Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umetisha sana mkuu
 
Invisible drones zinalipua hifadhi ya mafuta na miundo mbinu ya jeshi Urusi. Ulaya hawana hofu wana escalate vita at leisure hadi Vladimir akome.
Asa kwanini wasije wazi wazi au wanashindwa nini kuipiga russia mabomu live .......

kwanini wanajificha ficha na ukizingatia wao ndo wanaojiita viranja wa dunia ....mbona nchi zingine wakitaka wana vamia bila hata kujali boundary ya nchi husika
Huo ni uwoga unawasumbua walishazoea kuharibu nchi za wengine kenge wale
 
Copies: Long-range high-precision weapons destroyed 6 traction substations near the railway stations of Krasnoye, Zdolbunov, Zhmerinka, Berdychiv, Kovel and Korosten, through which foreign weapons and military equipment of the Ukrainian forces in Donbas are supplied.
 
Russia is claiming that within days all remaining railways and airports connecting West Ukraine to the East will be destroyed by missile strikes. This would effectively cut off further NATO shipments of hardware and ammunition etc to e.g. Donbass.

Afu tuone watapitishia wapi takataka zao.
 
Sijui unapata habari zako wapi? Nchi za EU wanaunga mkono Ukraine kwa hiari yao kabisa wakiona Urusi ya Putin ni hatari na tishio kwao. Hasa zile nchi ndogo zaidi kwenye Mashariki ya EU wanaelewa tishio (hali ya pekee ni Hungaria inayojaribu kutosimama upande ). Jumapili serikali ya Slovenia iliyoshiriki na Hungaria iliondolewa katika uchaguzi. Finland na Uswidi wanaelekea kwa hiari yao kujiunga na NATO, baada ya miaka mingi ya kutojiunga.
Ujerumani ilikataa miaka yote kuitikia madai ya Marekani (tangu Bush, Obama, Trump) kuongeza jeshi lake na kufunga bomba la gesi kutoka Urusi - imegeuka kabisa; ikaamua kuwekeza Euro bilioni 100 kwenye jeshi lake; ilibadilisha sheria yake na kutuma silaha Ukraine (Panzerfaust zake zilisaidia kuchoma vifaru vingi vya Urusi).
Wanajua kwamba vita inawaumiza, wananchi wao wanajua hata hivyo katika nchi za EU ni idadi kubwa ya wananchi wanaotaka serikali zao zisaidie Ukraine kwa kila namna.
Wengi wanaona aibu kwamba miaka 8 iliyopita wakati wa uvamizi wa kwanza wa Urusi katika Ukraine walichukua hatua dhaifu tu.
Wanamwona Putin kama mhuni na mwuaji anayeleta uharibifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…