Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Russia test fires HUGE nuclear missile called 'Satan 2'

RUSSIA has successfully launched its 'Satan' missile, capable of firing up to 12 nuclear warheads at once, Vladimir Putin has claimed.
The launch of the Sarmat intercontinental ballistic missile will give "food for thought for those who try to threaten Russia," the Russian president warned. The missile, nicknamed Satan 2, can fly 6,000 miles, carry 16 warheads and has the potential to destroy an area the size of France . It was successfully launched from Plesetsk Cosmodrome in Arkhangelsk Oblast, northwestern Russia
 
Zelensky anasema Yuko tayri kubadilishana Wafungwa wa kivita alionao dhidi ya wanajeshi wake wa Ukraine na Raia waliokwama na kuzungukwa kwenye mahandaki ndani ya MARIUPOL

Cha kujiuliza sasa:
-Ni wapi Russia walisema wanashida ya kubadilishana Wafungwa?

walichosisitiza urusi ni silaha ziwekwe chini, mikono iwe juu ili watoke salama, wapewe chakula,maji na matibabu.

FULL STOP[emoji4]
 
Cha kushangaza,
Zelensky anakiri wanajeshi wake kuzungukwa,kuzidiwa, kuishiwa chakula na maji kwa 100% ndani ya MARIUPOL nzima kwenye mahandaki waliyojichimbia.

Ila bado yeye anasema
"partly occupied mariupol"

Hivi uyu jamaa mzima kweli?
Au kaamua tu kuchanganya Vita na comedy[emoji848]
 
Viongozi wa mazungumzo ya upatanishi upande wa Ukraine wanasema wako tayar kwa Safar ya kwenda mariupol kwa ajili ya mazungumzo na mamlaka za urusi kuhusu kuwaokoa wanajeshi wa Ukraine na Raia waliokwama,kuzidiwa na kuzungukwa na majeshi ya urusi ndani ya mariupol
 
Kipigo kimeshika hatamu now! Naona wanakula umeme vilivyo kabisa toka kwa wahuni wa Chenchenya
 
Namuombea Putin aendelee kukaza hivyo hivyo mzee😂 jamaa ni mwamba kwa sasa Biden lazma ajikojolee kudadadeki na mwisho wa mchezo Putin atoe order tu kuwa waondoe vikwazo vyao vyote vya kipuuzi na gas walipie kwa Rubbles kenge bluu!!!
 
Katibu mkuu maswala ya kisasa marekani Victoria Nulad anasema
" kuna matumaini flani flani Washirika wa NATO wanaweza kuhusishwa katika kuwaokoa Raia na wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa ndani ya jiji lililozungukwa pande zote na urus jiji la mariupol"
 
Katibu mkuu maswala ya kisasa marekani Victoria Nulad anasema
" kuna matumaini flani flani Washirika wa NATO wanaweza kuhusishwa katika kuwaokoa Raia na wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa ndani ya jiji lililochukuliwa na urusi la mariupol"
 

Attachments

  • Screenshot_20220421-025559.jpg
    40.2 KB · Views: 32
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…