LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
View attachment 2132962

Ukraine: We're kicking ass but also please help us!

Ukraine wananifurahisha sana! Vita ina siku 3 kwa 4 wamewaangusha Urusi hivyo! Ok, ni lini watafika Moscow na kuizingira?
Mjiongeze kidogo kwa wao Ukraine wamekufa 137 tu Russia 4300 na watu wako mlangoni kwenu acheni propaganda za kijinga hizi mjiongeze kidogo
 
Huyu jamaa wa Eukrain kamgomea tena russia mazungumzo[emoji15][emoji15]?
Hajagoma, YEYE NDIO AMEOMBA MAZUNGUMZO, LKN URUSI WAKAWEKA MASHARTI KUWA MAZUNGUMZO HAYO YAFANYIKE BELARUS. UKRAINE AMEKATAA KUFANYIKIA BELARUS BADALA YAKE AMEOMBA IWE UTURUKI au nchi tofauti na Rafiki wa URUSI.

Maswali ya kitoto kama haya, yanachosha ndio maama hawakujibu.
 
We una ugomvi na mtu ,Ila huyo mtu anapitia kwa jirani kukurushia mawe halafu anakuambia kikao ya usuluhishi mkafanye kwa jirani utakubali?
Kama jirani Bakhresa nitakubali tu
 
mnajifariji sana. Waste media zinachemsha mawe na mnadanganywa ni maboga na nyie mnasubiri yaive mle wakati hao waste media wanawasubiri mlale ili wakatupe mawe maana sufuria inateseka
 
Mnajua kwa nini hatupati video na picha za upande wa Urusi zikielezea wanavyoshambulia Ukraine? Urusi hawaruhusu matumizi ya simu wakiwa kwenye military deployment. Ilianza miaka kama mitatu nyuma walivyoenda Libya wakajirekodi jamaa mmoja wa OSINT anatambua location ikajulikana wana mission ya siri. Pia pale Syria Israel ilikuwa inatumia signals za simu kujua concentration ya wanajeshi wako wapi.

Kwahiyo tunaishia kupata video na picha za Ukraine kwa kuwa kuna raia kibao na wanajeshi smartphones wanazo. Wanajeshi wa Russia hata hawajui kinachoendelea wakikutana na raia mtaani asiye na silaha wanauliza jeshi lao linafanyaje. Wanashambulia wana scores, wana kills ila tunapata taarifa za upande mmoja. Clips kibao za kuwachafua, jana kuna walioiba vyakula leo kuna waliobomoa ATM
 
RUSSIA KAISHA, NILISEMA ATA SURRENDER
waste media hizo alafu askari wenyewe mi pamoja na demu huyo 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 waje tu kwani pos hakuna mademu naona wanatuletea. Mumeamsha mzuka huko kambodia ya urusi
 
Wamegundua Marekani anaweza kuwaingiza chaka muda wowote, bora wajihami wenyewe tu.

Sasa hivi kama Ujerumani, Japani na South Korea wakijiimarisha kijeshi kwa silaha za Nyuklia Ushawishi wa Marekani duniani utapungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
⚡️Israeli PM offers to mediate Russia-Ukraine talks in call to Putin (RIA Novosti)
 
Uko sahihi kwa upande Fulani...ila Mimi naumia Sana Kuna watu wengi humu wanashabikia tu paspo kikua undani wa mgogoro huu Kati ya Russia na Ukraine.

Wengi wameegemea kwanye habari za kipropaganda za magharibi na hata za Russia...wengi wako clueless on what is going on...
 
D
Duu jeshi la Urusi liko vitani halafu hawajui kinachoendelea😃😃😃😃😃😃wabongo bana.
Hayo matank, ndege vita na kila kitu ni matokeo ya intelegensia ya hatari.
Yaani kabla ya kufanya chochote Kuna kazi kubwa sana ya intelegensia inafanyika.
Yaani Urusi kwa ukubwa wao washindwe kuwa na taarifa ya kinachoendelea Ukraine,duuuuu.
 
Kuna watu humu watabisha kuna doc zinasambazwa kwenye mitandao kutoka ubalozi wa marekani uliopo Ukraine walizifuta walitaka dunia isijue wale watu ni mashetani kabisa
Wanatumia mabilioni ya dola kungamiza dunia,kwenye hiyo ramani na hapa Tz kuna moja wapo ya hizo maabara,ni hatari sana mara corona mchanje,mara ebola kumbe wenzenu wametulia wakijipongeza kwa kazi kama wallivyotarajia.
 
Una akili ndogo wa mwamba kwa akili yako unafikili European super power kama uk na Germany niwajinga. Kuna mwamba Germany kaficha makucha na aggressive kwenye medani hata miltay soft and hardware. Uone aibu kuongea vitu vya kitoto hivi wakati ni mtu mzima. Uliza Finland aliwahi kuwafanya nini Russia ujue wamba nuclear wanazo na wanaweza kuzitumia against Russia
 
Punguza jazba sisi washabiki tu. Kutukana hakumalizi vita hivi.


Umeonesha low IQ

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…