Ina maana zile silaha zote kweli zinawafikia walengwa na misaada mingine??naiunga mwili mzima hii hoja yako mkuu.
hapo ndo utajua kabisa sehemu kubwa ya siraha zinazotumwa huaribiwa na JESHI TUKUFU LA URUSI.Ina maana zile silaha zote kweli zinawafikia walengwa na misaada mingine??
Hizo neptune zinasekwa tu ila ukweli itakuwa NATO wameiweka chini ile meli. Kumbuka kabla meli haijazamishwa, wiki moja nyuma UK aligawa silaha za kuzamisha meli kwa Ukraine.In war situations every party produces it's own version of events,but time will tell.Kwenye incidence ya Moskva,tuliambiwa it was hit by a Neptune Ukraine made missile and sank by Ukranean and American authorities.Urusi wao walisema the incident was caused by a fire onboard the vessel,and only sank when it was being towed to Port because of strong winds.Baadae tukajua from an independent source kwamba kumbe it was infact hit by an American Nulear AEGIS System Missile.Sasa tusubiri,katika mazingira ya vita kuna propaganda nyingi sana,eventually hata hivyoo tutajua ukweli.Hata mimi ndiyo maana nilisita kusema categorically kwamba ukweli ni huu,I was sceptical.
na zelensky alizindua postcard ya meli kuzama siku tatu kablaHizo neptune zinasekwa tu ila ukweli itakuwa NATO wameiweka chini ile meli. Kumbuka kabla meli haijazamishwa, wiki moja nyuma UK aligawa silaha za kuzamisha meli kwa Ukraine.
Ngoja waje kina imeloahapo ndo utajua kabisa sehemu kubwa ya siraha zinazotumwa huaribiwa na JESHI TUKUFU LA URUSI.
Kuna maigizo ya kuuana?Baada ya igizo la Corona kubuma, wazee wameamua kuja na igizo jipya la vita.
The so called SUPER POWER (Russia) imeshindwa kudhibiti kanchi kaduchu kama Ukraine ndani ya miezi miwili!
Mara tunaambiwa wanajeshi wamerudi nyuma (sijui hata nyuma ya wapi?), mara sijui wanajeshi hawana maji wana kiu. POROJO.
Katika maigizo haya yote mawili, kuna jambo linatafutwa ambalo limefichwa machoni pa ulimwengu kwa wakati huu!
Ukweli wa haya maigizo utajulikana kitambo kifupi kijacho!
Dhamira zilizojificha nyuma ya haya maigizo zitafunuliwa!
Venus mimi hii taarifa 👇kwangu inatoa clue kwamba kuna mambo yaliyojificha katika issue ya kuzamishwa kwa Moskva na kwa hiyo katika mambo mengi.Kama US wali-provide co-ordinates regarding the vessels whereabouts,which means they knew exactly where it was,is it possible that they fired upon it themselves?Ni wazo tu.View attachment 2195859
The fire in the building of the Central Research Institute of the Aerospace Defense Forces of the Russian Federation in Tver could break out due to the emergency operation of the power grid. This is the preliminary cause of the fire.
Ruptly video @ruptlynews.
@SPUTNIKBY
Kutoka USA hadi Japan ni miles ngapi vile? Alafu ilikuwa mwaka gani vile? Vipi bado hutaki kuwapa heshima hao watu wa USA?RUSSIA sio USA aliyezidiwa kule Japan akatuma nuke.
Mzee meli izamishwe watu wote watoke salama. Duh!!!Venus mimi hii taarifa 👇kwangu inatoa clue kwamba kuna mambo yaliyojificha katika issue ya kuzamishwa kwa Moskva na kwa hiyo katika mambo mengi.Kama US wali-provide co-ordinates regarding the vessels whereabouts,which means they knew exactly where it was,is it possible that they fired upon it themselves?Ni wazo tu.
U.S. Navy P-8 Spy Plane Provided Coordinates for Ukraine to Attack Russian Ship
WORLD HAL TURNER 20 APRIL 2022 HITS: 9323
Information is leaking out of the United Kingdom that the US Navy used its new marine surveillance aircraft to provide accurate targeting data to Ukrainian forces to sink the Russian Black Sea flag ship Moskva on April 13.
Ukraine claimed it fired two Neptune missiles at the Russian warship which was patrolling south of Odesa.
Russia initially claimed the vessel, which had more than 500 crew on board had blown up after a fire onboard.
Later, the Kremlin was forced to admit the vessel - named in honour of the Russian capital - had been taken out by hostile action.
According to information coming out through the British press, a US surveillance P-8 "Poseidon" aircraft, was tracking Moskva in the hours before it was attacked before supplying its location to the Ukrainian military.
The Boeing-made aircraft is based upon the Boeing 737-800 jet - which is widely used by airlines such as Ryanair.
However, instead of passengers, the Poseidon is packed with state-of-the-art surveillance equipment which can track surface vessels and submarines at ranges of more than 100 miles.
According to the claims in British media outlets, the P-8 took off from Italy and took up station on the Romanian Black Sea coast where it attempted to locate the position of the Russian Black Sea fleet.
The P-8 left US Naval Air Station Sigonella in Sicily on April 13, hours before the attack.
Before reaching the Black Sea coastline, the Poseidon turned off its trackers, so it could no longer be followed online.
The aircraft was 'hidden' for almost three hours before it returned to Flight Radar 24.
Aviation data analysis Amelia Smith says there were slightly more US aircraft covering the Black Sea coast on the day of the attack.
However, the US Navy refused to confirm if they assisted Ukraine with the attack by providing intelligence data.
A Defense source added: 'In keeping with our support to NATO's eastern flank, we have been conducting some limited air patrols off the coast of Romania. But we will not speak to the details of operational matters.'
Wanataka kwenda kuwafunza adabu waliowatuma kufanya unyama huu hapa chini.Aisee Russians Wana morali ya Vita balaa,
Wanataka ziletwe silaha za kisasa na sio screpa[emoji28]
Dada yangu media nyingi haztangaz against Ukraine..so kuna media chache ambazo sio popular thus y nmeforget"Kitu huwezi kusikia au kuona BBC,CNN" But kutaja Media uliyoona huwezi[emoji706][emoji706]