MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Alikuwa ni mtu mwenye asili ya Kongo drc.Sidhani kama alikua ni mtanzania yule,au ni mwingine ninaemjua mimi.ila uhakika ni mwafrika.
Alikua anagombea nafasi Fulani huko.
Warusi wakaanza kumtania kuwa huyu asijekua Obama mwingine katika Urusi.
Hapo hakuna wapiganaji.
Kumbe Kadyrov alitangaza mara ngapi?? Leo Putin alitangaza wasishambulie hao Waukraine 2000 waliobaki chini ya ardhi, wawasubiri tu. Sijui wanaweza kuendelea siku (saa??) ngapi. Hata hivyo walilazimisha sehemu kubwa ya jeshi la Kirusi kukaa huko . . .
Kama wamewazidi Urusi si watoke ..iweje waombe msaada mpaka Kwa Papa na nchi mbalimbali.asee we jamaa..😂😂😂
Pro Nato wanasema jeshi la Russia limezidiwa na askari wachache hapo Azov, hili unalizungumziaje?
Kama vile Magu alivyodondokaKwa wale mliokuwa mkiiombea Ukraine kushinda vita Mungu kajibu anasema kama ile meli ya vita ya urusi ilivyozama ndivyo jeshi la urusi litazama.Mungu kama alivyozamisha jeshi la Farao lote kwenye bahari ya Shamu walipowafuatilia wayahudi ndivyo itakavyotokea kwa Jeshi la Urusi
Msiangalie uwingi wa Jeshi lake wala mivifaa take ya kijeshi .Farao aliwazidi wayahudi kijeshi kwenye kila kitu kijeshi lakini Mungu akazamisha Jeshi lote na mi vifaa yao ndicho kinaenda kulikuta Jeshi la urusi
Anzeni kumshukuru Mungu kwa ushindi wa kushinda ambao Mungu anaenda kuwashindia Ukraine
Walitoka kabla,yaan baada ya kupigwa kombora waliona kabisa hakuna maisha ndani ya meli. Kumbuka mele ilizama ikiwa inavutwa kuelekea bandariniMzee meli izamishwe watu wote watoke salama. Duh!!!
Ukichanganya Mungu na vita unamkosea heshima kubwa sana.Kwa wale mliokuwa mkiiombea Ukraine kushinda vita Mungu kajibu anasema kama ile meli ya vita ya urusi ilivyozama ndivyo jeshi la urusi litazama.Mungu kama alivyozamisha jeshi la Farao lote kwenye bahari ya Shamu walipowafuatilia wayahudi ndivyo itakavyotokea kwa Jeshi la Urusi
Msiangalie uwingi wa Jeshi lake wala mivifaa take ya kijeshi .Farao aliwazidi wayahudi kijeshi kwenye kila kitu kijeshi lakini Mungu akazamisha Jeshi lote na mi vifaa yao ndicho kinaenda kulikuta Jeshi la urusi
Anzeni kumshukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo ambao Mungu anaenda kuwashindia Ukraine
Kichapo kiendeleleeNawasalimu kwa jina la RUSSIA.
Kichapo kiendee, funyula hao WesternNawasalimu kwa jina la RUSSIA.
Wewee, mbona ktk bible Kuna thread nyingi Mungu anawasaidia Waisrael ktk vitaUkichanganya Mungu na vita unamkosea heshima kubwa sana.
Kwa hiyo Mungu anasapoti upande gani? Na wewe umejuaje?