Acha fix mzee.Hayo majimbo ya donabass aliyachukua tokea 2014
Na bado mfungo wa kuiombea Ukraine ulioitishwa na Papa Francis kwa Wakatoliki wote haujafanyika. Ukifanyika hiyo tarehe 2 Machi, Urusi atapata tabu sana!Kwa jinsi watu na mataifa mengi kupiga kelele kuhusu uonevu wa Russia , naona kamavile ile kauli kanafanya kazi ." SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU"
Mungu amesikia ndio maana Putin haamini kinachotokea.
Sawa mm kichwa boga.Babu,mbona unakuwa na kichwa boga kama mashabiki wa CCM tafuta hotuba za putin-amelielezea hilo swala vizuri.kwa hiyo we we unaona ni sawa USA awekw base Ukraine na Ukraine ilimiko nuclear kwa mgongo wa USA??
Nightmare[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya sasa tumerudi, kwa hali ninayoiona, RUSSIA hana cha kupoteza as amekaa na mabomu bila sababu. Katika kujilinda kwake afu atokee Mtu azuie? Nimefuatilia kwenye vyanzo mbalimbali, URUSI hayuko peke yake, na nakuhakikishieni huu ndio mwisho wa UTAWALA wa USA na NATO as a SUPER POWER na EASTERN BLOCK (CHINA & RUSSIA) Wanakuja kucontrol dunia. Kwa nilichoona (mimi binafsi) Russia anaanzisha hii vita, kisha anakuja IRAN na NORTH KOREA wakati USA anaingia full hapo ndipo CHINA anaingia FULL and tunarudi kwenye historia kurekebisha mambo.
I BET RUSSIA to WIN
Bora wewe umeleta kitu cha maana kuliko hawa warusi wa kwa mtogoleJipeni nadasi kidogo saa hizi kina game ya fainal carqbao kati ya Chelsea na Majogoo wa Liverpool.
Second half ndio imeanza. Ngoma bado mbichi. 0-0.
Story za kujifariji hizo 👇Hii ni ambush ukiitizama hiyo video utawaona na wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kutoka na mwengine ameumia.
Licha ya hivyo huo.mji bado haujarudi mikononi mwa Ukraine. Nipo kwenye Account za kivita za pande 2(Ukraine na Russia). Hakuna taarifa iliyosema huo mji umerudi mikononi mwa Ukraine ila hiyo video ambayo taarifa yake ni hiyo!View attachment 2133235
Kabanwa kende hakuna kupumua 😁😁😁Russia asha naza kutoa mlio. anatishia nyukliaView attachment 2133242
Sio kila vita unaingilia tu wenzako wana maono ya miaka elfu mbele hapo wamemchokoza Putin maksudi ili aingie kichwa kichwa vitani wamnyuke vikwazo ili kuuporomosha uchumi vizuri.Weka hayo maelezo ya Biden eti kamchorea mstari mwekundu mbona hajapeleka pua yake wakati rais wa Ukraine analia lia
Yani linatumia maguvu na usela mavi wake,linaniudhi kama nini,lizungu jinga kuwahi tokea kwa kizazi hiki baada ya HitlerPutin mbwa hutu anataka Kutumia Nyukliaa mamaee zakeee fala kabiss yani mbwa huyuu adhibitiweee
Linatakiwa kupigwa chuma likafie mbali,just kama Japan ilivyozimwa ww2Hilo zee hovyo kweli yaan ndo lishaharibu uchumi wa dunia ambao ulikuwa umeanza kupata nafuu kutokea janga la korona.
Ko unaamin kabisa hotuba ya Putin ipo sahihi haipo biased?Babu,mbona unakuwa na kichwa boga kama mashabiki wa CCM tafuta hotuba za putin-amelielezea hilo swala vizuri.kwa hiyo we we unaona ni sawa USA awekw base Ukraine na Ukraine ilimiko nuclear kwa mgongo wa USA??
Kuna shida gani? Kwani yeye kakatazwa kuweka base Cuba?Babu,mbona unakuwa na kichwa boga kama mashabiki wa CCM tafuta hotuba za putin-amelielezea hilo swala vizuri.kwa hiyo we we unaona ni sawa USA awekw base Ukraine na Ukraine ilimiko nuclear kwa mgongo wa USA??
Mkuu unajishushia heshima kwa kutoelewa vitu vidogo. Sijui una elimu gani, ila angalia miaka 1980-90s URUSI alipeleka BASE yake ya kijeshi NCHINI CUBA, ulitokea mzozo kama huu wa leo. Hii ina maana kwamba, UKRINE hana adui katika ukanda huu, ila URUSI ana maadui ukanda huu ambao ni NATO. hivyo walikubaliana na NATO kuwa kuwe na ukomo wa nchi fulani kuwa NATO, ambapo hizi majirani na RUSSIA zisiwe NATO, leo hii UKRAINE anataka kuungwa NATO huoni ni UGOMVI?? Nchi kama, FINLAND mbona wametulia na hawataki kuwa NATO??Sawa mm kichwa boga.
Ila swali ni hili naomba nijibu.
Russia na Ukraine si ni nchi mbili tofauti zenye haki ya kujilinda? Kwanini ni sahihi Russia kuwa na nuclear ila si sahihi Ukraine kuwa na nuclear?
Suala la uhusiano wa nchi na nchi ni kwanini ni sawa China kuwa na ukaribu na Russia kujilinda na NATO ila si sawa kwa Ukraine kuwa na ukaribu na USA kujilinda na Russia? Usiseme mambo ya ukaribu wa mipaka.
Zile ni nchi mbili tofauti kila nchi inalinda mipaka yake na kuheshimu mipaka ya mwingine.
Ukraine ni nchi huru nayo ina haki ya kujilinda na Russia kama anaiona ni tishio kwake.
Yaani ihalalishwe Russia kuivamia Ukraine sababu Russia inajilinda na NATO kwa kuingilia uhuru wa taifa ambalo lenyewe pia linajilinda na Russia?
Ujerumani pekee amepeleka vifaru zaidi ya 40,ndege za kivita nakadhalika achilia nchi nyinginezo.Misaada ipi wametoa!? Hebu tupatie na reference.
Russia kabeba conscripts wenye miaka 19-22 around hapo ndio troops. From poor family zisizo na sauti na uwezo wa kuhonga ili watoto wao kukwepa mandatory exercises, walikuwa kwenye training wakabadilishiwa wavamie, hawajaaga nyumbani, hawana justification ya kuvamia wanayoijua. Lengo la Kremlin ni kutishia Waukraine wajisalimishe, hawakuwaza kupambana sana. Walijua yaleyale ya Crimea wakati kipindi kile nchi ilikuwa na political turmoil. Sera za Urusi ni zile "show of force" ndio maana magwaride kila mwaka ila NATO hakuna nchi ina gwaride hata moja.
Mpaka sasa hivi vita vimemletea Urusi hasara kubwa, huu ulioahidiwa na nchi za NATO ukifika vita vitakuwa vigumu kupita maelezo. Hata maeneo ambayo Urusi kayateka hajui afanye nayo nini na mbaya zaidi mashambulizi yanatokea hata kwa raia wa kawaida.Maletopol ulitekwa jana na Russia.
Huo mji unao sema ya kwamba umelejeshwa kwa Ukraine bado hakuna udhibitisho hata BBC wameripoti hivyo ya kwamba hakuna udhibitisho wowote unao unesha ya kwamba mji huo umerudi Miko noni mwa Ukraine.
Hivi mna tumia vigezo gani mpaka mnasema eti Urusi kashindwa na Ukraine.
Urusi huko Ukraine hapambani na vilema bali anapambana na watu wenye mafunzo na silaha kama yeye kwahiyo usitegemee mteremko.
Kwa hiyo nyinyi mlitaka Ukraine itekwe kwa siku mbili tu ? Unadhani vita ni kucheza ngoma?
Ukraine ni suala la muda tu itatekwa na Russia, anacho fanya Ukraine ana jitutumua tu kama Saddam alivyo jitutumua kwa miezi miwili na propaganda kibao lakini mwisho wa siku USA ikaiteka Iraq.
Mpaka sasa zaidi ya asilia 60 ya wanajeshi waliokuwa mpakani bado hawajaingia vitani wenda hii ni mbinu ya Russia kutuma hicho kikosi cha kwanza kama chambo ili kulipunguza nguvu jeshi la Ukraine alafu badae afanye ambushi ya nguvu kumbwa.
Usitegemee Urusi kutoa wanajeshi wake kabla ya lengo lake kutimia.
Aidha Ukraine ikubali kujiondoa kwenye mchato wa kutafuta uanacha kwenye NATO aidha itekwe.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app