Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Can't you sum up !!?
 
Daah Marekani na NATO lazima wajambe jambe hapa Russia sio watu wa mchezo mchezo
 
Safi sana hii.
 
Dah! Mzee umefunguka Hadi nimepata mzuka.
Tusubiri Mei 9 victory day parade.
 
Nimeifata hiyo link nimekutana na hii comment ya mdau mmoja hivii... Nimecheka tu View attachment 2207810Eti now I know why alien land only in US [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiwa na maana Russia hakuna mdudu wa kutua kwenye anga hiyo.
Ila Warusi washenzi sana aisee,waliwahi kuKipiga chombo Cha alien na wakakikamata.

Pia watu wengi hawajui ujasusi wa wa Urusi.
Nilisoma mahali KGB na majasusi wengine wa Urusi walifuatilia taarifa na nyendo za aliens na wakajua ainabalimbali za aliens.
Kuna Alliens wakorofi Adui wa binadamu kuna Alliens wapole yaani rafiki wa binadamu.

Watu wengi wanajua Kuna Area 51 lakini watu wengi sana hawajui kuwa Kuna eneo la Urusi la Siri Zaid kuliko Area 51, huko tafiti zote za silaha,mbinu za jeshi na ujasusi na mengineyo zinafanyika.
Eneo linaitwa "Kapustin Yar".

Pia watu wengi sana hawajui Urusi ndio mwanzilishi wa kwenda anga za mbali na ndio nchi ya kwanza duniani kupeleka binadamu anga za mabali.

Watu wengi sana hawajui kuwa Urusi ndio alieunda sehemu muhimu sana ya International Space Station ISS na kuwakaribisha akina USA na wachovu wengine.

Lakini kabla ya ISS watu wengi hawajui kuwa Urusi ilikua na Space Station yake peke yake iliyokadiriwa kukaa angani miaka 11 lakini ikakaa miaka 13.
Hii ilikua ikiitwa MIR.

Watu wengi sana hawajui kuwa baada ya Urusi kufanikiwa kupeleka binadamu anga za mbali ,iliwachukua USA miaka kumi nao kupeleka mtu "mwezini".

Watu wengi sana hawajui kuwa ni Urusi pekee wanaweza kumpeleka mtu akakaa angani mwaka mzima,USA na wenzake hawawezi kumpeleka mtu akakaa mwaka mzima,wao mwisho wiki mbili TU au sidhani kama mwezi anaweza kumaliza.,

Watu wengi hawajui kuwa binadamu wa kwanza kwenda kutalii Anga za juu kabisa alikwenda kupitia Urusi na chombo Cha Urusi.
Huyu alikua Ni bilionea wa kimarekani Bw Denis TIto.
Aliomba NASA ,NASA wakamwambia wao hawawezi kwani unaweza ukatokea uharibifu kwenye ISS,hivyo wakamshauri asafiri kupitia Urusi.
Warusi wakampiga USD million 40.
Binadamu wa pili mtalii alikua ni Tajiri wa South Afrika nae alienda anga za juu kupitia Urusi.
Soyuzi imefanya kazi hii sana. 😥😥
 
Nilianzia Novorybnaya...nikisoma Certificate ya Urban and rural planning... Nkaenda Balashika...nikasoma Philosophy,Logic and Ethics... Certificate na diploma hizi ndio zili-ni-enroll SAUT .. Sikuwahi kusoma advance sijui Nini..mifumo ya Elimu tuliyonayo ni ya hovyooooo....
 
Sergey Lavrov gave an interview to the Italian TV company Mediaset. Collected the main:

- Russia does not aim to change the Kyiv regime, only the United States is doing this;

- Kyiv sabotages negotiations with Moscow, Zelensky has "seven Fridays in a week";

- The United States and Canada were engaged in the preparation of neo-Nazi units that joined the ranks of the regular Ukrainian army;

- the Kyiv authorities are trying by all means to achieve the withdrawal of the radicals remaining there from Azovstal, since among them there may be Western officers and mercenaries;

- employees of PMC "Wagner" do not operate in Ukraine;

- more than $300 billion was actually stolen from Russia, most of it was received for gas and oil supplies, Moscow does not intend to tolerate the thieving habits of Western countries;

- The Russian Federation was forced to develop hypersonic weapons, knowing that the US missile defense system would be directed against Russia;

- Our military will not adjust their actions to any date, including Victory Day.

 
More than $300 billion was actually stolen from Russia, most of it received for gas and oil supplies, Sergei Lavrov said.

According to him, a simple thing is happening that critics of Russia's actions "for some reason do not want to talk about."

“Money was stolen from us (more than $300 billion). Taken and stolen. Most of the amount was received for the supply of gas and oil,” the minister said.
 
Sergei Lavrov, in an interview with Mediaset, recalled that the West itself, without hesitation, recognized the Ukrainian Azov regiment as neo-Nazis.

The fact that Azov is an openly neo-Nazi association was recognized in the West without any hesitation until the situation in early 2022, when they began, as if on command, to change their position,” Lavrov said.

 
German Chancellor Scholz had to shout over a disgruntled audience during a speech in Düsseldorf.

Olaf Scholz said at an event on the occasion of May Day that Germany would continue to supply weapons to Ukraine.

The audience did not support the chancellor and tried to drown out his speech, chanting the slogan "Achieve peace without weapons!".
 
Finland plans to start erecting fences on the border with Russia.

This was stated on the air of the MTV3 TV channel by the commander of the Border Guard of North Karelia, Marko Turunen.

“This is an important decision to start building fences on the eastern (Russian) border, either in key areas or to cover most of the border with them,” RIA Novosti quoted him as saying.

Let us recall that lately there has been talk about the likely decision of Finland and Sweden to join NATO.
 
Hapa utasikia proPutin wakisema,"Hizo ni propaganda za western's media"🤔
 

Explosion damages bridge in Russia’s Kursk region​

An explosive device damaged a railway bridge on Sunday in the Kursk region of Russia, which borders Ukraine, the region’s government reported in a Telegram post.

The explosion caused a partial collapse of the bridge near the village of Konopelka, on the Sudzha-Sosnovy Bor railway, the report from Kursk said.

Hii vita bado sana, Ukraine wameamua kusikiliza ushauri wa UK, wanapiga ndani ya Russia
 
Ww subiri Russia awapige ndani kwao UK na viherehere wengine with a light speed ndio watajua jawajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…