πππ asante Dada ntazipandisha πππ, lakini ntaziweka Nyuma kwako πππAKILIzako umezishusha chini kwenye kisigino
Research ipi au wewe kuna research ushafanya zaidi ya hii πππMuwege mnafanya research...
Hakuna nchi ya Ulaya inayo nunua Mafuta kwa Rubble, pia India anunua 1% tu ya Mafuta kutoka Russia Licha ya discount na 10% kutoka USA so technically ananunua 99% ya Mafuta yake kwa USD
[emoji23][emoji23] mzee wa INASIKITISHA SANA ...Darasa la ngapi?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji13][emoji2957]
AKILIzako umezishusha chini kwenye kisigino
Usiku ushaingia kakojoe ulale huko ...usisahau na kuweka lile kopo la mkojo hapo getoniKwa hii vita imefungua wengi urusi ipo uchi kwa sasa, kinachofanyika ni kuspot silaha zake zipo wapi moja baada ya moja zile za maangamizi, vituo cha kijeshi vya anga bahari na nchi kavu time shall tell.
Sasa hujasikia alichoongea au hujui English?Research ipi au wewe kuna research ushafanya zaidi ya hii πππ
Huyo waziri kaongea kwa data.
Jinga kabisa huyo.....kama ni ticha anatuharibia ...watoto..Mi uyo ticha huwa simwelewi afu anafundisha URAIA
Wana ijua ata basi
Nithibitishe nini wakati Putin kishasema no ruble no oil anda gas.
Na ushahidi huu hapo wa hiko kikao waziri wa mambo ya nje akiwapa ukweli Europe, sasa unataka nini, kama unabisha bisha ila ukweli US na Europe bado wananunua mafuta na gas Russia kwa ruble.
Hiyo meli imeungua wakati wa kulaunch missile,msiwe mnadakia tu vijihabari na kuleta hapa!Video ipo kabisa imeachiwa na Russia ikionesha namna meli hiyo ilivyoshika moto!
[emoji3][emoji3]...[emoji23][emoji23][emoji23] asante Dada ntazipandisha [emoji109][emoji109][emoji109], lakini ntaziweka Nyuma kwako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hakuna nchi ya Ulaya inayonunua mafuta kwa Rubble, Hii inatakiwa in noteKwahio Putin akisema dunia iko flat pia utaamini. Putin aliruhusu EU kulipa kwa dollar/Euros kwa benki yake ya gazprom. 40% ya revenue ya Urussi inatoka kwa mafuta ambayo wateja wakubwa ni EU.
Kwahio bila EU warussi watalala njaa, watakosa madawa, watakunya nje, watakosa masomo N.K Putin hawezi zingua kwa EU
Amesema less than Europe ila sio percent hizo ulizo kuja nazo ww.halafu kama hujui ndani ya wiki moja US kafanya vikao viwili na India cha kwaza na waziri mkuu na cha pili na waziri wa mambo ya nje.Sasa hujasikia alichoongea au hujui English?
Amemaanisha kiwango cha Mafuta wanacho nunua Kutoka Russia ni kidogo kuliko Ulaya wanavofanya... Europe wanategemea 40% wakati India wanategemea 1% tu
"As per the report, out of 80 per cent of India's oil imports, 2 to 3 per cent account from Russia currently. However, with soaring oil prices, India is planning to increase its oil imports from Russia."Kwahio Putin akisema dunia iko flat pia utaamini. Putin aliruhusu EU kulipa kwa dollar/Euros kwa benki yake ya gazprom. 40% ya revenue ya Urussi inatoka kwa mafuta ambayo wateja wakubwa ni EU.
Kwahio bila EU warussi watalala njaa, watakosa madawa, watakunya nje, watakosa masomo N.K Putin hawezi zingua kwa EU
Ambayo mpaka sasa anaagiza kutoka Russia kwa Ruble.Kwahio Putin akisema dunia iko flat pia utaamini. Putin aliruhusu EU kulipa kwa dollar/Euros kwa benki yake ya gazprom. 40% ya revenue ya Urussi inatoka kwa mafuta ambayo wateja wakubwa ni EU.
Kwahio bila EU warussi watalala njaa, watakosa madawa, watakunya nje, watakosa masomo N.K Putin hawezi zingua kwa EU
It was special underwater operation [emoji23][emoji23][emoji23]Wana ijua ata basiView attachment 2186855
π€£π€£π€£ Mnajua Kiingereza kweli basi hata KirussiaHiyo meli imeungua wakati wa kulaunch missile,msiwe mnadakia tu vijihabari na kuleta hapa!Video ipo kabisa imeachiwa na Russia ikionesha namna meli hiyo ilivyoshika moto!
Ambayo mpaka sasa anaagiza kutoka Russia kwa Ruble.