Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa sasa ukraine airforce imepoteza ndege zake asilimia 95.sasa kweli iyo su-25 au mig 29 ndo ikangushe su 35?.acha utani kaka
Mzee Ukraine bado anazo battery za S- 300 system kwa upande wa high altitude. Ukija low altitude anazo Man portable Aerial Defense system (MANPADs) kama Starstreak pamoja na Bayraktar drones. Hizi ndege za Urussi ziliangushwa ndani ya siku moja.
 
Aliyeweka picha hizo hana utalaam wa kutosha. Angalia picha zilivyokopiwa
 
Unajiridhisha mpaka lini Russia washamkama mpaka mwanajeshi raia wa Uingereza kavaa gwanda la Ukraine anaisaidia Ukraine bado nini tena? muda huu tunaongea mafunzo yanaendelea kwa majeshi ya Ukraine kuwatowa wevi waliovamia kule Donbas ni vile hujamjua Putin udhaifu wake., Zelensky jana ametoa Ahsante kwa US wanavyoisaidia Ukraine kwa kila hali, ni vile hujishughulishi tu Putini ametawala masikio yako tu
 
putin si nyuklia unayo shida ipo wai rusha moja liende usa la pili liende uk uone results uyu mzee ni muoga sema anajikaza tu
Hivi hapo anae jikaza ni yupi? Anaepigana kwa kujificha au anaepigana hadharani? USA na ubabe wake hajawahi kuipiga hata nchi masikini moja akiwa pekee yake, lazima aombe kolabo, hapa tu Urusi anapigana zaidi ya mataifa 10 tena yote yakiwa so powerful, UK being one of them.
 
asa kama hupendi vita unafanya nini hapa?
Pole sana homeboy .maisha magumu 😡hayaa yaan sijui tufanyaje 🤷🏾‍♂️ vipi tungie msituni tu we kama M23 au tufanye maandamano ya sio na kikomo au tujiunge na chadema tudai katiba mpya 🤣🤣🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…