LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kama hii vita ni ya URUSI na UKRAINE vikwazo vya NATO vinahusikaje?? Hii ni vita ya NATO + UKRAINE vs URUSI. Na RUSSIA ameshinda mapema, vikwazo kibao na mwanaume ameingia UKRAINE na ametembeza kichapo
Cardless ilisemwa vikwazo vingekuwepo tu hawakuwa na namna na wamevizoea na watadeal navyo baada ya vita.
 
Russia inaonekaneka maji shingoni huko....muda huu atangaza vikosi maalum vinavyoshughulika na nuke kukaa tayar....hii ina maana gani?
Inaonyesha wazi Russia pamoja na jeshi kubwa na lenye nguvu kawashindwa ukraine 1 in 1(ngumi) sasa kaamua au kaweka kusudio la kukimbilia mawe(nuke)[emoji1][emoji1]
View attachment 2133107
Tujijengee utaratibu wa kusoma mada kamili na sii kurasa ya yaliyomo pekee.

Hiyo taarifa haijaitoa kwa mlengo wa vita yake na Ukraine. Bali na NATO.
 
Kama hii vita ni ya URUSI na UKRAINE vikwazo vya NATO vinahusikaje?? Hii ni vita ya NATO + UKRAINE vs URUSI. Na RUSSIA ameshinda mapema, vikwazo kibao na mwanaume ameingia UKRAINE na ametembeza kichapo
Ndiyo Russia ajue Western ndo wanarun dunia hao ndo wanaume wa dunia inapokuja issue za kiuchumi. Vikwazo vinamfanya Russia now analialia si afanye biashara na china, north korea, iran anawalilia western wa nini? nchi interms of GDP hata top ten haipo inapitwa hata na india halaf kiongozi wake kelele na mbwemwe nyiiingi. Na benki 2 kubwa za china zishapunguza biashara na china maana wanaihofia US. Boss hanuniwi.
 
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.

guy, nato Kashinda kwenye hii vita bila hata kurusha risasi moja.
walichofanya nchi za Nato ni kutoa msaada kidogo tu wa silaha kwa Ukraine na kumwekea SANCTIONS za kutosha Urusi.
na SANCTIONS hazijaanza kunga'ta ipasavyo tumeona Kashaanza tishia Nuclear.
dingi alikurupuka na sasa kaumbuka kuwa ni Chai Jaba tu.
na bado sanctions zikianza ng'ata panapo Uma ya Libya yatajirudia ndani ya Urusi.

nipuuze ama ukubali komenti yangu ikumbuke wakati wa kutimia hii prophecy.
 
Upinzan anaokutana nao kule umemtisha.. hakutalajia kuwa ngoma itakuwa ngumu namna ile. wapiga vinubi wake wameshaanza tupa bendera chini na option nyingine sasa ni kutumia nuclear.
sijui hana washauri wazuri wa kumshauri cha kuongea kulingana na wakati aliopo!! just imagine linaongea wazi wazi kuwa linasogeza kidole kwenye nuclear [emoji23][emoji23]
Na huko Khakhiv kala kichapo hatari,Mji upo under Ukraine control
 
china alipoabstain azimio la marekani kumlaani urusi kwe baraza la usalama la umojan wa mataifa imemstua sn putin maana yeye alitegemea jamaa aseme NO km yy but china akajizuia kupiga kura , kiutu uzima urusi akaelewa hii kitu haiko poa, kura 15, ya NO ni moja tu ya russia wakati china na india wamejizuia waliobaki ni yes
 
Putin ni mwoga, sasa kwani yeye peke yake ndiye ana nuclear? Alifanya hesabu za kitoto sana kuwavamia Ukraine 🇺🇦. Akirusha hata kombora moja la nuclear atabondwa na inaweza ikawa ndio mwisho wa "balance of power".
Putin alivyotangaza kuingia Ukraine maazimio aliyoyataja ni nini? Au Operation hiyo ilikuwa inahusu nini?

Naomba unijibu tafadhali!

Kisha ndiyo tuje kwenye malengo yamefanikiwa au hayajafanikiwa? Na hapa naomba unijibu tafadhali.
 
ni kweli, hata mimi siungi mkono vita, hapa ninacheka vile baunsa kakalishwa na kimbau mbau.
Putin ni warmonger wakati umemvua nguo yeye na jeshi lake wamapata aibu kuu zile porojo za kutajiwa majina ya silaha anazomiliki zitapungua hapa Jf. [emoji4][emoji4]
Bado una ushabiki maandazi vita ipo katika ardhi ya ukrein hivyo muathirika mkubwa ni Ukrein sio Russia mbona USA +NATO na ubabe wao wote wameshindwa hata kutuma Askari hata mmoja kumsaidia ukrein hivi vitu bila objective ni ngumu kuona hata ukweli ulio wazi
 
guy, nato Kashinda kwenye hii vita bila hata kurusha risasi moja.
walichofanya nchi za Nato ni kutoa msaada kidogo tu wa silaha kwa Ukraine na kumwekea SANCTIONS za kutosha Urusi.
na SANCTIONS hazijaanza kunga'ta ipasavyo tumeona Kashaanza tishia Nuclear.
dingi alikurupuka na sasa kaumbuka kuwa ni Chai Jaba tu.
na bado sanctions zikianza ng'ata panapo Uma ya Libya yatajirudia ndani ya Urusi.

nipuuze ama ukubali komenti yangu ikumbuke wakati wa kutimia hii prophecy.
Ona Sasa unasifia yaliyo tokea Libya as if Kama ilikuwa jambo nzuri ok ebu tuambia ipi Libya iliyokuwa Bora hii ya USA na NATO au ile ya marehemu
 
ni kweli, hata mimi siungi mkono vita, hapa ninacheka vile baunsa kakalishwa na kimbau mbau.
Putin ni warmonger wakati umemvua nguo yeye na jeshi lake wamapata aibu kuu zile porojo za kutajiwa majina ya silaha anazomiliki zitapungua hapa Jf. [emoji4][emoji4]
Unaambiwa kipigo alichokipata huko Khakiv ndio kimemfanya asogeze briefcase ya Nuclear mapajani mwake.
 
Hakuna uwezekano wa kutumia nukes..
Those are for deterrent purposes only
ni kweli but huyu mtu ana behave kiajabu, watu wa kremlin huko walijua ule mkusanyiko wa majeshi mpkn ni mikwara tu na vitisho ila jamaa akaamuru wavamie kila mtu bado haamini huko sasa wakati wanaendelea huku jamaa anawambia waandae nukes jamaa sasa wanahisi anything can happen
 
Vita hii urusi alikuwa anapigana na mamluki wa NATO nasio ukraine pekee,baada yakuona EU wanapeleka vifaa na silaha ukraine ameona wanamprovoke waziwazi akaona afanye kama alivyoahidi mwanzo wakati anatoa onyo kwa NATO, raisi waukraine kila move aliyokuwa anaifanya kuanzia kugomea negotiations amidst war yalikuwa ni maagizo ya NATO,baada ya putin kutaka kutumia silaha za nuclear naona sasa NATO ndio wamesurrender kwakumambia rais waukraine akubali negotiation....maoni yangu!
 
Back
Top Bottom