Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha Kumhusisha mungu na Upumbavu wa Mashoga
Mungu yupi kawaruhusu Mfanye Ushenzi!
Mrusi kaleta Heshima nchi 30+ dhidi ya Taifa 1 Mnalia lia
Mtaongea Yote simmeanza Kujua Mungu yupo
 
Hii ni analysis ambayo inaweza kuthibitishwa kwa data. Don't worry ukweli utajulikana
 
Kama huyo Mungu ni wa haki atakuwa anasapoti upande wa wanaoonewa na kudhulimiwa. Huhitaji digrii kuelewa hilo.
Ushaanza Hadi kuhoji Mungu kasimama wapi kwenye vita hii? Mungu yupo pale pale tangu Dunia kuumbwa na vipindi vyote Dunia imepitia hata kwenye kipindi Cha ukoloni na vita mbali mbali zilizo wahi tokea, sidhani kama alismima na WA Africa kipindi Cha ukoloni Kwa sababu wanaonewa?, Sidhani kama kasimama upande wa palestina Kwa sababu wana onewa, Wala sidhani kama alisimama na wayahudi kipindi Cha akina Adolf Hitler ,pia sidhani kama alisimama na Iraqi wakati inavamiwa na malekani tu Kwa sababu inaoneawa! GOD HAS GRANTED US THE POWER OF WILL & WE DON'T USE IT RESPONSIBLY, Ndio maana hata ukiamua Leo kwenda kuua utaua tu! ON TOP OF THAT WE DETERMINE WHAT HAPPEN ON THE EARTH NOT GOD
 
Kitu Cha kutia aibu kuhusu iyo drone hakuna kitu hata kimoja made in Russia wali ifungua ndan Kuna kamela ya canon.
super power wa mchongo watu wake humu wala ugoro na wanaoshinda vijiwe vya gahawha
 
Mimi ninavyojua kila kinachotokea ni mungu kapanga, ukiona shoga mungu kapanga, ukiona Vita mungu kapanga Kwa kuwa duniani hakuna kitu kinaweza kutokea bila mungu kuamuru kitu hicho kitokee,

Yaani siku ukijikuta peponi mungu ndiye kapanga na siku ukijikuta Moroni mungu ndiye kapanga
 
Sasa kama vita haihusini na Mambo ya Mungu au Imani kwa nini Pro Russia wengi wanashangilia Ukraine kuvamiwa na raia wake kuuwawa kwa sababu ya madai ya Ukraine kuna ushoga?
 
KU Compromise na dhambi ndio agenda ya Nwo. Ambayo ukraine wame embrace sana. Sasa kama ni hivyo hii vita ni kati ya evil and good.
Kila kitu kimepangwa????
 
Sawa Sawa
 
Mungu aache Shughuli zake akujibu wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…