CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Ondoa hii takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa hii takataka
Porojo hizi hujachoka tu Mkuu,tangu jana unatuletea hizi blah blah zako,na Ukraine iko pale,hakuna cha bomu kupigwa Ikulu wala Rais wake kukamatwa,tunasubiri version nyingine ya porojo,hii tushaizoea tayari.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya sasa tumerudi, kwa hali ninayoiona, RUSSIA hana cha kupoteza as amekaa na mabomu bila sababu. Katika kujilinda kwake afu atokee Mtu azuie? Nimefuatilia kwenye vyanzo mbalimbali, URUSI hayuko peke yake, na nakuhakikishieni huu ndio mwisho wa UTAWALA wa USA na NATO as a SUPER POWER na EASTERN BLOCK (CHINA & RUSSIA) Wanakuja kucontrol dunia. Kwa nilichoona (mimi binafsi) Russia anaanzisha hii vita, kisha anakuja IRAN na NORTH KOREA wakati USA anaingia full hapo ndipo CHINA anaingia FULL and tunarudi kwenye historia kurekebisha mambo.
I BET RUSSIA to WIN
Bro sorry, huna akili.Kuna shida gani? Kwani yeye kakatazwa kuweka base Cuba?
Mbona kapeleka wanajeshi Venezuela nani kamkatalia?
Amemtushia na Sweden na Finland eti watakumbana na hatua za kijeshi wakijiunga NATO matokeo yake kwa sasa ni haya hapa sasa. [emoji116]
View attachment 2133301
Dunia nzima iko against hadi jamaa zake China walimemwambia aende mezani,the same to India na Brazil.Yani linatumia maguvu na usela mavi wake,linaniudhi kama nini,lizungu jinga kuwahi tokea kwa kizazi hiki baada ya Hitler
Nimekuambia uweke references hapa wewe unapiga kelele.Ujerumani pekee amepeleka vifaru zaidi ya 40,ndege za kivita nakadhalika achilia nchi nyinginezo.
Marekani kapeleka msaada wa vifaa vya kijeshi wa zaidi ya Tsh trilioni 1 za Kitanzania na Ukraine imethibitisha kuvipokea.
Nato wamepitisha azimio la dharura kupeleka wanajeshi kadhaa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine.
Kuwa updated mkuu mbona kila kitu kipo uchi dunia ya leo usisubiri kutafuniwa.
Wewe ambaruti huna unachojua
Hapana mkuu tayari kuna msaada wa dharura umepelekwa hausubiri senate kuupitisha inapotokea emergency.Mzee fuatilia taarifa za habari. Pesa alizo ahidi Biden $10b mpaka zipitishwe kwenye senate, wakija kupitisha tayari Ukraine itakuwa mikononi mwa Russia.
Wewe na Putin wote ni mavi mnatumia.Bro sorry, huna akili.
Pengine labda ukifahamu wanchofanya Moscow ni nini!Ukraine naye asidharauliwe jamani, hajawashangaza tu? Russia akitumia silaha kubwa za kuifuta Ukraine isiwepo hawezi kuachwa salama pia. Raia wake watamsumbua, Dunia itamsumbua na ikiwezekana anaweza uwawa na wenzake huko huko ambao hatakubaliana nao. Hii vita dunia inamuhurumia Ukrain, na Warusi wanamuhurumia Ukraine. Ni vita vya Puttin kwa ajili ya manufaa kijeshi si kijamii.
Ila LIBYA, MALI, SYRIA, AFIGHSTAN wakivamia inakuwa haki? Mkuu ngoja niishie hapa..Dunia nzima iko against hadi jamaa zake China walimemwambia aende mezani,the same to India na Brazil.
Hatutegemei mwenye akili timamu akasapoti upuuzi wa Putin,kwake tuu wanaandamana,hana sapoti kokote huyo mwehu wa kizazi cha Hitler's.
Shukrani mkuu. Sijui utapataje notification ila huu uzi tangu vita ianze nipo humu na uzuri niko likizo. Hata fainali ya Liverpool vs Chelsea nimeenda ila nikatoka maana niko busy na vita. Tangu jana sijatembelea uzi mwingine, chanzo cha kuja JF ni mambo ya kimataifaBro ivi naweza pata angalau notification Kila upo koment maana unachuja habari Kwa usawa bila mahaba .
Unamsema huyu papa mpinga kristp. Vicurius Filii Deify.Na bado mfungo wa kuiombea Ukraine ulioitishwa na Papa Francis kwa Wakatoliki wote haujafanyika. Ukifanyika hiyo tarehe 2 Machi, Urusi atapata tabu sana!
Nasema atapata tabu sana, people are not going to pray for nothing.
Turkey yuko njema Sana kwenye drones,sasa mbwa wa Russia wanapeleka attacking helicopters miaka hii kweli? Hawana akili hao ngoja wanyooshwe kwanza.Russia kabeba conscripts wenye miaka 19-22 around hapo ndio troops. From poor family zisizo na sauti na uwezo wa kuhonga ili watoto wao kukwepa mandatory exercises, walikuwa kwenye training wakabadilishiwa wavamie, hawajaaga nyumbani, hawana justification ya kuvamia wanayoijua. Lengo la Kremlin ni kutishia Waukraine wajisalimishe, hawakuwaza kupambana sana. Walijua yaleyale ya Crimea wakati kipindi kile nchi ilikuwa na political turmoil. Sera za Urusi ni zile "show of force" ndio maana magwaride kila mwaka ila NATO hakuna nchi ina gwaride hata moja.
Ila tuwe makini, ikitokea Russia ikavamiwa hawatapigana namna hii. Uwezo wa kupigana wanao sana ila justification for war hawana. Nilikuwa namlaumu Biden na Olaf Scholz wa Ujerumani kwamba wameitelekeza Ukraine mapigano yalipoanza. Kumbe wazee wa siasa wazoefu walikuwa wanatafuta justification, yani sasa hivi dunia inajua Putin mchokozi. Walisubiri aggression ionekane waziwazi walete retaliation.
Nikisoma historia ya vita nyingi mara zote vita ikianza huwa makamanda wanaokuwepo wanakuwa wamedumaa kama hawakuwa na combat muda mrefu, sera zao hazibadiliki na mbinu za kijeshi huwa zinakuwa nyuma ya muda mara zote. Hii vita tech giants zimehusishwa kama Google, Meta na Apple. Mwaka juzi vita ya Azerbaijan na Armenia ilisababisha UK Defence Ministry wakaingie field kutafuta matumizi ya drones, US ikakazana zaidi kutafuta drone countermeasures, Russia ikaona drones ni tishio sio utani tena, terrorists wakapata kujua wakafanya shambulizi vituo vya mafuta Saudi Arabia. Mpaka nchi ije kujirudi inatumia muda, losses hazikwepeki. Ila sikutarajia performance ndogo hivi ya Urusi
Hebu weka references hapa mzee.Hapana mkuu tayari kuna msaada wa dharura umepelekwa hausubiri senate kuupitisha inapotokea emergency.
Wanazo sheria za dharura za kupeleka misaada popote pale inapobidi bila idhini ya senate.
Vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko ya mavyuma na madrone,Vishaanza kuumanaView attachment 2133225View attachment 2133226
Mzee Putin kaona maji shingo wanajeshi wanapukutika na raia wa Ukraine wanazidi kushikamana na serikali yao halafu huko Urusi maandamano yanazidi.Lengo la Putin limetimia na huyo Ukraine ataenda kwa terms za putin.
Hivi unaichukulia poa Russia siyo!?