Duhh ...ni kweli nimekuelewa .....na bila kuuvaa ushetani kama wafanyavo hawa majambazi hutoboi....ni kweli kabisa ......ila nilichojifunza kwenye huu mgogro wa RF NA UKRN ...media zina nguvu sana kama ulivosema ....na zikiamua kusimamia uongo zinasimamia kweli kweli ...Sio rahis hata kama ukitaka... Kwenye biashara kuna u-Monopolisim mwingi sana. Start Up zinakufa ama kununuliwa na wakubwa walioko sokoni.
Na ambacho wakijua nikukumbushe au kama hukijui bs nikufahamishe, hizi media hasa kubwa zaidi ya 90% ziko owned na kikundi flan ambacho naeza sema kipo nyuma ya matukio mbali mbali duniani.
Katika agenda yao Media, ni Weapon moja ya muhim katika kucontrol mind za watu. That's why unasikia nn wanataka usikie na hutosikia kile wasichotaka usikie.
Usiione hii Monopoly ya social media Kama FB, Twitter, YouTube na Vyombo vy habari vikubwa uvisikiavyo vipo hapo kwasabab vinaweza no... Kuna alternative nyingi zipo tu ila huwa zinaishia kununuliwa ama kuuliwa wasiendelee...
Leo anzisha ata business yoyote itakayoonekana kuleta competition sokoni. Chap tu utanunuliwa ukizingua utanyanganywa.
Instagram na WhatsApp hazikuwa mali ya Facebook ama Meta Platforms mwanzo... Zote hizo zimenunuliwa. YouTube hii hii unayokesha nayo haikuanzishwa na Google bali imenunuliwa kutoka kwa Founders nje kabisa ya Google.
That's how most Giant Companies ziko hapo zilipo... Ni ka game la nyoka... Kadri unavozidi kula ndivo unavozidi kurefuka. Dunia ina mengi nyie acheni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Na ukijikuta Mtakakatifu utaendelea kubaki nyuma tu. Mpaka uwe na roho chafu ndo utatoboa.
😂😂😂 sasa hapo tusi likowapi ?. Kumbe mm kukwambia asante Dada ni tusi ?.Heshima haiuzwi ni free, mwalimu mzima nilitegemea utakua na akili kumbe ni zero brain, sasa unafundisha nini watoto wetu huko shuleni?
Hivi kweli huyu mwalimu ndo anatufundishia watoto wetu. Ujanja wote kumbe mwalimu wa Primary.
Il-96-400M Abiria 370 - Made in Russia
View attachment 2185831
aaaaaa!!!!. BBC wazee wa propaganda 😂😂😂😂😂
Airbus defends Russian titanium use, urges against sanctions.
“We don’t think sanctions on imports [of titanium] will be appropriate. This will be a small impact on Russia, and would have large consequences on the rest of the countries and the industry. So we think the no-sanction policy actually is the most meaningful one,” — said Airbus CEO Guillaume Faury at the company’s annual general meeting on Tuesday.
@RussiaUSA
Halafu Wayukraine wa Mwigobelo wanakaza shingo ...
😂😂😂 naendelea kukukumbusha usipende kutumia neno "matacore" kutukana watu wenye mtizamo na mawazo tofauti na wewe . acha matusi 🙏🙏🙏Hivi warusi hawana technologia gani?? Na tunaaminishwa kuwa maskini. Kuna Lesbian moja humu ndani anakaza matacore kabisa eti Russia maskini wakati pato letu la taifa la mwaka wao wameingza kwa mwezi 1 kwa kuuza nishati oil/gas only na Europe tu, hapo hatujaigusa china, india na nchi zingine.
Hatujagusa ngano, alizeti, madini, mbolea nk. Unafikir kwa mwezi wana make kiasi gani?? Russia sio Africa. Hao wameshindikana US atafute wa kumzingua lkn sio kwa Russia.
Wanaogopa kubakwaIle S300 iliyotoka Slovakia ilipigwa kabla hata haijafanya lolote. Imebaki majivu!
Kupeleka silaha tu sio suluhisho maana Ukraine bado wanazidiwa pelekeni na wanajeshi. Silaha zenyewe mnazopeleka ni nyepesi. Kwa nn US asipeleke F22 Raptors au makombora ya Tomhawk au helkopta za black hawk au THAAD ad au Patriot ad system. Visilaha mnavyopeleka ndio vitazuia mashambulizi ya urusi kweli!? Mtu anapigwa cruise, kalibr, Hypersonic missiles we unamoa jevelin ya itamsaidia nn!?
Kuna wanajeshi 3000 wamekwama azovstal hawana chakula wala ammunition nendeni mkawakomboe. Wakichukuliwa mateka itaathiri morali ya jeshi lenu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]...wanasema JAVELINI itawakomboa hao wajomba 3000 waliokwama huko chini ya kiwanda....Ile S300 iliyotoka Slovakia ilipigwa kabla hata haijafanya lolote. Imebaki majivu!
Kupeleka silaha tu sio suluhisho maana Ukraine bado wanazidiwa pelekeni na wanajeshi. Silaha zenyewe mnazopeleka ni nyepesi. Kwa nn US asipeleke F22 Raptors au makombora ya Tomhawk au helkopta za black hawk au THAAD ad au Patriot ad system. Visilaha mnavyopeleka ndio vitazuia mashambulizi ya urusi kweli!? Mtu anapigwa cruise, kalibr, Hypersonic missiles we unamoa jevelin ya itamsaidia nn!?
Kuna wanajeshi 3000 wamekwama azovstal hawana chakula wala ammunition nendeni mkawakomboe. Wakichukuliwa mateka itaathiri morali ya jeshi lenu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120]....asante mkuu ...ebu mpange ila sijui kama atataka kukuelewa ...Leisure time yako ni 24 hours boss!?
Samahani lakini!
Putin hana akili ,gharama ya vita atafilisi Urusi. Civilized nations wanagawana gharama ya vita nchi zote za EU, Uingereza na Marekani. Civilized nations zinaweza kucheza ngoma ya Ukaraini muda mrefu bila kuyumba.kibuyu kimelia kichaa Putin ameomba mapatano na 🇺🇦🇺🇦🇺🇦.
😂😂😂
Pro nato labda wataelewa ukali wake baada ya kutumia neno terminator maana ni majina ya movie zaoMagari ya kivita ya ajabu na ya kuitisha ya Russia yaitwayo 'Terminators' yamiminika kuelea mpakani mwa Ukraine na Russia
Terminators hizo kazi zake ni kuyalinda magarivita mengineyo, kuangamiza MANPADS, kuangamiza vifaru kwa kutumia teknolojia ya juu zaidi kiasi kwamba kifaru chaweza kuangamizwa hata kikiwa umbali wa kilomita 6. Terminators hizo pia zima bunduki mbili za kipekee ambazo zaweza kutumika kuangamiza helicopters za adui angani. Pia Terminators zina mifumo ya ulinzi wa anga.
Terminators ni mara ya kwanza kuonekana kuingia mzigoni Ukraine
Asante sana Putin....
View attachment 2184279
View attachment 2184281View attachment 2184282
[emoji23][emoji23][emoji23]....yumo hapo muangalie vizuri GANGA ZUMBUKUKUIla kutekwa kubaya nyie utafikiri sio hao waliokua wanapeana morali "k@make "hawatoki hapa mara jamani javelini sijui javalini ziongezwe mara warusi hawatoki mara tutajipigia tu lakini woooolaaalayoooiii wapoleee wenyewe wajeda wa watu wa the comedy na kama kuna black hapo atakua ni ganga zumba tu hapo[emoji23][emoji23]
Ni ngumu...Mmmmmmh!
Chief, Russia anaweza kuwaua hao watu kifo cha kikatili sana.
Unafikiria gharama tu, umejaribu kufikiri Maisha ya wa Ukrane pamoja na nchi yao..Putin hana akili ,gharama ya vita atafilisi Urusi. Civilized nations wanagawana gharama ya vita nchi zote za EU, Uingereza na Marekani. Civilized nations zinaweza kucheza ngoma ya Ukaraini muda mrefu bila kuyumba.
Hakuna exit kweli muda wote huo. Si inachimbwa chini kwa chini mpaka baharini💢Elon Musk is establishing a starlink connection over Azovstal plant so that trapped NATO command can upload their consciousnesses into Zuckerberg's Metaverse mainframe where 72 AI virgin boys await.
They will be rescued after all!
Wale ni WA kuflashiwa tu hakuna haja ya risasi ni kumwaga maji wacheze kama kambale watatoka tu mmoja mmoja.
Mmhh ....bwana mkubwa em rudia kufikir upya hivi russia akidondosha mizigo mitano ya maana hapo kama vile ISKANDER M ....bado patabakia hivo ivo ....eti mkuuWalikuwa ndani ya kiwanda....
Eneo la kiwanda ni kubwa Ekari kadhaa, afu kiwanda kina chambers kwa chini...
Kilijengwa hivyo kuhimili vita kipindi cha USSR kwa hiyo watu zaidi ya 3000+ wakijificha humo huna cha kuwafanya.
Yes yes, na hiyo Monopoly kuja kuisha si leo wala kesho labda Unipolar ya US ife... kwasabab wana Back up kwenye serikal yao... Angalia Competitors wanavopigwa pin kwa ban zisizo na mashiko....Duhh ...ni kweli nimekuelewa .....na bila kuuvaa ushetani kama wafanyavo hawa majambazi hutoboi....ni kweli kabisa ......ila nilichojifunza kwenye huu mgogro wa RF NA UKRN ...media zina nguvu sana kama ulivosema ....na zikiamua kusimamia uongo zinasimamia kweli kweli ...
Ngumu kumeza.H
Hakuna exit kweli muda wote huo. Si inachimbwa chini kwa chini mpaka baharini
MC-21-300 Made in Russia.
View attachment 2185840