Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Shida ipo hapa ni "ubinafsi wa Putin".Kwa mfano Russia,USA akiingia wanapigwa asubuh kwa sababu si tuu hawapendi vita bali wanamchukia Putin ndio maana kila sehemu wanaandamana.
Pili makamanda wa Russia wakiona hakuna mafanikio mstari wa mbele lazima wamwambie Mzee tafuta ceace fire vinginevyo watamgeuka, watoto wao wafe Kisa kumfurahisha Putin?
Na vikwazo vikibana zaidi lazima wataomba poo.
Putin wa 2014 sio huyu wa 2022..huyu wa sasa mgonjwaPutin anafanya makusudi ili kuwapa mzigo mzito wa wakimbizi Nchi za magharibi
Ghafla Putin limekuwa zee la kulia lia linalalamika tuuuuuu hakuwa anajua kuwa atapigwa kiuchumi ndo ajue western ni western na uchumi wake unategemea western.
Ona sasa watoto wa miaka ya 2000+ mlivyo mbumbumbu.Ndio maana Nuklia haitakiwi kumilikiwa na vichaa, hayo ndio madhara yake..
USA kapigana vita nyingi miaka mingi hajawahi kuzungumzia nuklia kabisa, sasa huyu na kaukraine tu tayari anazungumzia Nuklia..
Alafu Waingereza na Marekani na Canada ni Wazungu Wajinga wajinga wenye wivu na urohoMrusi ni mzungu aliechangamka.
Huyo ni former KGB agent.Ghafla Putin limekuwa zee la kulia lia linalalamika tuuuuuu hakuwa anajua kuwa atapigwa kiuchumi ndo ajue western ni western na uchumi wake unategemea western.
Tunataka kuing'oa serikali ya vibarakaJapo sijui kiundani sana
Russia alikuwa anataka miji ya crimea ,donestk, luhansk na donbass naona kashaipata kwanini anenda kiev?
Unaposema ukraine hajazidiwa unamaanisha nini wakati vita inapigwana kwake tena makao makuu ya nchi na tunaona wakiomba msaada na kutumia wanachi?
kwA akili hizi ulikuwa lazima upigweNiliacha kupigana muda mrefu sana. mpaka leo sipendi ugomvi wowote ule..
Hiyo ni baada ya kupigwa na mtu ambae nilifikiria naweza mpiga hata kwa mkono mmoja. Baada ya dakika tano nikashika mawe kama bwana Putin [emoji3]
Ninavyanzo vingi ila naona unatumia kimoja Soma hapa wanasema yatafanyika kwenye karibu na mto pripyat kasome ujue upo upande gani. Chanzo Cha taarifa Ni Moscow today app.Wapi location ya mazungumzo imetajwa. Hiyo ni suggestion ya Ukraine mzee. Na Alexander Lukashenko rais wa Belarus ndiye aliye mshauri dogo kuacha kiburi. Lukasheko na Putin wapo na umoja wao unaitwa Union State. Kitendo cha kukubali kwenda Belarus maana yake amenyosha mikono juu tayari kuhesabiwa. Mzee fuatilia mambo
Ilo dege lako kwenye avata linaitwajehuyu mtu vipi jamani
Lakini vikwazo kama hivi viliwekwa dhidi ya Iran mpaka watu wakaanza kutabili kuanguka kwa utawala wa Ayatullah lakini mwaka wa tano huu Iran inadunda na takwimu za mwaka huu zina onesha uchumi wa Iran umeimalika kwa asilimia 4 licha ya kuwa yuko nje ya mfumo wakifedha wa dunia ,una dhani wanatumia mbinu gani?Warusi wako busy kwenye ATMs wanatoa hela, thamani ya ruble inashuka kila muda ukienda, volatility ni kubwa na hapa pressure ya nchi kuiondoa Russia kwenye SWIFT inaendelea. Benki kuu yao huwa ni wazoefu wa kufanya intervention na walijiandaa muda ila kuna muda ujanja unatumia gharama.
Hakuna namna Urusi itakwepa vikwazo eti "imevizoea". Vile vilikuwa vinawekwa na Uingereza na USA mara hii wanaoshinikiza ni majirani wa Urusi waoga wanaotaka kuiangusha. Hapa ndio shida kwa wanasiasa kina Lavron inakuja, wao walidai vikwazo tulijipanga navyo. Extent inayokuja sidhani kama walijipanga nayo. Jeshi lao limechelewa hivyo linazidi kuwaumiza. Kila projection waliyokuwa nayo walikosea. Should we say tha this is the beginning of the end?
Ningependelea Urusi iwepo imara. Hawa NATO watatutia vidole machoni wakiachwa wenyewe
Aache kulialia basi na atumie hizo silaha zake basi zee lina maneno meeengi oh atakayemsaidia ukraine atakiona wanaume wanamsaidia ukraine na hajawafanya chochcote na hatowafanya chochote.Kwenye vita hatuchagulian silaha.
Ona sasa watoto wa miaka ya 2000+ mlivyo mbumbumbu.
Taifa la kwanza kutumia silaha za maangamizi ni Marekani kule Japan katika miji ya Hiroshima na Nagasaki.
empty headTulia unyolewe kwa wembe butu, si unasema Mara zote hawezi kufanya lolote. Alishasema NATO wasiingilie hiyo vita lakini hawaelewi, wanatoa kauli za vitisho na kuona kama Russia inatishika sasa kaamua kufanya kweli.
Siku Russia akiona usalama wake unawekwa rehani lazima atumie hayo madude hapo ndio tutachora upya ramani ya dunia na ulaya hatutaiona tena.
Mi naona poa tu,,, hayo ndio malipo dhidi ya Europe colonization and slave trade for Africans, ninaomba Russia ashinde Vita hii... I a praying for the Eastern sideHapa ndio tulipofika na huyu ndio Puttin watu wanaecheka nae!
This man is a threat to the entire world.
Soma hii:
View attachment 2133155
... Wehu lile! Zama zake zimefika mwisho.Ndio maana Nuklia haitakiwi kumilikiwa na vichaa, hayo ndio madhara yake..
USA kapigana vita nyingi miaka mingi hajawahi kuzungumzia nuklia kabisa, sasa huyu na kaukraine tu tayari anazungumzia Nuklia..