NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Ukiingia kwenye comment section sampuli za watu wanaosifia utopolo wake ni hizi... Angalia Profile hiyo..
Mzee Ukraine bado anazo battery za S- 300 system kwa upande wa high altitude. Ukija low altitude anazo Man portable Aerial Defense system (MANPADs) kama Starstreak pamoja na Bayraktar drones. Hizi ndege za Urussi ziliangushwa ndani ya siku moja.Kwa sasa ukraine airforce imepoteza ndege zake asilimia 95.sasa kweli iyo su-25 au mig 29 ndo ikangushe su 35?.acha utani kaka
Anajaribu kukimbia kivuli chake.Mbna zinapeleka mbolea, uranium na crude oil??
Aliyeweka picha hizo hana utalaam wa kutosha. Angalia picha zilivyokopiwaHicho tu? Niulize chochote kuhusu Urusi wanavyo chakazwa. Picha za askari wa kukodiwa zipo nyingi. Ila kwa kuwa umeomba. Nakupa hizi za majirani wako wa Africa Mashariki Congo. Wapo watanzania pia wanapigana upande wa Urusi akiwemo Devid dogo wa Arusha kwa Mromboo
View attachment 2199836View attachment 2199837
Hayo mabomu sijui atajipiga mwenyewe manake hamna mtu yoyote anayeshughulika nae. Watu wako busy na mengine anatafuta attention ya kupewa msaada wa chakula.
Unajiridhisha mpaka lini Russia washamkama mpaka mwanajeshi raia wa Uingereza kavaa gwanda la Ukraine anaisaidia Ukraine bado nini tena? muda huu tunaongea mafunzo yanaendelea kwa majeshi ya Ukraine kuwatowa wevi waliovamia kule Donbas ni vile hujamjua Putin udhaifu wake., Zelensky jana ametoa Ahsante kwa US wanavyoisaidia Ukraine kwa kila hali, ni vile hujishughulishi tu Putini ametawala masikio yako tuKukamatwa kwa shehena za siraha sio ishu, maana utajuaje waliziaquire kwa namna gan? Ndiyo maana unaona hata baadhi ya nchi zinadonate soviet machinery ambazo Russia pia anazitumia.
Ila kunapokuwepo na personnel moja kwa moja lazima kuwe na uchunguzi, kama katumwa na serikali yake au amekuja kibiashara (individual) au kupitia (security companies).
Hivyo lazima kujiridhisha ndio ufanye maamuzi.
Viva Putin
Mbona hao ni wanajeshi wa Ukraine walio uawa huko maliopol au hujui sare zao?
Hivi hapo anae jikaza ni yupi? Anaepigana kwa kujificha au anaepigana hadharani? USA na ubabe wake hajawahi kuipiga hata nchi masikini moja akiwa pekee yake, lazima aombe kolabo, hapa tu Urusi anapigana zaidi ya mataifa 10 tena yote yakiwa so powerful, UK being one of them.putin si nyuklia unayo shida ipo wai rusha moja liende usa la pili liende uk uone results uyu mzee ni muoga sema anajikaza tu
Pole sana homeboy .maisha magumu 😡hayaa yaan sijui tufanyaje 🤷🏾♂️ vipi tungie msituni tu we kama M23 au tufanye maandamano ya sio na kikomo au tujiunge na chadema tudai katiba mpya 🤣🤣🤣.asa kama hupendi vita unafanya nini hapa?