NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Kiuchumi unaweza kushirikiana na adui yako lakini kwenye nyanja za kijeshi sahau.BRICS.
B- Brazil.
R- Russia.
I -India.
C- China.
S- South Africa.
Putin hua anafanya kazi ya Ziada kuwaweka pamoja maadui Hawa wawili.