Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kudanganya na kujidanganya. Rais Ukraine alikataa mazungumzo kufanyikia Belarus. Baada mkong'oto kuendelea amekubali. Na anaenda kwa terms za Russia. Na hapo utakuwa ni ushindi kwa Russia, NATO watakuwa wameshindwa rais atalazimishwa ku step down.
Exactly❗️US & NATO 'do not threaten' Russia, Washington adds that Moscow putting its deterrent forces on high alert based on threats that don't exist - White House
RT
unawezaje kusema mtu ajapigana na anaua wanajeshi?VICHWA MAJI HUMU NI ASILIMIA 99%
Unashindwa kujua kuwa Russia Hatakiwi kutumia Full force, Wanajeshi haswa kwa sababu wakati wa vita unaweza kupata strong resistance kutoka kwa support anayopewa adui yako.
Pili kumbuka utazalisha maadui wapya, Nyumbani unakuachaje? Pia kwenye vita kuna vitu tunaita chambo, lazima utangulize watu wakusogeza Gurudumu kabla ya kutuma Strong one.
Hakupanga kuichakaza Ukraine kwa roho mbaya, Angeua watu wasio na hatia, Watu kutoka nchi mbalimbali wapo bado kule.
So Ukraine anatumia hiyo advantage ku promote kwamba amempiga M Russia in fact m Russia ni kama hajapigana tu
Wengi mliojaa humu kwa mfano mdogo tu, Mkienda sehemu za starehe mnatumia mpaka reserve kuwafurahisha marafiki na watu utakaokua nao siku hiyo, ukisahau kwamba kesho Familia itahitaji hizo pesa iweze kusonga.
The same Russia hajatumia Nguvu ya Vita Ya First Degree wakati Ukraine katumia First Degree na kachanganya na citizens na msaada juu.
#BUNCH OF BOZOS
Unajua tofauti ya jeshi na wanajeshi? Ujuaji unatakiwa utangulizwe na ufahamu, bahati mbaya kuna watu wanatumia ujuaji mbele na ufahamu nyuma.D
Duu jeshi la Urusi liko vitani halafu hawajui kinachoendelea[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wabongo bana.
Hayo matank, ndege vita na kila kitu ni matokeo ya intelegensia ya hatari.
Yaani kabla ya kufanya chochote Kuna kazi kubwa sana ya intelegensia inafanyika.
Yaani Urusi kwa ukubwa wao washindwe kuwa na taarifa ya kinachoendelea Ukraine,duuuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1745]Kwani Mimi nimezungumza Nini na wewe unazungumzia Nini? Mazungumzo yatafanyika kwenye mpaka na Belarus lakini upande wa Ukraine. Mbona Mimi na wewe Ni team Russia jamaa au husomi majibu yangu.
Warusi wako busy kwenye ATMs wanatoa hela, thamani ya ruble inashuka kila muda ukienda, volatility ni kubwa na hapa pressure ya nchi kuiondoa Russia kwenye SWIFT inaendelea. Benki kuu yao huwa ni wazoefu wa kufanya intervention na walijiandaa muda ila kuna muda ujanja unatumia gharama.
Hakuna namna Urusi itakwepa vikwazo eti "imevizoea". Vile vilikuwa vinawekwa na Uingereza na USA mara hii wanaoshinikiza ni majirani wa Urusi waoga wanaotaka kuiangusha. Hapa ndio shida kwa wanasiasa kina Lavron inakuja, wao walidai vikwazo tulijipanga navyo. Extent inayokuja sidhani kama walijipanga nayo. Jeshi lao limechelewa hivyo linazidi kuwaumiza. Kila projection waliyokuwa nayo walikosea. Should we say tha this is the beginning of the end?
Ningependelea Urusi iwepo imara. Hawa NATO watatutia vidole machoni wakiachwa wenyewe
We vipi hizo silaha unadhani ni za kuulia kuku?Utakuwa na tatizo la akili kama Putin.
Yani unaona sawa hizo silaha kuanza kusogezwa bila kutazama consequences zake kwa mustakabali wa dunia yote. Taifa gani Ulaya na magaharibi hawana hizo silaha? Wakisema wote wazitoe patakalika?
Acha kuwa na mawazo ya kibinafsi kama ya Putin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya siku 21 hii vita itakuwa imeisha, ni utabiri tu.
What happened to "special operation?"Hapa ndio tulipofika na huyu ndio Puttin watu wanaecheka nae!
This man is a threat to the entire world.
Soma hii:
View attachment 2133155
Mikwara yote kwisha! Kiburi kitapungua kama sio kwisha kabisa.Tulia unyolewe kwa wembe butu, si unasema Mara zote hawezi kufanya lolote. Alishasema NATO wasiingilie hiyo vita lakini hawaelewi, wanatoa kauli za vitisho na kuona kama Russia inatishika sasa kaamua kufanya kweli.
Siku Russia akiona usalama wake unawekwa rehani lazima atumie hayo madude hapo ndio tutachora upya ramani ya dunia na ulaya hatutaiona tena.
Tutafanyia kazi mawazo yako baada kuiteka Ukraine na kumuua Rais wenuShule zenu zinawajaza ujinga sana wengi uwezo wa kufanya analysis ni mdogo, tunaishi kwenye dunia ambayo kuna class antagonism mwenye nguvu ndio ana survive, back to the era of cold war both russia and us were in stiff competition to take control of the world mwisho marekani kawa winner baada ya urusi ya zamani kusambaratika. Urusi kuvamia nchi ya watu sio sawa kama marekani alivyo vamia Vietnam hupaswi kuharalisha dhambi kwa sababu tu za kishabiki na itikadi
Weka chanzoWarusi wako busy kwenye ATMs wanatoa hela, thamani ya ruble inashuka kila muda ukienda, volatility ni kubwa na hapa pressure ya nchi kuiondoa Russia kwenye SWIFT inaendelea. Benki kuu yao huwa ni wazoefu wa kufanya intervention na walijiandaa muda ila kuna muda ujanja unatumia gharama.
Hakuna namna Urusi itakwepa vikwazo eti "imevizoea". Vile vilikuwa vinawekwa na Uingereza na USA mara hii wanaoshinikiza ni majirani wa Urusi waoga wanaotaka kuiangusha. Hapa ndio shida kwa wanasiasa kina Lavron inakuja, wao walidai vikwazo tulijipanga navyo. Extent inayokuja sidhani kama walijipanga nayo. Jeshi lao limechelewa hivyo linazidi kuwaumiza. Kila projection waliyokuwa nayo walikosea. Should we say tha this is the beginning of the end?
Ningependelea Urusi iwepo imara. Hawa NATO watatutia vidole machoni wakiachwa wenyewe
Puttin anaadhirika.What happened to "special operation?"
Hivi vitisho vya nyuklia vinatoa taswira kuwa Urusi inashindwa kufanikisha malengo yake nchini Ukraine. Upinzani unaonekana kuwa mkubwa sana kutoka kwa Ukraine.
Tusubiri tuone kitakachozungumzwa katika hayo mazungumzo hapo mpakani.
Na hawa wajinga huwa wanaua hadi raia hawajali lolote. Sababu UN ni shirika lao na mipango yao ni mimoja.