LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kama hii vita ni ya URUSI na UKRAINE vikwazo vya NATO vinahusikaje?? Hii ni vita ya NATO + UKRAINE vs URUSI. Na RUSSIA ameshinda mapema, vikwazo kibao na mwanaume ameingia UKRAINE na ametembeza kichapo
 
Sasa kwa mtu ambaye yuko weak na anipigwa hadi kachakaa,hiki kiburi cha kuchagua wapi mazungumzo yafanyikie anakitoa wapi?
Tuongee ki-fact: Jana Zelensky alitangaza wameua wanajeshi wa Urusi 3600. Leo kasema wamefikia 4300. Yaani, 4300-3600=700

Taarifa anayotupatia ni kwamba ndani ya saa 24 ameua wanajeshi wa Urusi 700.
Kuanza kwa vita.
Imeanza alhamis mpaka leo Jumapili ni siku 4. Mpaka leo wanajeshi wa Urusi waliyokufa ni 4300. Tukadirie, tuondoe 300 kwenye 4300 tutapata 4000.

-Hivyo kwa mahesabu ya kawaida kwa kila siku 1 anaua wanajeshi wa Urusi 1000. Mwezi una siku 30. Tukadirie wamepigana miezi 3(30x3=90). Turudi kwenye mahesabu yetu:β€’

Ikiwa kwa siku 1 jeshi la Ukraine linaua wanajeshi wa Urusi 1000, kwa siku 90 itakuwa: 1000x90=90,000.
Kwa hiyo haya mahesabu ndugu yangu unakubaliana nayo! Kwa siku 1 wanajeshi 1000 wa Urusi wanauliwa?! Hata tukichukua hesabu aliyoitoa jana kuwa wamewauwa Warusi 3600. Kwa saa 24 kaua 700.

UK kapigana na Hitler miaka yote wamekufa 600,000 au 700,000 na hiyo vita ilikuwa kila kitu cha adui wako kinapigwa kuanzia barabara, nyumba, madaraja, hospitali, raia, wanajeshi wanauliwa n.k idadi iliyofikiwa ni ndiyo hiyo ya 600elf-700elf.

Ukraine raia hawauliwi, miundombinu haiharibiwi, majengo hayaharibiwi. Ni wanajeshi tu na zana za kijeshi halafu ndani ya siku 4 wamekufa 4300? Magari ya kusafirisha wanajeshi yanabeba wanajeshi wangapi? Hata 50 hawafiki. Ndege za kusafirisha nazo 200 na kitu au tukadirie 300.

Habari zipi tulizozisikia ndege za kusafirisha wanajeshi zimelipuliwa kwa wingi? Convoy kwa % kubwa ni magari na hayasafiri isipokuwa na ulinzi, utalipua mangapi mzee mpaka kwa siku uuwe 700? Hata vifaru kwani ndani kinahimili wanajeshi wangapi? Na kwa battle gani inayopiganwa mpaka kwa siku wauliwe 700?

Mahesabu yanayotolewa na Ukraine moja kwa moja ni ya uongo. Na sababu pekee inayotosha kuwa ni ya uongo ni kwamba: Kama kwa siku unakuwa na uwezo wa kusambaratisha jeshi la adui wanajeshi 700 mpaka 1000 kwa nini unaiomba dunia msaada?
 
Kwako wewe CHUKI isiwe kati ya JAPAN na USA ambao walitupiana NUKE??
 
Teyari imeshageuka uwanja wa damu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiki kitu hakihitaji ushabiki maandazi watu wanakufaa na Vita sio kitu Cha kushabikia tumeyaona Libya,Syria,Somalia nk ifike muda tuone utu ni muhimu kuliko ushabiki wa Pro-America+NATO na pro-Russia
 
Ajue hata wenzake nuke wanazo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Usiseme Ulaya, hata Russia nayo itaangamia. Mad war for Mad people.
 
Hayo mazungumzo hayatokua na tija kwa haraka lazima vikao viendelee next stage labda ndo itapatikana agreement mana kila mmoja ana temper atakuja na masharti kibao,ngumi ziendelee kwanza.
 
dogo kakaza jamaa anaandaa nuclear hahaaaa

Upinzan anaokutana nao kule umemtisha.. hakutalajia kuwa ngoma itakuwa ngumu namna ile. wapiga vinubi wake wameshaanza tupa bendera chini na option nyingine sasa ni kutumia nuclear.
sijui hana washauri wazuri wa kumshauri cha kuongea kulingana na wakati aliopo!! just imagine linaongea wazi wazi kuwa linasogeza kidole kwenye nuclear πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawezi aminika na hafai kuaminika hata chembe maana hata mwanzoni mwa hili vuguvugu alisema hana mpango wa kuivamia Ukraine wakati intelijensia ya USA ilikuwa inaonyesha ana mpango wa kufanya hivyo.
Ila wale walio vamia Iraq kwa kuwaaminisha watu kwamba Sadam Hussein ana biological weapons ndo wa kuwaamini?
 
Leo urussi walikua wanachukua mji wa pili kwa ukubwa wa khirviv Sasa ghala wakarusishwa nyuma ukiangalia huku Kuna vikwazo kama vyote anachofanya Putin ni scare tactics baada ya mambo kuwa magumu yeye alijua ataenda ndani ya siku mbili kazi imeshaisha nilisema mwanzan hakuna vita rahisi
 
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
 
Hapo ndo utakua mwisho wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…