Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Marekani alitumia mahakama ya nani !!?? Mbona unarukaruka tu.... Wanajeshi wanajeshi.... Wakati umesema Putin ndio atakutana na hilo shitaka!!?? ... Kaa Kwa utulivu tukutembezee kichapo Putin sio Slobodan Milosevic.Unajaribu kuepukana na swali langu. Mwoga!
1. Nilitaja mifano jinsi gani Marekani -ambayo si mwanachama wa ICC- angalau ilipeleka wanajeshi kadhaa mahakamani walioshiriki kuwatesa au kuwaua watu raia huko Iraki na Afghanistan
2. Nilikuuliza kama una mfano kwamba Urusi iliwahi kupeleka wanajeshi mahakamani walioshiriki katika jinai za vita (kn huko Afghanistan, Chechnya au Syria)? Sijasikia halafu nimepata picha kwamba Urusi inadharau sheria hizo za kimataifa (isipokuwa kiweza kuzitumia kwa propaganda yake,...) - mbele ya mahakama yao wenyewe?
Ila US huyu huyu ndio kasaidia utawala wakidikteta wa BAHRAIN uendelee kuwepo pia anasaidia udikteita wa MBS
PUA yuu esi ei
Kadyrov Ni mtu na nusu[emoji4]The city of Rubizhnoye in the LPR came under the complete control of Russian troops.
This was announced by Ramzan Kadyrov in his Telegram channel.
The leader of Chechnya published a video showing how the military hoisted the flags of Russia and Chechnya at the entrance to Rubezhnoye.
Hujui hata unachotetea ni nini na unacho kosoa ni kipiKaka kama unashindwa kusoma yale yaliyoandikwa heri upumzike kidogo.
Matendo ya jinai ya vita ya mabaya sana. Kwa karne nyingi askari waliweza kufany ajinsi walivyotaka tu. Sehemu zote penye vita, hata Afrika, unyama wa wanajeshi ni balaa kubwa.
Mimi ninafruhai kwamba dhana kwamba kuna sheria hata vitani linanaza kuenea. Naona ni muhmu sana.
Kwa hiyo nakubali kabisa ICC (ambayo mataifa makubwa yanajaribu kuepukana nayo). Na huko ambako nchi zinafanya hatua angalau kiasi kufuatilia jinai za askari wao nakubali kabisa.
Huyu mzee ni hatari na nusu View attachment 2194417[emoji95]Dmitriy Medvedev: "Foreign mercenaries in Ukraine who will not surrender to our troops, together with their mentors from Bandera, are subject to denazification in the first place. They will have to answer in full for their actions. Of course, if they stay alive..."
Hakuna nchi yenye viongozi wenye akili timamu wanaoweza kuivamia nchi yenye maelefu ya silaha za nyuklia.
NATO ndio defensive organisation dhidi ya uvamizi na vitisho ambavyo Russia imekuwa navyo kwa muda mrefu dhidi ya jirani zake.
Hiyo mbuzi inakera saaaanaAsante sana mkuu, umenipa mwarobaini wa hii mbuzi
Walikijenga wenyewe hichi kiwanda sasa kinawachelewesha.
View attachment 2194337
Walikuwa wanadai kuwa silaha za Russia hazijapata uthibitisho mzuri kwenye uwanja wa vita.View attachment 2194387
Shoigu showed Putin the first launch of the Sarmat.
The President was satisfied and warned: this missile system will ensure the security of Russia, make those rabid who are trying to threaten her think
[emoji23] baada ya mama kupandisha mche wa sabuniAlisikika mpiga puli mmoja kutoka ukraine.