myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
EU wapo hoi kiuchumi sasa hivi.Watafidiwa na EU kwa haraka sana...
Na hapo bado moto haujakoleaRussia tells US to stop giving Ukraine weapons
Moscow sent a note to Washington demanding it stops supplying weapons to Kyiv, Russia’s ambassador to the United States, Anatoly Antonov, said in an interview with the Russia-24 TV channel, state news agency TASS reports.
Russia wanalakamika sana
Heheh spana tu hamna kingine[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nianze kuwakera hawa viumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dawa ya moto n moto... [emoji847]Heheh spana tu hamna kingine
Kwahiyo unadhani malengo ya bwana Putin ni kuuwa raia na kuharibu miundombinu!Taja hayo malengo
Kwamba UK nzima[emoji16], story za kwenye kahawa[emoji3]Mpaka UK ameanza kujikanyaga aliposikia kuwa uchunguzi unafanyika kuona kama ilituma wataalamu wa anga kwenda Ukraine.
Maana hilo dude ni Moja tu UK mzima inasambaratika View attachment 2199824
Hicho tu? Niulize chochote kuhusu Urusi wanavyo chakazwa. Picha za askari wa kukodiwa zipo nyingi. Ila kwa kuwa umeomba. Nakupa hizi za majirani wako wa Africa Mashariki Congo. Wapo watanzania pia wanapigana upande wa Urusi akiwemo Devid dogo wa Arusha kwa MrombooAisee kumbe? Sasa mkuu kwa kawaida hata urusi akiwakamata askari mamluki huwa anawapost na kuwahoji kabisa na nadhani hata wewe umeliona hilo sasa vipi kuhusu hao wa syria na sijui wapi je hakuna hata maiti au mateka tuione humu kama ushahidi wa kauli yako?
Unaweza ukawa hujui Urusi ina madeni kwenye bank za Ulaya!!...EU wapo hoi kiuchumi sasa hivi.
Ww unajifanya mpumbav,kwani misaada Ukraine inapokea kila siku!Maneno yako yanakinzana na msemaji wa jeshi la Urussi amabae amesema wamelipua ndge za Ukraine. Sasa jiulize hizo ndege zimetoka wapi na wanasema wamezisambaratisha.
The #Russian Defense Ministry reports that Russian air defense forces shot down two MiG-29 fighters and one Su-25.
Nimekuambiaje, EU hivi sasa hata uzalishaji umepungua, kama Germany sasa hivi wana sera ya kubana matumizi, uzalishaji umeshuka.Unaweza ukawa hujui Urusi ina madeni kwenye bank za Ulaya!!...
[emoji847]Ukraine alipaswa anyooshe mikono, kwa ubishi wake atazidi kupigwa na kupigwa zaidi itafikia muda watatumia na manati.
Huu ubishi utammaliza.