Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Guys Picha za kutisha wajeshi wa Ukrain wanapukutika. Kwa ruhusa yenu naweza kuziweka.
[emoji298]Weekdays of war, Izyum front
The evacuation of the corpses of abandoned soldiers of the Armed Forces of Ukraine, they were not needed by their own, they did not pick them up.
Punguzeni mapropaganda ya kingeseFyeka hao pimbi wote.
Wewe weka ushahidi tuone. Mbona maneno meengi. Mimi nakupatia live from battle field.Bwashee hii vita inakula kotekote Kwa Waukrain na Warusi Superpower no.2.Inasemekana askari wengi waliokufa na WA Urusi .Hii imefanya Putin kuua hata raia huko Ukraine Ili kulipiza kisasi.Kwenye hivi vita Russia na Putin caught in surprise.Hawakutegemea resistance ya aina hii Toka UKRAINE 🤔
Eti ni wimbo wa fid q
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kituko kingine hiki...
Upande wa kushoto ni taarifa iliyotolewa na New York post April 29, wakidai Ghost of Kyiv kauwawa kwenye battle na "Identity" yake imekuwa revealed...
Chombo hicho hicho cha habari siku tatu baadae yan 1st May wanatueleza kua Yulr Ghost wa Kyiv doesn't actually exist... wakidai Ukraine Regime wamesema [emoji23][emoji23][emoji23]...
View attachment 2208734
So this means that zile taarifa zote za awali kuhusu matukio yaliyofanywa na Ghost of Kyiv walikua wanatudanganya...
Wajomba mie naona ukweli huwa haufichwi labda kucheleweshwa tu au nyie mwasemaje [emoji848]
Na Ukraine hawajarudi nyuma, wanashambulia na kujilinda... Leo wamepiga tena meliWakuu wanajeshi wa Ukraine hawaishi au NATO wanaingia kijanja Ukraine.
Kwa vichapo mbalimbali tangu vita ianze. US NATO wanapataje ujasiri wa kutuma silaha wakati servicemen wa Ukraine wameshapukutishwa vibaya?
Sasa kama vifaru 230 vimetoka Poland hadi kuanza frontline mtu hajajua....Inavyoonekana NATO wana taarifa zote za walipo warusi Ukraine na wakuu wao. Wanaamua tu kuchakata mmoja baada ya mwingine.
Haiwezekanj msafara wa vigogo wa jeshi uwe exposed na kulipuliwa kama MTU anachoma siafi.
Hata Osama mwenyewe alikuwa mjanjamjanja. General Millar mtalebani ndio hawakumuona kabisa.
Hawa warusi wanafeli wapi.
Nimeona video meli inataka kimbia kuizidi drone ikabebeshwa bomu ikakatika vipandeSema mwamba kuna kitu hakipo sawa kwako, so unapenda kuona habari za Ukraine akipigwa tu et! Ndio utaiona sio habari ya kishabiki
Hujui kwamba hiyo ni vita lazma na mrusi apigwe na angekuwa hapigwi mpaka sasa vita ingekuwa imeisha.
View attachment 2208504
Tunataka vitu live kama hivi:-Bwashee hii vita inakula kotekote Kwa Waukrain na Warusi Superpower no.2.Inasemekana askari wengi waliokufa na WA Urusi .Hii imefanya Putin kuua hata raia huko Ukraine Ili kulipiza kisasi.Kwenye hivi vita Russia na Putin caught in surprise.Hawakutegemea resistance ya aina hii Toka UKRAINE 🤔
Hizo zilishateketezwa kwenye pango mzee. Tumeni zingine.Switchblade drones hazija anza kazi siku zikianza yatakuwa mengine
Nano anaendesha hivyo vifaru. Silaha ukiziangalia in kana kwamba watumiaji ambao no jeshi LA Ukraine linaongezeka badala ya kupungua.Sasa kama vifaru 230 vimetoka Poland hadi kuanza frontline mtu hajajua....
Kama TB2 zinaingia kila siku na hajui zatokea wapi
GRU,FSB hawana intel kali kuzidi CIA, MI6 na wengine wa 5 Eyes combined
Duuh wanajeshi wa Ukraine wanauwawa balaa!
Ndivyo ilivyo inavyopaswa facts ndizo zinabishanaUnaweza nibishia ila Kwa fact siyo kusimuliwa
Alafu mtu yuko Tandahimba anabishana na mimi[emoji23]Pamoja na vita inayoendelea nimepita sehemu moja jana usiku watu wanapiga ULABU kawaida !!
Japo wamekaa kimkao wa mbio kwamba kikinuka wasepe!!!!
Alafu mtu yuko Tandahimba anabishana na mimi
Hahaha hahahaAlafu mtu yuko Tandahimba anabishana na mimi[emoji23]
Kuna meli ya kivita ya Urusi ilizamishwa Hapo juzi kati na kuua wanajeshi zaidi ya mia 5 unataka ushahidi Gani zaidi ya huo?🤔Wewe weka ushahidi tuone. Mbona maneno meengi. Mimi nakupatia live from battle field.
Bado mkuu na hawawezi kuisha ijapokuwa wanashindwa ila hawawezi kuisha wote.Wakuu wanajeshi wa Ukraine hawaishi au NATO wanaingia kijanja Ukraine.
Kwa vichapo mbalimbali tangu vita ianze. US NATO wanapataje ujasiri wa kutuma silaha wakati servicemen wa Ukraine wameshapukutishwa vibaya?
Na wewe kweli unaamini huo ushubwada?Machine za kuvuna nafaka za UKRAINE zilizoibwa na wanajeshi wa Urusi zimeshindwa kufanya baada ya kuwa deactivated na wenyewe .
My take:Wezi labda tu wazitumie tu kama chuma chakavu[emoji848]
[emoji609] They stole 5 million dollars worth of harvesters and took them from Ukraine to Chechnya.
CNN told CNN about the robbery of farms in occupied Melitopol.
But the point of history is that, having transported the combines over 1100 kilometers, they could not start them. After all, modern technology was turned off remotely.
Now the "john deers" worth $300 thousand each have one fate - to be dismantled for spare parts.
View attachment 2208732