LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ndani ya siku 21 hii vita itakuwa imeisha, ni utabiri tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
❗️US & NATO 'do not threaten' Russia, Washington adds that Moscow putting its deterrent forces on high alert based on threats that don't exist - White House
RT
Exactly
 
unawezaje kusema mtu ajapigana na anaua wanajeshi?
 
Unajua tofauti ya jeshi na wanajeshi? Ujuaji unatakiwa utangulizwe na ufahamu, bahati mbaya kuna watu wanatumia ujuaji mbele na ufahamu nyuma.

Mfano chuo na wanachuo ni vitu viwili tofauti. Wakati chuo kinapanga kujenga hostel, kununua shuttle, kudaili wanafunzi 15,000 kwenye mwaka mpya wa masomo. Wanachuo huwa wanaambiwa? Sasa hicho ni chuo na ikija jeshi ni maximum ya hapo
 
 
Tulia unyolewe kwa wembe butu, si unasema Mara zote hawezi kufanya lolote. Alishasema NATO wasiingilie hiyo vita lakini hawaelewi, wanatoa kauli za vitisho na kuona kama Russia inatishika sasa kaamua kufanya kweli.

Siku Russia akiona usalama wake unawekwa rehani lazima atumie hayo madude hapo ndio tutachora upya ramani ya dunia na ulaya hatutaiona tena.
 
We vipi hizo silaha unadhani ni za kuulia kuku?
 
Hapa ndio tulipofika na huyu ndio Puttin watu wanaecheka nae!

This man is a threat to the entire world.

Soma hii:

View attachment 2133155
What happened to "special operation?"

Hivi vitisho vya nyuklia vinatoa taswira kuwa Urusi inashindwa kufanikisha malengo yake nchini Ukraine. Upinzani unaonekana kuwa mkubwa sana kutoka kwa Ukraine.

Tusubiri tuone kitakachozungumzwa katika hayo mazungumzo hapo mpakani.
 
Mikwara yote kwisha! Kiburi kitapungua kama sio kwisha kabisa.
 
Tutafanyia kazi mawazo yako baada kuiteka Ukraine na kumuua Rais wenu
 
Weka chanzo
 
Puttin anaadhirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…