LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Leo Russia analia eti U.S anawasaidia Ukraine kwa sophisticated drones za majini ambazo zimeleta maafa kwa Wanamaji wa Russia.
 
Naandika kwa herufi kubwa. KIUHALISIA PUTIN AMESHINDWA NA NI AIBU KUBWA SANA. RUSSIA SIO SUPER POWER KIHIIIIVYO KAMA ILIVYOAMINIKA. ILIKUWA TU OVERRATED. Hii vita imeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Russia.

Nimeshangaa sana kuona Russia hana sophisticated satellites kwa ajili ya Ku track vikundi vya adui zake, yaani amekuwa anatafuta adui kama vita vyetu vya kiAfirica vita vya kuviziana atakayekuwahi. Nimeshangaa eti amelalamika kuwa huenda USA anatumia Drone kuelekeza adui mipango ya vikosi vya Russia. Na kama ni kweli basi hiyo ni credit kubwa kwa USA
 
Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.
Bahati mbaya sana utaishia kuomba tu,huyo Putin wako unaetaka afanye unayoyataka na yeye pia anapenda kuishi akiwa kama Rais wa Russia,so wewe Mrussia wa Kimazinchana,kaa na utulie,angalia Wanaume wanavyofanya maamuzi kwa kuangalia future zao pia.
 
Leo ni siku ya 4 hakuna Mji Mkubwa wowore wa Ukraine uliotekwa na Russia.
Unataka Russia aanze kuua raia!? Tayari rais ya Ukraine ameanza kufuata maelekezo ya Russia. Sasa hivi lazima aende Belarus. Na sharti alilopewa namba moja ni askari wake wajisalimishe.

Hakuna mjadala hapo. Kama hataki basi Russia atatoa mkong'oto wa kweli.
 
Kaishiwa pumzi mkuu maana kaomba mazungumzo lakini Ukraine wamesema hawataki ama wao Ukraine ndo wapange sehemu ya mazungumzo na sio Urusi apange.

Jamaa kakutana na upinzani mkali sasa anatapatapa mara oohh kamandi ya nyuklia ikae tayari anadhani nyuklia anazo peke yake.
 
Siku zote usiamini propaganda za Mafashisti,wana uongo na kujimwambifai kwingi kuliko uhalisia. Putin, Kim na Mwendazake Jiwe hawana tofauti.
 
Yes yaan NATO walipanga hivyo vikwazo. Usiku huu naomba URUSI ashushe kichapo bila kujali jengo lolote yaan ashushe kipigo aache huruma kwa Raia wakati wamepewa Silaha.
Warusi Ndio wanaonewa huruma mkuu, katika nchi rahisi kupigwa ni Urusi. Nchi kubwa Sana. Inaweza kuzungukwa sekunde kutokea Scandinavia na Asia.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mji Mkuu upi huo ambapo Russia yupo? Embu nitajie Mji Mkubwa wowote wa Ukraine ulio under Russia controls
Russia lengo lake ni kumfanya Ukraine asiingie NATO. Na wengine walioingia kinyume na makubaliano, siku zao zinahesabika.

NATO sasa hivi hawama pesa za kujiendesha.
 
RT ni propaganda machinery ya the Kremlin (Russia). Kumbuka kwamba, Urusi iko vitani!

Kama una hofu ya kutopata habari sahihi, ni heri utafute chombo kingine cha habari ambacho hakiko affiliated na upande wowote. Labda kama umekwisha amua kujichagulia upande katika mgogoro huu!
 
Naheshimu Mawazo, rais wa Ukraine hawajawahi kataa negotiation, ila amekataa, Urusi baada ya kupigwa vibya Ndio amekubali negotiation, Urusi wanataka negotiation ndani Ya Beralus, adui wa Ukraine, Jamaa amechomoa. Kwa hiyo ukisema Zelesnky alikataa negotiation unamkosea haki
 
Mzee sote tunaona. Hakuna upinzani wowote. Na lengo la Putin limetimia. Na amewaonya hao NATO atakayesogeza pua ataanza naye.
Wanahojiwa kutoka uwanja wa vita wanaeleza hali ilivyo ngumu, wewe uko Tz umeshiba makande unasema Urusi hakutani na upinzani wowote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha kweli.

Aliyeomba mazungumzo ni Putin wala sio Ukraine.

Putin alipendekeza mazungumzo yafanyikie mji mkuu wa Belarus Minsk ila Ukraine wakakataa ikabidi yafanyikie mpaka wa Ukraine na Belarus upande wa Ukraine.

Hapo mshindi nani?
 
Teh teh teh aibu naona Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…