NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Nahofia upinzani huo hautasiadia sana. Maana wengi wao -walisema waziwazi- wako nje ya Urusi, menginevyo wasingesema hivyo.Putin kaanza kupambana na wapinzani wa ndani wa namna hii tokea kitambo sanaa hawa ma oligarch...toka enz za akina Boris Berezovsky, akina Gusinsky and the likes....wafanya biashara hawa wao wanaangalia manufaa yao binafsi tu kwanza na endapo yataathiriwa na hali ya vita usitegemee wakakaa kimya...watapiga kelele tu..ila wanajua kilichowakuta
Hao mashoga ndio walioizamisha flagship yenu moskvaHivi wale warembo mliokuwa mkiwarusha mwanzo wamepotelea wapi!? Au washabebeshwa mimba sasa mnarusha picha za mashoga!!
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Sidhani itasaidia nafasi ya Urusi katika usafirishaji wa kimataifa. Itawafariji tu. Maana hao wa nje hawaji tena. Malori kutoka Urusi na Belarus (na Ukraine) walikuwa na asilimia nzuri ya sekta katika Ulaya. Sekta hii imekufa sasa.Russian trucking companies are asking to ban trucks from the European Union from passing through the country.
According to road carriers, such a decision will help eliminate the growth of rates for the delivery of goods and preserve the sector of Russian international road transport.
Usisahau katika historia ya kijeshi Washoga walitumiwa sana huko Sparta (Ugiriki wa Kale), vikosi vyaa ni mashuhuri walihofiwa sana !!!Hao mashoga ndio walioizamisha flagship yenu moskva
Wote hao wanamshukuru Bwana Putin! Ila kwa bahati mbaya hadi sasa nchi za Ulaya walituma pesa nyingi kwa Putin kuliko Ukraine. (malipo ya gesi na mafuta, ila wanapunguza kwa mbio!)In the West, arms manufacturers are benefiting from the situation in Ukraine.
They are now working in the gold rush, when the US and European countries are providing billions of dollars to provide Ukraine with heavy weapons supplies, writes The Independent.
Thus, Berlin announced an increase in military spending to 2% of the annual budget. Germany has already placed an order for 35 F-35 fighter jets with US manufacturer Lockheed Martin. At this time, the Biden administration increased the Pentagon budget by 4%, and now it will be $813 billion.
In the past six months alone, the value of shares in military-industrial companies such as Raytheon Technologies has risen to 15%. And the US S&P aerospace and defense fund increased by at least 11%.
Bila shaka atatetemeka!!!! Akipata hamu kutembelea Sibiria (ambayo akuweza bado maishani mwake) - sasa hawezi!!!Russia has expanded its sanctions list against US citizens to include Vice President Kamala Harris.View attachment 2195750
Makaburi kwa watu raia ni sehemu ya mkakati wa kuwafikia wananchi wa ukraine (hasa wenye lugha ya Kirusi kama Mariupol) kwa upole .
Hongereeni! Kama ningekuwa Mrusi ningefurahi pia kurushwa mahali ambako niko mbali kutoka fujo la chini (ingawa siki moja nahitaji kurudi kwa Putin)View attachment 2195649View attachment 2195650View attachment 2195651View attachment 2195652View attachment 2195653
🇷🇺🧑🚀 Russian space agency Roscosmos has revealed a series of high-resolution photos from the spacewalk of Russian cosmonauts Oleg Artemiev and Denis Matveev on the ISS on April 18.
Photo credit: social media of Roscosmos cosmonaut Sergei Korsakov
Kumbe Kadyrov alitangaza mara ngapi?? Leo Putin alitangaza wasishambulie hao Waukraine 2000 waliobaki chini ya ardhi, wawasubiri tu. Sijui wanaweza kuendelea siku (saa??) ngapi. Hata hivyo walilazimisha sehemu kubwa ya jeshi la Kirusi kukaa huko . . .View attachment 2195704
Kadyrov: Mariupol is finally and irrevocably taken, the entire territory is systematically cleared of nationalists
Usituchoshe, wamesema mara ngapi??? Wamefanya nini?Russian Foreign Ministry: Moscow has the right to consider the transport of the US and NATO with weapons as a legitimate target if it passes through Ukrainian territory, we are talking about this directly.
It's high time, support!