lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Sijafurahi hata.sawa tumekusikia . Chinja mbuzi ufurahie .
VIVA PUT INMpaka sasa hakuna mkoa salama Ukraine, na bahati nzuri Putin ni muungwana sana yule baba, anastahili tuzo ya amani ya Nobel. Mpaka sasa amejizuia kupiga raia na makazi. Akiona wanajeshi au wanamgambo wanajichanganya na raia anomba waondoke kisha anaripua.
Hakika rais huyu mpole sana kutokea duniani ni baraka kwa urusi. Kila wakitaka kumpaka matope wanashindwa, wameenda kwenye vikwazo wameshindwa, huyu ni malaika sio mtu wa kawaida.
Hahaha jamaa wamesimama na kujitengeneza vizuri I'll wapigwe picha duh
🤔🤔🤔 mkuu huo upendo kwa askari wa 🇺🇦🇺🇦🇺🇦 umeuanza lini?Kufa kijinga jinga Ni upumbavu,
Hata kuretreat Ni Njia sahii ya kujipanga upya kuliko kufa kizembe
huo upendo wako kwa askari wa 🇺🇦🇺🇦 umeuanza lin!?.Sijafurahi hata.
Wakubwa waliovalia Suti maofisini waliwazuia vijana wasijisalimishe ili kuficha aibu.
Matokeo yake vijana wameuliwa .
Inauma sana.
Ili kifo kiwe cha kizembe kinatakiwa kiwe na sifa zipi ili ambao tupo hai tukwepe? Unadhani kifo chako kitakuwa cha kishujaa kuliko hawa askari waliokufa wakitii maaagizo ya mkuu wao wa kikosi?Kufa kijinga jinga Ni upumbavu,
Hata kuretreat Ni Njia sahii ya kujipanga upya kuliko kufa kizembe
Mkuu wazazi tusiwaingize huku. Kwanini tusikashifiane sisi wenyewe!?asante binti .[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri mama yako tushaachana kitambo , [emoji23][emoji23][emoji23], ni mtamu ila hajatulia [emoji23][emoji23][emoji23]
Please mkuu achana na huyo. Ana machungu ya Ukraine kutembezewa kichapo. Tuwaache wazazi wetu nje ya JFHapo mwenyewe ndio unahisi umetukaaanaaaaa ... Pole sana. Kamuulize baba yako huo mchezo wako wa ushoga alikuwa anatinduliwa na nani .... Nimeacha siku nyingi kumfukua naona umerithi michezo ya baba yako.
Sasa wako wote kwenye shimo hili? Safi? Na Trump yuko pia? Na Boris? Hii ingekuwa safi sana! Tunataka makamanda wazito, wepesi hatupendi!Tehe tehe tehe,inasemekana sababu ya kukataa kujisalimisha ni kuwa huko shimoni kulikua kumejaa special forces wa USA,UK,France,Poland,Canada na mamluki wengine kutoka nchi mbalimbali.
Inasemekana Special forces wa USA,UK na France walikua ni waalimu na washauri wa kivita wa wanajeshi wa Ukraine.
Inasemekana miongoni mwao kulikua Kuna makamanda Wazito kutoka USA,UK na Fr.
Inasemekana walitaka wajisalimishe lakini sauti kutoka Washington,London na fr wakiwataka wasijisalimishe.
Insemmekana katazo hilo lilikua ni kujadili kama Kuna namna ya kuwaokoa ilibwasiangukie kwenye mikono ya Moscow bear 🐻🐨.
Maana Ingekua ni aibu kubwa sana.
Inasemekana hakukua na nafasi kabisa ya kuwaokoa baada ya Moscow bear kunusa mipango hiyo,hivyo kusubiri atakae sogeza pua itakua chakula ya Moscow 🐻🐨.
Helkopta mbili kwa nyakati tofauti zilijaribu kufanya uokoaji lakini masikini yalikua ni mavuno ya Moscow 🐻🐨.
inashangaza why pro-putn wengi wanaoneshwa kukerwa na ktendo cha vijana kutosalim amri,🤔🤔🤔 mkuu huo upendo kwa askari wa 🇺🇦🇺🇦🇺🇦 umeuanza lini?
Mnapiga kelele humu kuwa lengo LA vita yenu ni ku demilitarization . sasa unaumia nini?🤔🤔🤔. Acha wafe lengo lenu litimie .
NO RETREAT NO SURRENDER NO RETURNNo retreat , no surrender. 👊👊👊
Better to die hard lethal to live dead .
Your names will be written in golden ink .
Since now you are the heroes of 🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦. Be blessed a lot .
Mungu humpenda askari shujaa .
Ukute mtoa biti ndiye mhusika. Mambo ya vita Acha tu.🇺🇦 The military administration of Kharkov is looking for a traitor.
According to our source in the General Staff, in the last two days alone, the Russians have destroyed several key defense installations. In particular, several commanders and dozens of personnel were killed. Ammunition depots and hidden stands of equipment were knocked out. This situation has already happened before. But then, according to our interlocutor, everyone wrote off the work of Russian UAVs. But now, the situation has repeated itself, so it was decided to look for a real traitor who leaks information to the Russian forces. As our source noted, the SBU believes that this is a fairly high-ranking figure, included in the highest circles of the regional civil-military administration.
Wameanza kutafuta a uchawi
Watangazaji wa Aljazeera, BBC, Skynews mpaka unawaonea huruma ...nyueo za huzuni..lakini katika kujifariji wanarudiarudis kuhusu mrli ile ya Russia..Kipigo Kinaendelea Huko
Hili pia inaweza kutokea kama askari wako wakubwa wanasalimu amri na wanachukuliwa mateka badala ya kupigana mpaka kufa. Naskia Wakati mwingine wale high ranking figures wanakuaga na vidonge ukiona unazidiwa unakipasua kinakuwa na sumu kuliko ukamatwe.🇺🇦 The military administration of Kharkov is looking for a traitor.
According to our source in the General Staff, in the last two days alone, the Russians have destroyed several key defense installations. In particular, several commanders and dozens of personnel were killed. Ammunition depots and hidden stands of equipment were knocked out. This situation has already happened before. But then, according to our interlocutor, everyone wrote off the work of Russian UAVs. But now, the situation has repeated itself, so it was decided to look for a real traitor who leaks information to the Russian forces. As our source noted, the SBU believes that this is a fairly high-ranking figure, included in the highest circles of the regional civil-military administration.
Wameanza kutafuta a uchawi
waukraine watakuwa wanafurahia sana hizi picha, watamshukuru sana putin kwa upendo🇷🇺🇺🇦⚡Lisichansk oil refinery after yesterday's Russian strike.
View attachment 2192318View attachment 2192319View attachment 2192320