LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Empty head unazani Usa akiingia kuna ambacho uyo basha wako ata fanya?? Ilo ni biti la mtu anae jua majibu amna nchi inayo ingia ingia tu vitani kwa sababu ya nchi nyingin
Sasa unasema kwa emotions why?
 
Mkuu kwenye habari za kivita hukuwahi kutuangisha.
 
Hapana, UKRAINE waliomba mazungumzo URUSI akakubali kwa sharti moja kuwa mazungumzo hayo yafanyikie BELARUS. Urusi wamefika kuwasikiliza lkn UKRAINE wanata mazungumzo yafanyike UTURUKI au NCHI yoyote isiyoungana na URUSI kwenye mzozo huu.
Uturuki angekuwa mediator mzuri maana yuko neutral ingawa ni NATO member, Belarus anashirikiana na Urusi kuvamia. Wakishindwa uko wangeenda China ambaye ana maslahi na Urusi na pia Ukraine ila Western powers wanavyopenda sifa wanaweza mwambia Zelensky akatae. Lazima tukubali Ukraine somehow iko under pressure ya mabeberu, ila nayo inawatia pressure na kuwalazimisha hasa kujiunga na NATO
 
Hadi sasa,ni miji gani ambayo Russia wanaweza sema wana control 100% kutokana na hii vita ukiacha kule Dombass na Crimea ambazo hazikuwa chini ya Ukraine wakati vita inaanza?...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Marekani ana uchumi mkubwa, haya mwambie akavamie NORTH KOREA kama uchumi ndio unapigana. Uchumi ungekuwa unapigana USA asingekimbia AFIGHANSTAN. Akili unaziacha wapi wewe?
 
ninacho kiona NATO wanataka Rashia aishiwe pumzi kwanza kwa kushindana ukrein ndio badae watengeneze zengwe ionekane kama ameishambulia moja ya memba wa NATO iliwapate validity ya kumshushia Rashia kwa sasa NATO wanausoma mchezo kisayansi huwezi kuingia kichwa kichwa bila kujua mifumo ya ulizi wa adui yako uwezo wake ukoje kwa hiyo ukrein atapewa silaha kutoka NATO katika kutest capability ya mifumo ya Rashia na inawezekana vita hii ikachuku mda ili Rashia u mtoke ulimi nje
 
Yaaa. Yawezekana.
Ni kama sisi hapa tanzania. Zanzibar waamue kujiengua na kujiunga na kenya, unafikiri nini kitatoa. Kunakua na vitu vingi nyuma ya pazia kabla ya vita kutokea. Ndiyo maana hata putin analazimisha ukrain wamuondoe raisi wao
 
Reactions: Tsh
Ooh. Ookey. Asante. Sipo karibu na sorce reliable ya habari . Vipi huko, Russia kafikia hatua gani?
Wanawasubiri UKRAINE na wasipotokea kichapo kinaendelea kuongezwa.
 
Reactions: Tsh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Marekani ana uchumi mkubwa, haya mwambie akavamie NORTH KOREA kama uchumi ndio unapigana. Uchumi ungekuwa unapigana USA asingekimbia AFIGHANSTAN. Akili unaziacha wapi wewe?
Arguments zenu sasa..khaaah 😀 😀 😀
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Marekani ana uchumi mkubwa, haya mwambie akavamie NORTH KOREA kama uchumi ndio unapigana. Uchumi ungekuwa unapigana USA asingekimbia AFIGHANSTAN. Akili unaziacha wapi wewe?
Dunia ya sasa inaepuka sana vita vya kuvamiana kama wanavyofanya Urusi na USA. Inaharibu sana uchumi halafu unakuwa weak. Inawezekana mavita vita ya USA yamemsaidia sana China kuwa sehemu anayoweza mtikisa USA kiuchumi.
 
Kwamba komandoo aende kupigana kwakuwa ni komando?bongo si mchezo!
 
Ni kama sisi hapa tanzania. Zanzibar waamue kujiengua na kujiunga na kenya, unafikiri nini kitatoa. Kunakua na vitu vingi nyuma ya pazia kabla ya vita kutokea. Ndiyo maana hata putin analazimisha ukrain wamuondoe raisi wao
Ipo complicated somehow
 
Wewe jamaa hata hujui kitu. Ni rahisi Urusi kujilinda Sasa dhidi ya Marekani kuliko baada ya Ukraine kuwa mwanachama kamili wa NATO
 
Kwa nikionacho, UKRAINE anatamani huu mzozo uishe na maisha yaendelee ila msukumo wa West unawafanya wachanganyikiwe, sasa wao ndio wamekuwa kilengeo. Nchi inaharibiwa vibaya sana. Waangalie namna ya kuondoa huu mzozo, wanaoumia zaidi ni UKRAINE na hadi sasa hakuna mji wowote wa URUSI umeshambuliwa hata na JIWE.
TUACHE USHABIKI, UKRAINE akae mezani wayamalize. WASITUMIKE NA USA na NATO maana wao ndio wataumia.
Nakumbuka speech moja Ya Ben Sanders aliwaambia wenzake USA kuwa sisi USA tungekubali USSR aweke kambi zake CUBA??
 
Ukraine anadanganya, hata yule Al sahaf wa Iraq alikuwa alisema anawachinja wamarekani lakiñi huku akijuwa kuwa anadanganya
 
Dunia ya sasa inaepuka sana vita vya kuvamiana kama wanavyofanya Urusi na USA. Inaharibu sana uchumi halafu unakuwa weak. Inawezekana mavita vita ya USA yamemsaidia sana China kuwa sehemu anayoweza mtikisa USA kiuchumi.
Nakwambia na amini kwamba USA hatopeleka JESHI kupigana na URUSI. BIDEN aliwahi kumwambia mwandishi wa habari. "URUSI SIO KIKUNDI CHA KIGAIDI, NI MOJA YA MAJESHI MAKUBWA DUNIANI. HIVYO KUINGIA VITANI NI KUBET NA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA."
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…