Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Boss, Uzazi wa mpango si lazima kutumia ma p2. Unaweza tumia njia nyingine kama kuzijua siku za mwenzako vizuri sana, kutumia condom n.k

Unajua kuna sera ya uzazi wa mpango na kuna njia za uzazi wa mpango. Sera hazileti kansa ila njia na aina ya dawa na kushindwa kudhibiti na kuhakiki madawa inaweza kuwa tatizo.

Mfano Africa tuna tatizo la kuwa dumping place ya bidhaa zilizopita muda. Magari tu ambayo ni likitu likubwa lisiloweza jificha ni la mwaka gani tunaagiza used ya mwaka 2000 huko na tunaiita mpya, yameshakuwa chakavu ila ndiyo tunayonunua, madawa ya uzazi je ambayo yalitengenezwa yakakosa soko? Kakitu kadogo ambacho kanaweza futwa exp date ikawekwa nyingine Unadhani wafanyabiashara watataka hasara? Atatafutwa mtu wa kuyagharamia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asante Dada .
una mama mtamu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Bado ... Enheee ongeza jingine .... Unajichekesha kishoga ...hiyo ndiyo sifa ya mwanamke .... Sasa wewe mwanaume mwenzako ndio anakusifia ulivyo mtamu ...inasikitisha sana.
 
Hili lakujua siku zamwenza sijui zimeingiliwa nanini
Yaani now days siku zinabadilika badilika kama kinyonga hii njia nisalama sana ila haiaminiki tena nandio mana yakaja hayo manjia yakutumaliza
Pia kwasisi wanaume kutumia hayo makondom pia hatuko salama ila ndio hvyo tunatumia
Kwenye hayo ma P2 namengineyo kama walijua nihatar why walitengeneza ama ndio projects tu kama kufa kwetu wao hakuwaumizi
Wazungu washenzi sanaaa
Kuhusiana na uzazi wampango na sindano hizi za chanjo yaani mtu hana lakunambia niuuwaji mtupuuu
 
Bado ... Enheee ongeza jingine .... Unajichekesha kishoga ...hiyo ndiyo sifa ya mwanamke .... Sasa wewe mwanaume mwenzako ndio anakusifia ulivyo mtamu ...inasikitisha sana.
asante binti .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uzuri mama yako tushaachana kitambo , πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ni mtamu ila hajatulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umelala hapo manzese uwanja wa fisi ukila mihogo unaogopa hata ngumi, unajifanya kushangilia watu kufa kishujaa?? Kurudisha mpira kwa kipa sio kosa.
 
Kadylov kamwambia siku chache tu atakuwa kapata majibu
 
asante binti .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uzuri mama yako tushaachana kitambo , πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ni mtamu ila hajatulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo mwenyewe ndio unahisi umetukaaanaaaaa ... Pole sana. Kamuulize baba yako huo mchezo wako wa ushoga alikuwa anatinduliwa na nani .... Nimeacha siku nyingi kumfukua naona umerithi michezo ya baba yako.
 
Hv vyombo vya habari vilivyomuaminisha ndugu yangu T14 Armata pamoja nasie wengine kwamba RUSSIA wamebakiwa na chakula cha siku tatu baada ya hapo watasarenda nasasa mwezi unakatika ndio hawa hawa waje waseme MARIUPOL ipo under UKRAINE!!?
halaf baadae sana ndio waje wakiri kwamba UKRAINE kakimbia wakati aliishakimbia muda sanaaa
Kiukweli vyombo vya habari vya kimagharibi sio vyakuaminika hata robo jamaa waongo waongo saanaa
Nikiona watu wameamka wanawapiga spana hua nafurahia mnoooo
Western media sio wakuaminika hata robo kiasi kwamba wakikwambia kumekucha unatoka nje kuangalia kama kweli ama laa
UKRAINE inaangamia
 
Watu wamegeuka majivu kwa upuuzi wa comedian we unasema aluta continua??
 
Azoz battalion kweli wanaume, NO SURRENDER!!
πŸ™πŸ™πŸ™ Walitaka wajisalimishe then wachekwe . Wanaume wamekufa kishujaa πŸ‘πŸ‘πŸ‘.
Kuna afande aliwahi sema hakuna kitu kinaleta huzuniko na sosono kwa askari aliyeko vitani kama kujisalimisha. Wanasema kitendo cha kujisalimisha kitakuhuzunisha maisha yako yote . mwisho huwa wanaishia kujiua kwa depression.
Kumbuka ukijisalimisha lazma uuze ramani na kuwachoma wenzio.
BravoπŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦soldiers.
 
Aisee huyu kamamda wa Chechinia mwenye ndevu nyingi, ustaadhi Kadyrov anagawa kipigo aisee, ana hasira na Zelensky kama alimchukulia mkewe. Wakati wa mapatano pale Turkey alimuomba Putin kuachana na mambo ya kujadili amani kwa mazungumzo badala yake watembeze kipigo kikuu.

Jamaa ana midadi na vita sijapata kuona, angalia mariupol imeanguka yote, na yeye yupo incharge pale Mariupol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…