Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Sasa mtu ambaye mnatrade at 10% na 2% nani muhimu?Amesema less than Europe ila sio percent hizo ulizo kuja nazo ww.halafu kama hujui ndani ya wiki moja US kafanya vikao viwili na India cha kwaza na waziri mkuu na cha pili na waziri wa mambo ya nje.
"As per the report, out of 80 per cent of India's oil imports, 2 to 3 per cent account from Russia currently. However, with soaring oil prices, India is planning to increase its oil imports from Russia."
Source Outlook India, na ndio maana ndani wiki US kishafanya vikao viwili na waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje kwamba wapunguze au waachane na mafuta ya india na Russia kampa offer 35$ kwa pipa.
View attachment 2186871
Sasa jiulize kama India hana impact why, US anamlazimisha kuchagua upande na kuachana na mafuta ya Russia.
Hakuna nchi Inayonunua mafuta kwa Rubble, Kama una ushahidi wowote kuwa France or Germany walifungiwa Mafuta na Gas na Russia baada ya Kugoma itakuwa vizuri kushareAmbayo mpaka sasa anaagiza kutoka Russia kwa Ruble.
Nimekuuliza why US ndani ya wiki kishafanya vikao viwili na kiongozi mkuu wa India na pamoja na waziri wa mambo ya nje?Sasa mtu ambaye mnatrade at 10% na 2% nani muhimu?
also the other 80% wanatumia USD sasa nani hapa ana impact kubwa 🤣 🤣 🤣 , what USA want ni India kuacha kabisa kununua Mafuta Russia, na hili Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema watapunguza Ununuzi wa Mafuta ya Russia
Ushahidi upi wakati mwenye rasilimali yake kishasema no ruble no gas.Hakuna nchi Inayonunua mafuta kwa Rubble, Kama una ushahidi wowote kuwa France or Germany walifungiwa Mafuta na Gas na Russia baada ya Kugoma itakuwa vizuri kushare
Mbona kaeleza vizuri tu jamaa lakini sijasikia mahali paliposemwa kwamba EU wananunua mafuta kwa ruble. India na Russia wana makubaliano ya kufanya biashara ikiwemo ya nishati Kwa kutumia shilingi zao na hili sio jipya hata China pia na Russia hua wanafanya hivyo. Lakini pia India inanunua mafuta Urusi Kwa kiasi kidogo Sana Chini ya 5% ya mafuta yake ndo yanatoka Urusi.Refer hilo neno hypocrisy, India hataki unafiki unataka kuwazuia wenzako wasinunue wakati ww unanunua kutoka Russia.
chini ya 5% unaweza kusema ni 4% ni 1% - 2%Mbona kaeleza vizuri tu jamaa lakini sijasikia mahali paliposemwa kwamba EU wananunua mafuta kwa ruble. India na Russia wana makubaliano ya kufanya biashara ikiwemo ya nishati Kwa kutumia shilingi zao na hili sio jipya hata China pia na Russia hua wanafanya hivyo. Lakini pia India inanunua mafuta Urusi Kwa kiasi kidogo Sana Chini ya 5% ya mafuta yake ndo yanatoka Urusi.
Kwani Putin alisemaje, kwa nchi adui wa Russia na ndio maana hapo likatumika neno hypocrisy, kwamba India kakataa unafiki wa Europe sababu mpaka sasa EU na US wananunua mafuta.Mbona kaeleza vizuri tu jamaa lakini sijasikia mahali paliposemwa kwamba EU wananunua mafuta kwa ruble. India na Russia wana makubaliano ya kufanya biashara ikiwemo ya nishati Kwa kutumia shilingi zao na hili sio jipya hata China pia na Russia hua wanafanya hivyo. Lakini pia India inanunua mafuta Urusi Kwa kiasi kidogo Sana Chini ya 5% ya mafuta yake ndo yanatoka Urusi.
1%-4%chini ya 5% unaweza kusema ni 4% ni 1% - 2%
Mr joseph1989 hifadhi "energy" hiyo... achana na hizi morons zitakuchosha tu bure...Ambayo mpaka sasa anaagiza kutoka Russia kwa Ruble.
Acha kujichekesha hapa,video inaonesha kabisa kombora likiruka kutoka kwenye meli na hapo hapo mlipuko ukatokea!Video haioneshi missile yoyote ikiipiga hiyo meli!🤣🤣🤣 Mnajua Kiingereza kweli basi hata Kirussia
Meli imelipuka baada ya milipuko ndani yake kulipuka kutokana na Makombora ya Ukraine.
Basi tufanye imelipuka yenyewe na Kuzama 🤣🤣🤣🤣, so Russia itarudisha au?
Lete chanzo Cha takwimu hizoMuwege mnafanya research...
Hakuna nchi ya Ulaya inayo nunua Mafuta kwa Rubble, pia India anunua 1% tu ya Mafuta kutoka Russia Licha ya discount na 10% kutoka USA so technically ananunua 99% ya Mafuta yake kwa USD
Ukisikia NATO. Ni kundi la nchi za ulaya pamoja na Marekani ambazo zimejipanga kiuchumi na kijeshi kupambana na RussiaSweden na Finland kuanza mchakato wakujiunga na NATO. Tayari wameona kwamba njia ya kuzuia uvamizi wa Urussi ni kujiunga na NATO na wakati mwafaka ndo huu.
Wakati ni sasa kwa sababu Urussi hawezi fungua war front nyingine kwa sababu ameelekeza nguvu zote Ukraine. Imembidi mpaka aajiri wanajeshi wapya 60k chini ya mwezi na kuwaita waliostaafu.
Sasa swali langu ni je, ikiwa urussi ni jirani mzuri mbona ameshindwa kuwashawishi kupitia diplomasia Nchi kama Ukraine, Finland, Poland,Sweden N.K kuwa upande wake. Jibu ni kwamba hawajui diplomasia.
Ingekua wanajua diplomasia wasingefukuzwa G7, G20, human rights council, mashindano ya Michezo N.K alafu anatokea pimbi anakwambia Sergei lavrov anajua diplomasia.
Wito wangu kwa NATO ni waifanye kua rahisi na haraka kwa mataifa kuingia katika hicho chama. Huo mchakato uwe mfupi kabisa ndo Putin atakosaa wakuvamia.
The meeting in Stockholm comes less than two months after Russia's invasion of Ukraine, which has altered the regional security picture in Scandinavia.
Finland's Prime Minister Sanna Marin and Swedish Prime Minister Magdalena Andersson are meeting in Stockholm on Wednesday to discuss regional security matters in the aftermath of Russia's invasion of Ukraine .
On Wednesday, Finland will begin a debate that could see it putting forth an application to join the NATO military alliance that it already cooperates with.
Moscow has already expressed its disapproval. In fellow non-NATO member state Sweden, Russia's war against its neighbor Ukraine has also provoked anxiety, as well as a political about face on the country's question of military non-alignment.
Russia has repeatedly said NATO expansion is a thorn in its side, while NATO maintains the alliance is defensive in nature.
Frontline gani unakuwa na tabasamu kama hivyo. Labda anapigana imstagram.Vitu vingine vya ajab kweli, Hawa wadau sijui wata'fake hadi lini... Ukraine hakuna Vice President... Ni just President pekee. View attachment 2186837 Front line af make up kama zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah