Cardless ilisemwa vikwazo vingekuwepo tu hawakuwa na namna na wamevizoea na watadeal navyo baada ya vita.Kama hii vita ni ya URUSI na UKRAINE vikwazo vya NATO vinahusikaje?? Hii ni vita ya NATO + UKRAINE vs URUSI. Na RUSSIA ameshinda mapema, vikwazo kibao na mwanaume ameingia UKRAINE na ametembeza kichapo
Tujijengee utaratibu wa kusoma mada kamili na sii kurasa ya yaliyomo pekee.Russia inaonekaneka maji shingoni huko....muda huu atangaza vikosi maalum vinavyoshughulika na nuke kukaa tayar....hii ina maana gani?
Inaonyesha wazi Russia pamoja na jeshi kubwa na lenye nguvu kawashindwa ukraine 1 in 1(ngumi) sasa kaamua au kaweka kusudio la kukimbilia mawe(nuke)[emoji1][emoji1]
View attachment 2133107
jamaa yako amekata pumzi nini hii 😂😂😂😂Here we goooooView attachment 2133076
Ndiyo Russia ajue Western ndo wanarun dunia hao ndo wanaume wa dunia inapokuja issue za kiuchumi. Vikwazo vinamfanya Russia now analialia si afanye biashara na china, north korea, iran anawalilia western wa nini? nchi interms of GDP hata top ten haipo inapitwa hata na india halaf kiongozi wake kelele na mbwemwe nyiiingi. Na benki 2 kubwa za china zishapunguza biashara na china maana wanaihofia US. Boss hanuniwi.Kama hii vita ni ya URUSI na UKRAINE vikwazo vya NATO vinahusikaje?? Hii ni vita ya NATO + UKRAINE vs URUSI. Na RUSSIA ameshinda mapema, vikwazo kibao na mwanaume ameingia UKRAINE na ametembeza kichapo
Mji wa pili kwa ukubwa ulichukuliwa then umerudi mikononi mwa Ukraine. Sasa umerudi vipi Kama sio mrussia kupigwa?Russia yupo Ukraine kashachukua majimbo mawili, sasa anapambana Kiev unasema kapigwa? Mnamdanganya nani?
Hakuna uwezekano wa kutumia nukes..dogo kakaza jamaa anaandaa nuclear hahaaaa
Upande wa Ukraine? Ndio utopolo gani umeandika hapa?Kwani Mimi nimezungumza Nini na wewe unazungumzia Nini? Mazungumzo yatafanyika kwenye mpaka na Belarus lakini upande wa Ukraine.
Put-in hana tofauti na ndugaiila jamaa wamuevaluate afya yake ya akili...................nyie washabiki wake mnaona yupo kawaida?
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
Unamwamini Mchina katika hili? You must be joking,huyu huyu mchina ambaye soko lake kubwa ni USA kuliko Russia,Mkuu hebu tuache basi kidogo 😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] CHINA nae naona anajisogeza RUSIA
Na huko Khakhiv kala kichapo hatari,Mji upo under Ukraine controlUpinzan anaokutana nao kule umemtisha.. hakutalajia kuwa ngoma itakuwa ngumu namna ile. wapiga vinubi wake wameshaanza tupa bendera chini na option nyingine sasa ni kutumia nuclear.
sijui hana washauri wazuri wa kumshauri cha kuongea kulingana na wakati aliopo!! just imagine linaongea wazi wazi kuwa linasogeza kidole kwenye nuclear [emoji23][emoji23]
Putin alivyotangaza kuingia Ukraine maazimio aliyoyataja ni nini? Au Operation hiyo ilikuwa inahusu nini?Putin ni mwoga, sasa kwani yeye peke yake ndiye ana nuclear? Alifanya hesabu za kitoto sana kuwavamia Ukraine 🇺🇦. Akirusha hata kombora moja la nuclear atabondwa na inaweza ikawa ndio mwisho wa "balance of power".
Bado una ushabiki maandazi vita ipo katika ardhi ya ukrein hivyo muathirika mkubwa ni Ukrein sio Russia mbona USA +NATO na ubabe wao wote wameshindwa hata kutuma Askari hata mmoja kumsaidia ukrein hivi vitu bila objective ni ngumu kuona hata ukweli ulio wazini kweli, hata mimi siungi mkono vita, hapa ninacheka vile baunsa kakalishwa na kimbau mbau.
Putin ni warmonger wakati umemvua nguo yeye na jeshi lake wamapata aibu kuu zile porojo za kutajiwa majina ya silaha anazomiliki zitapungua hapa Jf. [emoji4][emoji4]
Leo ni siku ya 4 hakuna Mji Mkubwa wowore wa Ukraine uliotekwa na Russia.Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
Kwahiyo ndo wanakula wiki nzima..🤣
Ona Sasa unasifia yaliyo tokea Libya as if Kama ilikuwa jambo nzuri ok ebu tuambia ipi Libya iliyokuwa Bora hii ya USA na NATO au ile ya marehemuguy, nato Kashinda kwenye hii vita bila hata kurusha risasi moja.
walichofanya nchi za Nato ni kutoa msaada kidogo tu wa silaha kwa Ukraine na kumwekea SANCTIONS za kutosha Urusi.
na SANCTIONS hazijaanza kunga'ta ipasavyo tumeona Kashaanza tishia Nuclear.
dingi alikurupuka na sasa kaumbuka kuwa ni Chai Jaba tu.
na bado sanctions zikianza ng'ata panapo Uma ya Libya yatajirudia ndani ya Urusi.
nipuuze ama ukubali komenti yangu ikumbuke wakati wa kutimia hii prophecy.
Unaambiwa kipigo alichokipata huko Khakiv ndio kimemfanya asogeze briefcase ya Nuclear mapajani mwake.ni kweli, hata mimi siungi mkono vita, hapa ninacheka vile baunsa kakalishwa na kimbau mbau.
Putin ni warmonger wakati umemvua nguo yeye na jeshi lake wamapata aibu kuu zile porojo za kutajiwa majina ya silaha anazomiliki zitapungua hapa Jf. [emoji4][emoji4]
ni kweli but huyu mtu ana behave kiajabu, watu wa kremlin huko walijua ule mkusanyiko wa majeshi mpkn ni mikwara tu na vitisho ila jamaa akaamuru wavamie kila mtu bado haamini huko sasa wakati wanaendelea huku jamaa anawambia waandae nukes jamaa sasa wanahisi anything can happenHakuna uwezekano wa kutumia nukes..
Those are for deterrent purposes only