Niwie radhi kwa kuchanganya mambo mkuu🤗
Hapana jomba sio mie, kipindi cha nyuma nilikuwa napenda tu kua msomaji huku JF, hadi march mwaka huu ndipo nilipoamua kujiunga Rasm.
Huyo Malcom nilikuwa nasoma post zake tu enzi hizo,
Naweza sema mie nae nipo kama wewe miongoni mwa wanaotamani kusikia neno kutoka kwake vile vile na GT wengineo tuliowazoea.
usisahau Kama naye ana Nchi washirikaHii vita urusi imenaswa, nina hofu Sana inaweza kuishiwa pumzi kwani inapigana na wengi
Law Makers wanachungulia Porn wakati wa kikao cha maamuzi... [emoji23] Hayo maamuzi yanayotolewa yatakuwa na sura gani [emoji847]View attachment 2206845Ukiangalia matendo ya hawa watu yanafanana kabisa na ya wafuasi wao... Nimemkumbuka yule mpiga nye** mchambuzi konki wa kivita...
umeamua kuwa chawa wa mashosti wa NATO nako😅😅😅Ni kichapo cha mbwa Koko tuu wanapewa Russia 👇
View attachment 2206879
View attachment 2206880
View attachment 2206881
View attachment 2206882
Acha ujinga,mwanajeshi kufa vitani sio ajabu. Alafu sio vizuri kupost watu waliokufa,kwa mtu mwenye akili,hawezi kufanya unachofanyaNi kuchinja tuu hadi akili zikae sawa👇
View attachment 2206873
View attachment 2206874
View attachment 2206875
View attachment 2206876
Na bado urusi imeteka Kherson, Mariupol,etcNi kichapo cha mbwa Koko tuu wanapewa Russia 👇
View attachment 2206879
View attachment 2206880
View attachment 2206881
View attachment 2206882
Teh u right Mr...
Na hata ukitizama, Pro Russia walio wengi kwenye huu uzi wanaifaham Russia vizuri kwa kiasi kikubwa. Na wale wanaoiponda hawaijui Russia kwa mapana...
Na kiasi wanachokijua kuhusu Russia ni kile Western wanachokitangaza ambacho kawaida kiko mlengwa tofauti na uhalisia ulivyo, sawa na kuuliza habari za Simba kwa shabiki wa Yanga.
Ahsante MKUU mie sijui saana ila ntakueleza zaidi ninavyohisi mimi naninavyoona pia kwauchache nitagusia wanayoyataka KREMLIN
Moja:-naamini RUSSIA uwezo wakupiga KIEV anao ila sijajua hasa kwanini anasitasita nakuingia kigeugeu ama nayeye kuna jambo kaliona linaweza kutokea endapo hii OP itadumu kwamuda mrefu nandio analolitaka (hii namba moja maoni yangu naamini mgogoro huu ukidumu kwamuda mrefu kiasi cha mwaka+ kuna migogoro inaenda kuibuka kuanzia EU na NATO maana mpaka sasa imetokea wengine wanataka walipe kwa RUBO wengine hawataki wengine wanataka wapeleke silaha wengine hawataki imagine kama mgogoro utadumu kuna mataifa ya NATO na EU yatadorora KIUCHUMI pia kupitia huu mgogoro RUSSIA anapata faida kwenye mauzo ya NISHATI maana yamepanda thamani kupitia huu mgogoro)
Mbili:-Kiongozi mmoja wa RUSSIA alihojiwa na video nnayo ila sitaweza kuieka samahani youtube unaweza ukaipata alisema wanaweza kufanya kama unavyotaka ila hawataki sababu wanataka wasaini makubaliano na si kumuua KOMEDIAN ingawa akasema ikibidi wanamtwanga jamaa wanapiga IKULU nk ikumbukwe jamaa walifika mpaka KIEV pia ikumbukwe jamaa juzi wakati katibu mkuu wa UN yupo huko jamaa walipiga KIEV niwazi kwamba uwezo wanao
Tatu:-RUSSIA na UKRAINE hawa yote tisa ila kumi jamaa hawa wanaudugu na kufanya hayo unayoyataka italeta taharuki kubwa je baaada ya kufanya hvyo ataweza kuitawala UKRAINE (haya mawazo yangu)
Nne:-MKUU utanisamehe nishaona uvivu kuandika ila hapa nahisi kuna mtu anatafutwa UKRAINE kawa kama chambo tuuu (haya mawazo yangu)
nk....nk...nk........
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo mazuri sana CHIEF. Nimekuelewa. Binafsi nasuburia mwisho wa hii vita utakuwaje na nini kitatokea.
Swali:- Kwa uwezo wa kijeshi wa Urusi kama ulivyoainisha ni kwanini Urusi hashambulii Kyiv yote, anapiga makombora pembeni pembeni?
Kwanini Urusi asipige Kyiv yote ambayo inatumika kama kiini cha Ukraine kiongozi, kujipanga kivita, kupokea misaada ya silaha.
Kikwazo kiko wapi kwa Urusi kutopiga Kyiv yote, mabomu mazito mazito na kuisambaratisha, Ukraine ikaanguka?
Lengo la OP ni nini kama vita inakuwa haishi na uwezo wa Urusi kuimaliza mapema anao inaendelea kumcost wanajeshi wake/vifo na silaha?
Vita hutokea baada ya kufeli kwa mazungumzo ya amani, ili kumshawishi adui yako akubaliane na matakwa yako ndiyo unaanza kumpiga,lengo la Russia kwenye Vita hii liko wazi kabisa na Wala hana nia ya kuisambaratisha UKRAINE.
Na bado ntazipost nyingi kadiri navyozipata.Acha ujinga,mwanajeshi kufa vitani sio ajabu. Alafu sio vizuri kupost watu waliokufa,kwa mtu mwenye akili,hawezi kufanya unachofanya
Katika yote uliyozungumza kuna pahala kama unajadili uwezo wa Urusi kuipiga Kiyv.Hili ni jambo rahisi sana kwa teknolojia za sasa.Warusi ndio wako juu sana kwa teknolojia hizi na wababe wenzao.Na Kiyv ni karibu sana na bahari ziliko meli za Urusi au hata kutokea popote ndani ya Urusi.Wasi wasi unakuja kwa hilo kombora kudakwa angani na adui yake kam ana uwezo huo.Haya makombora yote ya kisasa ni laser guided.Hayarushwi kama vile wanavyorusha wapalestina. Hili la mrusi likitoka linakuwa na sura ya jengo linapokwenda kupiga na geolocation yake kwa uhakika kabisa. Haliruki kama vile unavyorusha manati.Linatembea angani kwa uongozi wa kielectronik karibu kama ndege zinavyoruka. Kwa maana hizo sababu nyengine ulizozitaja ndio zenye uzito juu ya Urusi kutokuipiga Kiyv mfululizo na kuipiga ikulu ya Zelensky.Hayo ni makombora ya kawaida.Ikija ICBM ndio kabisa mji wowote duniani kutoka Urusi linatua na kwa muda mfupi.Ahsante MKUU mie sijui saana ila ntakueleza zaidi ninavyohisi mimi naninavyoona pia kwauchache nitagusia wanayoyataka KREMLIN
Moja:-naamini RUSSIA uwezo wakupiga KIEV anao ila sijajua hasa kwanini anasitasita nakuingia kigeugeu ama nayeye kuna jambo kaliona linaweza kutokea endapo hii OP itadumu kwamuda mrefu nandio analolitaka (hii namba moja maoni yangu naamini mgogoro huu ukidumu kwamuda mrefu kiasi cha mwaka+ kuna migogoro inaenda kuibuka kuanzia EU na NATO maana mpaka sasa imetokea wengine wanataka walipe kwa RUBO wengine hawataki wengine wanataka wapeleke silaha wengine hawataki imagine kama mgogoro utadumu kuna mataifa ya NATO na EU yatadorora KIUCHUMI pia kupitia huu mgogoro RUSSIA anapata faida kwenye mauzo ya NISHATI maana yamepanda thamani kupitia huu mgogoro)
Mbili:-Kiongozi mmoja wa RUSSIA alihojiwa na video nnayo ila sitaweza kuieka samahani youtube unaweza ukaipata alisema wanaweza kufanya kama unavyotaka ila hawataki sababu wanataka wasaini makubaliano na si kumuua KOMEDIAN ingawa akasema ikibidi wanamtwanga jamaa wanapiga IKULU nk ikumbukwe jamaa walifika mpaka KIEV pia ikumbukwe jamaa juzi wakati katibu mkuu wa UN yupo huko jamaa walipiga KIEV niwazi kwamba uwezo wanao
Tatu:-RUSSIA na UKRAINE hawa yote tisa ila kumi jamaa hawa wanaudugu na kufanya hayo unayoyataka italeta taharuki kubwa je baaada ya kufanya hvyo ataweza kuitawala UKRAINE (haya mawazo yangu)
Nne:-MKUU utanisamehe nishaona uvivu kuandika ila hapa nahisi kuna mtu anatafutwa UKRAINE kawa kama chambo tuuu (haya mawazo yangu)
nk....nk...nk........
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio uzezeta huo na kuchelewa.Yaani vita viko karibu ya kwisha wewe ndio kwanza unaingia darasani kujifunza kutumia silaha ambazo pia hazijafika mjini.Kama zikipotea njiani si utakuwa umepoteza muda bure.The US is teaching the Ukrainian military how to use Western weapons against Russia, writes Das Erste.
At the moment, two groups of Ukrainian military personnel, consisting of about 50 people, are undergoing training for the proper handling of American artillery pieces, the newspaper notes.
According to the US Department of Defense, the training is being conducted by 160 Florida National Guard troops who were already in Ukraine for training purposes prior to the outbreak of hostilities.
View attachment 2206551
Maelezo mazuri sana CHIEF. Nimekuelewa. Binafsi nasuburia mwisho wa hii vita utakuwaje na nini kitatokea.
Swali:- Kwa uwezo wa kijeshi wa Urusi kama ulivyoainisha ni kwanini Urusi hashambulii Kyiv yote, anapiga makombora pembeni pembeni?
Kwanini Urusi asipige Kyiv yote ambayo inatumika kama kiini cha Ukraine kiongozi, kujipanga kivita, kupokea misaada ya silaha.
Kikwazo kiko wapi kwa Urusi kutopiga Kyiv yote, mabomu mazito mazito na kuisambaratisha, Ukraine ikaanguka?
Lengo la OP ni nini kama vita inakuwa haishi na uwezo wa Urusi kuimaliza mapema anao inaendelea kumcost wanajeshi wake/vifo na silaha?
Hao wengi ni maboya tu.Tangu lini simba akaogopa kundi la fisi.Yeye peke yake akitoa ukelele wote wanakimbizana.Hii vita urusi imenaswa, nina hofu Sana inaweza kuishiwa pumzi kwani inapigana na wengi