekani ni kila kitu ndani ya dunia.View attachment 2185954
Ha ha ha haaaa! Jiongeze Mkuu.kwa hiyo juzi Boris kaenda 🇺🇦🇺🇦 kukutana na zelensky na kumbembeleza awaachie mateka was🇬🇧🇬🇧🇬🇧 waliokua wanapigana kuwasaidia🇺🇦🇺🇦🇺🇦?
Nyamizi njoo uone akiri ya pro🇷🇺🇷🇺. 😂😂😂😂😂