LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yaani RT ambayo ni state media ya Urusi ibalance stories kuliko vyombo visivyo na maslahi na mgogoro? Ushabiki mwingine shida sana
 
Usihamishe
 
Natamani pia NATO wazidishe hicho kiherehere.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
⚡️UPDATE: Negotiations have NOT started according to the Russian delegation, the parties have only just started arriving at the venue for talks
 
Kwa hio inamaana Russia sasa wanadili nae kimya kimya ili wamkamate sio kumuua
Huyo Rais wa Ukraine anatakiwa afikishwe Kremlin akiwa mzima ili ashuhudie anapakwa mafuta ya kulainisha mitambo kwenye makalio yake huku ikirushwa live duniani....mkuu we andaa pesa ya popcorn tu
 
[emoji298]️UPDATE: Negotiations have NOT started according to the Russian delegation, the parties have only just started arriving at the venue for talks
Duh! Waangalie tu wasifyatue nuykria ikatuangamiza huku
 
Ndio maana Nuklia haitakiwi kumilikiwa na vichaa, hayo ndio madhara yake..

USA kapigana vita nyingi miaka mingi hajawahi kuzungumzia nuklia kabisa, sasa huyu na kaukraine tu tayari anazungumzia Nuklia..
Mpaka Sasa sio Vita ya Russia vs Ukraine, bali ni Russia vs NATO,,, ndio maana katoa alert kwa vikosi vya nuclear vijiandae.
Ngoma tamu hii

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni former KGB agent.
Utakuwa umemfuatilia putin baada ya vita.
Hayo makgb na issue za urusi/eastern europe nazijua kabla hata internet bongo haijaingia enzi hiyo home palikuwa pamejaa majarida yanayohusu siasa za russia na eastern europe kwa lugha ya kiingereza.
 
teh teh dingi kajivua nguo, dunia imeona kuwa ni debe tupu. sasa ameanza tishia nyuklia teh teh Jinga sana ilo lizee. hata ukilalingalia usoni tu unajua hakuna timamu pale.
US kashapoteza vita vingi ila wanakibali rudi nyumbani na kuruhusu maisha mapya yaendelee hawajawai tishia matumizi ya nyukilia .. sasa huyu mweu anaona aibu ya kupoteza na kumbuka kuwa ni kubwa Jinga sasa ameanza tishia nyuklia.. anamuambia mkuu wa naje. shi ajiandae kubinya batani.
Shame on him
 
Acha utoto subiri tuwafinye mpaka mnye
 
Aache kulialia basi na atumie hizo silaha zake basi zee lina maneno meeengi oh atakayemsaidia ukraine atakiona wanaume wanamsaidia ukraine na hajawafanya chochcote na hatowafanya chochote.
Toka alihamisi leo ni siku ya pili anaongea..
Na alihokisema ni kuwa mitambo ya kudetect nuclear iwekwe kwenye operation.
Achane uoga.

 

Wanafikiri Russia ni Burundi
 
Kusema ukweli Russia invasion kwa Ukraine italeta uhasama wa milele baina ya hizo nchi mbili. Pia imekuwa unpopular war kwa Russia, maana wenye nchi wameonesha hawataki Urusi aingie.
Na huo ndio Ukweli. Itakuwa chuki ya vizazi na vizazi. Putin amejijengea chuki kubwa sana kwa wazungu wenzake na pia amesababisha Russian walio nje kujihisi kuwa Isolated na kuonekana wa hovyo. Putin anakabiliwa na chuki nje ya mipaka ya nchi yake na inahamia kuchukiwa na wananchi wake. Hakika ANGUKO LA PUTIN LIKO KARIBU
 
Hawezi aminika na hafai kuaminika hata chembe maana hata mwanzoni mwa hili vuguvugu alisema hana mpango wa kuivamia Ukraine wakati intelijensia ya USA ilikuwa inaonyesha ana mpango wa kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…