Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
I thought you said Western media is biased, why the hypocrisy and double standardsπππ
Na bado, mpaka muite maji "m'ma"...
Na kakideo natupia...ambako pia kamechapishwa na New York Post
View attachment 2186300View attachment 2186301
Great leaderKauli ya Kibabe
Uishi maisha Marefu Putin
Kajiunge na Social networks za RussiaDaah wanasema Democracy sasa ipo wapi? Huyu jamaa alikua anapost mambo yanayoendelea pale ukraine kala ban, Twitter ukiwa Russia side wanakuban.View attachment 2186279
Sasa kama wanashinda huko ukraine mbona wanaban account za watu? Shenzi sana
Sidhani hata kama atakuelewa hapa,yeye alitaka muanze battle ya maneno ili aanze kutiririka ile lugha aliyozoea iliyojaa kejeli na maneno ya kuudhi.Objective za Urusi zipo kwenye media karibu zote duniani, ni kwamba nimeona si sahihi kuzungumza hizo hoja na wewe.
Ndo maana namkwepa.Sidhani hata kama atakuelewa hapa,yeye alitaka muanze battle ya maneno ili aanze kutiririka ile lugha aliyozoea iliyojaa kejeli na maneno ya kuudhi.
Wajinga sana hawa mbuzi za Putin, wanadhani Twitter ni telegram wanakosambaza video za ngono.Kajiunge na Social networks za Russia
Asante sana. Ua NATOAMERICA wote.BREAKING NEWS:
Deputy FM: Russia will view US, NATO vehicles transporting arms in Ukraine as legitimate targets.
@green rajab hiyo post nahisi itakuwa hujaielewa...Unatype mapovu ukiwa Mbagala kwa nyoka
And Great thinkerGreat leader
Huyo mrussi ameongea kinyonge sana mpaka inasikitisha.
Kwa hiyo akiwa mwanasiasa ni sawa anadanganya? Eti yuko na wanajeshi wake jatarini ilhali anatulia nyumbani ? Sawa tu, siasa yako.Mtu ambaye before vita alikuwa na wafuasi laki sita Telegram saiv ana million 2+.....
Anafuatiliwa zaidi katika vita hii as an individual.
Nachosema mie hakuna ubaya hata asipoenda na akiongea sana, yeye ni political leader. Sio general wa jeshi.
Unadhani alidhani... blah blah siku 4. No evidences to back up your assertions whatsoever.Ukweli Putin miscalculated big kuhusu Ukraine.Alidhani bussiness as usual ,anateke kyiv ndani siku 4, anisimaka kibaraka wake and arrogantly declares to world the greatness of Russia. Not to be- war has been dragging on for six weeks , heavy loss(human and equipment) kwa Russia ,end unpredictable and no where in sight. Worse indictment for war crime looming large.
Waliishiwa risasi; kweli waliendelea hadi mwisho.πππ
Na bado, mpaka muite maji "m'ma"...
Na kakideo natupia...ambako pia kamechapishwa na New York Post
View attachment 2186300View attachment 2186301
If they are serious kwanini hawazilipui zikiwa NATO territories wanangoja mpaka ziingie Ukraine.BREAKING NEWS:
Deputy FM: Russia will view US, NATO vehicles transporting arms in Ukraine as legitimate targets.
Yaani si habari, awepo asiwepo. Aongee asiongee hakuna kinachobadilika.Kwa hiyo akiwa mwanasiasa ni sawa anadanganya? Eti yuko na wanajeshi wake jatarini ilhali anatulia nyumbani ? Sawa tu, siasa yako.
And DA POWER FULL MAN IN DA WORLD ...[emoji23][emoji23]...PUT IN NI BALAAA........natamani angekuwa ndo kiongozi wa africa tungekuwa mbali sana aisee...dahh basi tuu...And Great thinker
Hata hahitaji ushindi halisi. Anao waumini, wanatosha.Russia doesn't need ukraine to display it's (military) capabilities.
Wameona uongo siku zote haufui dafu kwenye ukweli .....na kweli inaweka mtu huru asa imebidi tu wawe wakweli ...maana hamna namna ....I thought you said Western media is biased, why the hypocrisy and double standards