Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Leo Russia analia eti U.S anawasaidia Ukraine kwa sophisticated drones za majini ambazo zimeleta maafa kwa Wanamaji wa Russia.Teh teh mi naombea apoteze kabisa Jf itulie.
kuna memba Jf wamekariri link za silaha za Urusi hadi kero.
ukimbishia kidogo atakuletea link kibao za silaha za Urusi na kukutajia majina mengine majina diyo unayasikia toka tuzaliwe.
utasikia Urusi ana milki highpersonic sijui nini vile ilimradi akuvuge akili ili ashinde Argument [emoji23][emoji23][emoji23]