Ukraine inaenda kuwa magofu Sasa,,, imekuwa uwanja wa Vita sasaTayari macron ameamua kumsaidia Ukraine silaha za viata. Marekani nayo tayari imeingia mzigoni baadaya ya kumdhoofisha kiuchumi. Jamaa walikuwa wanasubili wanamwangalia Putin ana silaha gani Sansa wamemsoma tayri hapa Ni patamu Sana.
Mmarikani alivyo mjanja kahakikisha ana coordinate nchi marafiki wote na putini amejikuta yupo mtu katib china ameshamruka tayari. Sasa hapo ndo patamu
Ayo siku hizi anaandika habari za ovyo za kukreat attention ili kuongeza viewers wake kibiashara.
Nisome tena!Mjiongeze kidogo kwa wao Ukraine wamekufa 137 tu Russia 4300 na watu wako mlangoni kwenu acheni propaganda za kijinga hizi mjiongeze kidogo
Umeweka ushabiki pembeni kabisa. Umeeleweka.Unajuwa mimi kujibu wakati niko nyuma ya keyboard nitakuwa nafanya ushabiki tu ila hata hizo Pro Ukraine media zote wanasema tu ni suala la muda tu kyiv kuanguka hilo wala hakuna anayebisha na hao ni wataalamu wa mambo ya vita lini hilo sio wa mimi kujibu ila kwa ufupi hata Baghdad pamoja na dunia nzima kujikusanya Kuwait ila iliwachukua 43 days kuwaondoa Baghdad.
Putin kawabana pumbu haswaaaa!!,marekani anatamani aingilie lkn anaogopa akitia mguu tu,China nae anam join Russia hapo Sasa mtanange utakuwa mtamu zaidi!! Ila mm naombea zipigwe huko ulaya Hadi wachakae. namkubali Putin ,Africa yote tuko pamoja na Putin ,na China.Russia Position NowView attachment 2132985
Weka ushabiki pembeni. Kugoma maana yake ni kukataa. Sasa kama nimekuomba mazungumzo halafu ukanipa masharti na nikakataa sharti lako si ndo kugoma huko? Ukiwa na upande utapatwa hasira tu zisizo na maana na Russia yenyewe ikishashinda Eukrain wewe huku nyumbani hawakupi tuzo ya chawa bora.Hajagoma, YEYE NDIO AMEOMBA MAZUNGUMZO, LKN URUSI WAKAWEKA MASHARTI KUWA MAZUNGUMZO HAYO YAFANYIKE BELARUS. UKRAINE AMEKATAA KUFANYIKIA BELARUS BADALA YAKE AMEOMBA IWE UTURUKI au nchi tofauti na Rafiki wa URUSI.
Maswali ya kitoto kama haya, yanachosha ndio maama hawakujibu.
Umeisikiliza vizur speech ya chancellor?!...Haya sasa baba wa vita na mwanzilishi wa WW1 na WW2 German kasema anaingia kumsaidia Ukraine.
Putin atashindwa na kuanguka vibaya,asingepeleka jeshi.Hawa ulaya na wa magharibi huko wapo very strategic. Unaambiwa kwa sasa majeshi ya Urusi yanakabiliwa na upinzani mkaliiii.
Na Germany anapeleka vifaa vya kupiga ndege na kuua vifaru.
Nisome tena!Tunahitaji data za pande zote
Kwani aliyemsambaratisha ujerumani during ww1 na 2 ni nani kama siyo usoviet chini ya Russia. Rejea historia yako vzr ujerumaji alitangaza kusarenda baada ya kichapo hevi kutoka usovietHaya sasa baba wa vita na mwanzilishi wa WW1 na WW2 German kasema anaingia kumsaidia Ukraine.
Putin atashindwa na kuanguka vibaya,asingepeleka jeshi.Hawa ulaya na wa magharibi huko wapo very strategic. Unaambiwa kwa sasa majeshi ya Urusi yanakabiliwa na upinzani mkaliiii.
Na Germany anapeleka vifaa vya kupiga ndege na kuua vifaru.
Muwe mnasikiliza vizur... Ukraine haijakataa mazungumzo Bali imekataa sehem ya kufanyia mazungumzo....Kweli mkuu. Inafikirisha sana, Mtu anapigwa, kazidiwa na inasemekana anapokea kichapo kweli ila hataki mazungumzo na anatoa masharti .Kwanini?
Katest mara ya pili leo jamaa anapenda kuingia sanaDhumuni la North korea ku'test Kombora dogo inaweza kuwa ni nini ?