President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
asee we jamaa..πππNa putin ashatoa order kwa wajeda wake wasiruhusu hata nzi kutoka wala kuingia ndani ya eneo hilo walilojificha hao nguchiro.
Na hii kauli ukiitazama kwa jicho la ki intelijensia utagundua anacho manisha jasusi mbobevu.
Hakuna komando wala field marshal anaeweza kushindana na njaa wala maji, putin anajua wazi kabisa chakula na maji waliyo nayo hawawezi kuendelea kujificha kwa muda hata wa wiki moja bali itafikia sehemu watatoka wenyewe tu huku wakiwa wamelegea kama walevi wa ulanzi.
Na ndo maana akatoa order ya kutoruhusu hata nzi kupaa paa maeneo hayo ili wasipate hata kipande cha mhogo cha kusogezea siku za kuendelea kujichimbia.
Putin ni mtu smart sana ndugu zangu.
Napeleka manati 3000 Ukraine kama msaada.
Msukuma kutoka wa
HazitutoshiNapeleka manati 3000 Ukraine kama msaada.
Msukuma kutoka shinyanga
Achana na huyo mkenya wa kibera ndo zake hizoasee we jamaa..πππ
Pro Nato wanasema jeshi la Russia limezidiwa na askari wachache hapo Azov, hili unalizungumziaje?
Amesema watatoka wenyewePutin aagiza usitishwaji wa kuingia walipojificha Azov ndani ya Azov steel plant...
Je Nuke zinaenda tumika?
Nadhani binadam yeyote mwenye akili timamu anaefuatulia hii operation haihitaji kuambiwa wala kueleweshwa Ukraine na washirika wake walivyo shikwa pabaya.asee we jamaa..[emoji23][emoji23][emoji23]
Pro Nato wanasema jeshi la Russia limezidiwa na askari wachache hapo Azov, hili unalizungumziaje?
ndio bajeti iliyopo ila mawe tutawapa yakutoshaHazitutoshi
Halafu nchi Kama hiiView attachment 2195649View attachment 2195650View attachment 2195651View attachment 2195652View attachment 2195653
[emoji635][emoji3167]β[emoji573] Russian space agency Roscosmos has revealed a series of high-resolution photos from the spacewalk of Russian cosmonauts Oleg Artemiev and Denis Matveev on the ISS on April 18.
Photo credit: social media of Roscosmos cosmonaut Sergei Korsakov
Safi Sana[emoji4]Russian Foreign Ministry: Moscow has the right to consider the transport of the US and NATO with weapons as a legitimate target if it passes through Ukrainian territory, we are talking about this directly.
It's high time, support!
sasa hao watajimaliza wenyewe, au itakua wameandaa vilipuzi.Nadhani binadam yeyote mwenye akili timamu anaefuatulia hii operation haihitaji kuambiwa wala kueleweshwa Ukraine na washirika wake walivyo shikwa pabaya.
Sasa huko Maripo wapiganaji wa Ukraine wameuamua kugeuka kuwa panya waishio shimoni unategemea kuna wapiganaj hapo kweli au kikundi cha wahuni tu.
Kule kuna Siri kubwa Mie nimependa Uamuzi wa Putin Tuone kama Hao Mashoga Wanao Huo uwezo wakwenda KuwakomboaNadhani binadam yeyote mwenye akili timamu anaefuatulia hii operation haihitaji kuambiwa wala kueleweshwa Ukraine na washirika wake walivyo shikwa pabaya.
Sasa huko Maripo wapiganaji wa Ukraine wameuamua kugeuka kuwa panya waishio shimoni unategemea kuna wapiganaj hapo kweli au kikundi cha wahuni tu.
Wanajitekenya na kucheka wenyewe[emoji4]Hivi USA wanajikuta nani?? Eti Russia nofied them imebd nicheke.[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2195619
Hajui chochote uyo,BRICS.
B- Brazil.
R- Russia.
I -India.
C- China.
S- South Africa.
Putin hua anafanya kazi ya Ziada kuwaweka pamoja maadui Hawa wawili.
We K kweli kweli, so za huyu shujaa wenu ndio zinakuhusu si ndio???Habari za mashoga waachie mashoga. HAZITUFAI/HAZITUHUSU/HATUZITAKI.