VICHWA MAJI HUMU NI ASILIMIA 99%
Unashindwa kujua kuwa Russia Hatakiwi kutumia Full force, Wanajeshi haswa kwa sababu wakati wa vita unaweza kupata strong resistance kutoka kwa support anayopewa adui yako.
Pili kumbuka utazalisha maadui wapya, Nyumbani unakuachaje? Pia kwenye vita kuna vitu tunaita chambo, lazima utangulize watu wakusogeza Gurudumu kabla ya kutuma Strong one.
Hakupanga kuichakaza Ukraine kwa roho mbaya, Angeua watu wasio na hatia, Watu kutoka nchi mbalimbali wapo bado kule.
So Ukraine anatumia hiyo advantage ku promote kwamba amempiga M Russia in fact m Russia ni kama hajapigana tu
Wengi mliojaa humu kwa mfano mdogo tu, Mkienda sehemu za starehe mnatumia mpaka reserve kuwafurahisha marafiki na watu utakaokua nao siku hiyo, ukisahau kwamba kesho Familia itahitaji hizo pesa iweze kusonga.
The same Russia hajatumia Nguvu ya Vita Ya First Degree wakati Ukraine katumia First Degree na kachanganya na citizens na msaada juu.
#BUNCH OF BOZOS