Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuongee ki-fact: Jana Zelensky alitangaza wameua wanajeshi wa Urusi 3600. Leo kasema wamefikia 4300. Yaani, 4300-3600=700Sasa kwa mtu ambaye yuko weak na anipigwa hadi kachakaa,hiki kiburi cha kuchagua wapi mazungumzo yafanyikie anakitoa wapi?
Kwako wewe CHUKI isiwe kati ya JAPAN na USA ambao walitupiana NUKE??Na huo ndio Ukweli. Itakuwa chuki ya vizazi na vizazi. Putin amejijengea chuki kubwa sana kwa wazungu wenzake na pia amesababisha Russian walio nje kujihisi kuwa Isolated na kuonekana wa hovyo. Putin anakabiliwa na chuki nje ya mipaka ya nchi yake na inahamia kuchukiwa na wananchi wake. Hakika ANGUKO LA PUTIN LIKO KARIBU
Iite tu jina lolote ila ni vita ambavyo dunia yote inapata madhara inapotokea.Hakuna kitu kinaitwa World War ni European War. Hata hizo wanazosema sijui WWI na WWII ni akili za kikoloni tu.
Hamna kitu kama hcho thus why sasa anashuhudia failure ya Kufa mtuPutin havizii mtu anakwambia mapema ndio wanaume wanavyoofanya.
Teyari imeshageuka uwanja wa damuNi uhuru gani anao utaka Ukraine?
Yaan utishie usalama wa raia wangu kwa kigezo cha uhuru?
Ukaribishe adui yangu anaye ota kila siku niangamie alafu nikae kimia kisa una uhuru wa kujitawala?
Alafu Marekani anapata wapi uhalali wa kuikemea Russia ali ya kuwa ndio kinala wa kuingilia uhuru wa nchi nyingine?
Viongozi wa Ukraine kama wana akili wanatakiwa kufuata siasa zisizo fungamana na upande wowote kwa sababu taifa lao lipo kwenye eneo la kimkakati tofauti na hapo ipo siku Ukraine ita geuka bahari ya damu.
Mkuu hiki kitu hakihitaji ushabiki maandazi watu wanakufaa na Vita sio kitu Cha kushabikia tumeyaona Libya,Syria,Somalia nk ifike muda tuone utu ni muhimu kuliko ushabiki wa Pro-America+NATO na pro-Russiateh teh dingi kajivua nguo, dunia imeona kuwa ni debe tupu. sasa ameanza tishia nyuklia teh teh Jinga sana ilo lizee. hata ukilalingalia usoni tu unajua hakuna timamu pale.
US kashapoteza vita vingi ila wanakibali rudi nyumbani na kuruhusu maisha mapya yaendelee hawajawai tishia matumizi ya nyukilia .. sasa huyu mweu anaona aibu ya kupoteza na kumbuka kuwa ni kubwa Jinga sasa ameanza tishia nyuklia.. anamuambia mkuu wa naje. shi ajiandae kubinya batani.
Shame on him
Ajue hata wenzake nuke wanazoteh teh dingi kajivua nguo, dunia imeona kuwa ni debe tupu. sasa ameanza tishia nyuklia teh teh Jinga sana ilo lizee. hata ukilalingalia usoni tu unajua hakuna timamu pale.
US kashapoteza vita vingi ila wanakibali rudi nyumbani na kuruhusu maisha mapya yaendelee hawajawai tishia matumizi ya nyukilia .. sasa huyu mweu anaona aibu ya kupoteza na kumbuka kuwa ni kubwa Jinga sasa ameanza tishia nyuklia.. anamuambia mkuu wa naje. shi ajiandae kubinya batani.
Shame on him
Usiseme Ulaya, hata Russia nayo itaangamia. Mad war for Mad people.Tulia uone umuhimu wa kuheshimu makubaliano. Historia inatuambia vita ya kwanza na ya pili ya dunia chanzo chake ni kutumia ubabe kuminya maslahi ya ujerumani na kumuona kama fara sasa NATO Inarudia makosa Yale Yale ya kumuona Russia fara lakini ikumbukwe tu ikitokea vita Russia akalazimika kutumia hayo madude ulaya itaangamia yote.
Sawa tusubiri.Hamna kitu kama hcho thus why sasa anashuhudia failure ya Kufa mtu
Safi nipo tayari kwenda Rusia kufuta vumbi hayo mabomu ya nuke ili yasi misfireHapa ndio tulipofika na huyu ndio Puttin watu wanaecheka nae!
This man is a threat to the entire world.
Soma hii:
View attachment 2133155
View attachment 2133185
dogo kakaza jamaa anaandaa nuclear hahaaaa
Safi hivi vichwa navikubali sana
Ila wale walio vamia Iraq kwa kuwaaminisha watu kwamba Sadam Hussein ana biological weapons ndo wa kuwaamini?Hawezi aminika na hafai kuaminika hata chembe maana hata mwanzoni mwa hili vuguvugu alisema hana mpango wa kuivamia Ukraine wakati intelijensia ya USA ilikuwa inaonyesha ana mpango wa kufanya hivyo.
Leo urussi walikua wanachukua mji wa pili kwa ukubwa wa khirviv Sasa ghala wakarusishwa nyuma ukiangalia huku Kuna vikwazo kama vyote anachofanya Putin ni scare tactics baada ya mambo kuwa magumu yeye alijua ataenda ndani ya siku mbili kazi imeshaisha nilisema mwanzan hakuna vita rahisiWhat happened to "special operation?"
Hivi vitisho vya nyuklia vinatoa taswira kuwa Urusi inashindwa kufanikisha malengo yake nchini Ukraine. Upinzani unaonekana kuwa mkubwa sana kutoka kwa Ukraine.
Tusubiri tuone kitakachozungumzwa katika hayo mazungumzo hapo mpakani.
Hahahahaaaaa....! Hii ndo kazi tunayoiweza WatanzaniaKwani Mimi nimezungumza Nini na wewe unazungumzia Nini? Mazungumzo yatafanyika kwenye mpaka na Belarus lakini upande wa Ukraine. Mbona Mimi na wewe Ni team Russia jamaa au husomi majibu yangu.
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.Upinzan anaokutana nao kule umemtisha.. hakutalajia kuwa ngoma itakuwa ngumu namna ile. wapiga vinubi wake wameshaanza tupa bendera chini na option nyingine sasa ni kutumia nuclear.
sijui hana washauri wazuri wa kumshauri cha kuongea kulingana na wakati aliopo!! just imagine linaongea wazi wazi kuwa linasogeza kidole kwenye nuclear 😂😂
Russia yupo Ukraine kashachukua majimbo mawili, sasa anapambana Kiev unasema kapigwa? Mnamdanganya nani?Yes.. Kama vile Russia alivyopigwa na kitu kizito.
So na yeye ajifunze kuheshimu wengine na kutokuwa muonezi. Sawa mwelevu!
Hapo ndo utakua mwisho wake.Upinzan anaokutana nao kule umemtisha.. hakutalajia kuwa ngoma itakuwa ngumu namna ile. wapiga vinubi wake wameshaanza tupa bendera chini na option nyingine sasa ni kutumia nuclear.
sijui hana washauri wazuri wa kumshauri cha kuongea kulingana na wakati aliopo!! just imagine linaongea wazi wazi kuwa linasogeza kidole kwenye nuclear 😂😂